The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,607
- 119,847
Bora hata wewe umeliona hiloHizi story za kutunga mshana Jr,nafurahi kusoma kwa sababu unachangamsha genge tu hapa,ila hakuna ukweli wowote.
Bora hata wewe umeliona hiloHizi story za kutunga mshana Jr,nafurahi kusoma kwa sababu unachangamsha genge tu hapa,ila hakuna ukweli wowote.
Ukiiandika ni-mention au nitag nipate maarifa mkuuVuta subra tetee, hii makitu au ushuhuda huwa kuna hali fulani inanitokea kama hofu na mashaka ninapoisimulia, inshallah mungu akijaalia usiku nikipata kikombe cha babu, ntaiweka hapa, kuna ulimwengu mwingine kabisa! Ndani ya huu tuliopo!.
Kwanza neno 'aghalabu' umekose matumizi yake. Labda utuambie umelitumiaje hapo mkuu. Pili wachawi na majini wana tofauti gani zinazowafanya kuwekeana mipaka? Si tunaambiwa kuna kambi za kichawi chini ya bahari?Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi ...lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi wanaikwepa na kuiogopa hasa na wale wachache wanaitumia ni mpaka wapate kibali cha ufalme wa majini
Mchawi atatumia ungo-hii ni advanced tech ya usafiri na inajumuisha mambo mengi ila ni salama na ni ya haraka zaidi kama ulivyo usafiri wa ndege za kawaida pia ni usafiri wa masafa marefu
Usafiri mwingine ni wa ardhini huu hauna hatari nyingi na gharama pia ni ndogo , chombo chake kwa sehemu kubwa ni Mnyama fisi, tatizo moja la huu usafiri ni inland routes tena za masafa mafupi na wachawi daraja la chini
Lakini ni mara ngapi umeshasikia usafiri wa wachawi baharini? Ni aghalabu kusikia hii kitu hata kutumia mazao bahari kama makombe na samaki kwenye shughuli za kiganga ni mara chache mno
Sababu moja kuu ni kwamba maji ndio yanayotajwa la dunia robo tatu ya uso wa dunia ni maji na hata mwili wako pia, kwahiyo ufalme wa maji kwa maana ya majini ndio ufalme wa giza wenye nguvu zaidi na sophisticated zaidi kiasi kwamba ufalme wa giza wa ardhini unapwaya na kugwaya kwa ufalme wa maji
Ndio maana huwezi kusikia hata siku moja eti mchawi kaanguka baharini au kuna chombo kinachotumiwa na wachawi kusafiria baharini
Jaribu kumpinga kwenye mada yake ndio utamjua zaidi.Ninachompendea mshana jr huwa anajibu kila mtu kwa upole na heshima. Barikiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kwa akili ya darasa la pili tu utajua kuwa baharini kuna vitu vingi coz 75% ya Dunia ni Maji,sasa hapo napo lazima atokee mtu akwambie Baharini kuna vitu vingi vya ajabu kuliko nchi kavu?! Watu mmeshikwa pabaya kweli na kuaminishwa Ushirikina!! Mungu hapendi "SHIRKI"Baharini kuna vitu vingi zaid kuliko nchi kavu vitu vya ajabu ambavyo mpaka leo vingine havijagundulika.nakubaliana na wewe kuna siri kubwa sana baharini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na hilo ndio lengo kuu la kuleta hizo mada za kukutisha wewe ili akuteke kiakili kirahisi zaidi,hapo kisha kukamata!! Pole sana ila Ukikua utajua kisha utaishia kujicheka tu.Kwa ujumla wake huyu jamaa namuogopa, pamoja na kuwa anatoa elimu dunia!
Unamaanisha gari nalo Lina roho?Ni zaidi ya hapo ..ni hivi mwisho wa yote kuna nguvu isiyionekana ndio hufanya mambo yaende kwa mfano wa JF mpaka tunasomana hizi post zetu mengi yamejumuishwa nitataja machache
App ya JF , servers zake, wafanyakazi,mitandao ya simu, umeme , masafa,network, simu yenye charge kifurushi simcard, na wewe mwenyewe na kile ukiwazacho na muda na vidole vya kutype na ufahamu wako pia
Kwenye gari
Lazima gari likamilike kila kitu lakini haliwezi kwenda kama halijawashwa, au halina dereva au ufunguo nk nk kwahiyo mpaka unaona gari linatembea barabarani ni mjumuiko wa vitu vingi lakini kuna kimoja kisichoonekana na kisicho na maelezo ya kwanini gari linakwenda
Usafiri mwingine ni wa ardhini huu hauna hatari nyingi na gharama pia ni ndogo , chombo chake kwa sehemu kubwa ni Mnyama fisi, tatizo moja la huu usafiri ni inland routes tena za masafa mafupi na wachawi daraja la chini
Khaaaaa!! Kwani Bermuda triangle ni mambo ya kichawi?!! Pale zinakutana bahari kuu na ndio maana kunakuwa na force ya ajabu wala hakuna cha uchawi hapo,hizo ni hadithi za zamani sana!
Dah...! Leo umechelewa kweli kuja ulikuwa wapi siku nzima? Post bila watu kama wewe hazinogi kabisa!Bora hata wewe umeliona hilo
Hiyo ndio hutumiwa baharini kuna picha ninazo nitaweka hapaMshana Jr. kuna ya kusafiri kwa ufagio wa chelewa na ya fimbo hizo zikoje???
Jaribu kumpinga kwenye mada yake ndio utamjua zaidi.
Kwa akili ya darasa la pili tu utajua kuwa baharini kuna vitu vingi coz 75% ya Dunia ni Maji,sasa hapo napo lazima atokee mtu akwambie Baharini kuna vitu vingi vya ajabu kuliko nchi kavu?! Watu mmeshikwa pabaya kweli na kuaminishwa Ushirikina!! Mungu hapendi "SHIRKI"
Wacha wee clever king ndani ya nyumba disco limeingia mmasai sasaNa hilo ndio lengo kuu la kuleta hizo mada za kukutisha wewe ili akuteke kiakili kirahisi zaidi,hapo kisha kukamata!! Pole sana ila Ukikua utajua kisha utaishia kujicheka tu.
eeeeeeeennnnnhhhh!!!!!,kumbe Nungwi ni noma.Nungwi kuna mkondo unaofanana na wa Bermuda hizo ni njia za kuelekea kuzimu kwenye ufalme wa giza
Katika hayawani wa mwituni huyu ndio namba moja