Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Niko huru sasa na sina nira wala shirika wala viapo na maagano ya haya mambo..ndio maana naweza kuandika kwa uwazi
Sawa upo huru,
1) uliupataje UHURU HUO baada ya kufuatilia mambo yao, huwa hawakuachii hivi hivi?
2) Kawaida yao hao ukigusa mambo yao wanajua kwenye ving'amuzi vyao na waweza kukushambulia umejizatiti vipi au kwa nini wewe hawakufuati? vinginevyo wanafaidika na mada zako
3) Kama una kinga ni ipi hiyo ambayo yaweza kuwa msaada kwa wengine?
Naomba nifafanulie maswali hayo hapo juu ili hata TUNAOkuhisi kivingine tukuelewe mana katika MADA ZAKO HUWA UNATOA KAFUNUNU flani ka KICHAWI.

Tukilejea kwenye mada ya uzi huu, maoni yangu ni kuwa kwenye maji wachawi husafiri pia kama ulivyosema mwenyewe kuwa kuna njia za kwenda kuzimu. Wakitaka kufika huko watatumia nini, lazima wapiti kwenye maji. Nchi kavu wanaanguka sana na ungo wanapopita sehemu zenye walokole mana nguvu za kichawi kwa walokole hazifui dafu. Baharini kama akipaa na ungo anakwenda tu. Mchawi hawezi kumwangusha mchawi mwenzake, kwani Marekani na ulaya wanafikaje, si lazima wavuke maji!!
 
Nimepata wazo lingine mkuu. Kabla sijaenda kwenye hiyo njia ya pili uliyoniambia, ngoja nizame kwenye Maktaba na maduka ya vitabu ya hawa jamaa.
Nchi nilipo watu wake ni wasomaji wazuri sana wa Vitabu, ngoja nianze kuzama kwenye Maktaba zile kubwa na Maduka makubwa makubwa naweza kudondokewa na Mtende Jangwani.
Nikikipata ntakutafuta hapa unipe address yako nikutumie.
Ntatafuta na King Solomon mines pia.
Hicho nacho pia nilikisoma, lakini hiki ndio sikumbuki chochote, nilianza kusoma hiki baadae ndio kikafuata cha Kala Mzuvendi.
Usinisahau tafadhali
 
Umeshindwa kujibu hata swali langu moja tu!! Si umesema watu kama sisi ndio hufanya mada inoge? Au umeshajisahau? Naomba ujibu maswali niliyokuuliza.
Mjomba kama kitu hukubaliani nacho si unaacha.ningeshauri uanzishe mada yako.UIITE HAKUNA UCHAWI DUNIANI.kuliko kuanzisha bifu na mtu na kuona ana faidi.kama wanaomsapoti ni wapuuzi ungewaacha tu,maana ni wengi mno kwenye post.mbona mkiulizwa kuhusu mungu pia mbakosa fact.anzisha mada yako mkuu kupinga uchawi na mambo ya kufikirika.
 
Ana ma
we jamaa utakuwa na shida aseee.... ushakuta comment yangu zaidi ya hii uliyojibu!!!! mbona unawahi kuhukumu kuwa niko upande flani!!! nimesoma maelezo ya huyu na yako toka mwanzo wa uzi mpaka hapo nilipoona wewe binafsi haujaleta facts mezani ndio nikaomba facts zako ni zipi... !!! still bado ur attacking a person .... nikuache tu kaka/dada ..... inaelekea unakitu cha kuuliza ila hujui kama ni pumba au mchele....
Ana matatizo
 
Mjomba kama kitu hukubaliani nacho si unaacha.ningeshauri uanzishe mada yako.UIITE HAKUNA UCHAWI DUNIANI.kuliko kuanzisha bifu na mtu na kuona ana faidi.kama wanaomsapoti ni wapuuzi ungewaacha tu,maana ni wengi mno kwenye post.mbona mkiulizwa kuhusu mungu pia mbakosa fact.anzisha mada yako mkuu kupinga uchawi na mambo ya kufikirika.
Nilifikiri umekuja kumjibia kumbe ni yale yale tu! Haya endelea kuimbisha watu taarabu kwa wanaokuamini na mambo ya kufikirika.
 
Ana ma

Ana matatizo
Jaribu kujichunguza huenda wewe ndio una matatizo ila tunashindwa kukwambia tu,kabla ya kumpoint mtu jichunguze wewe kwanza kama upo clean in 100% Acha kubwabwaja ili uonekane tu na wewe unajua kuandika.
 
Mjomba kama kitu hukubaliani nacho si unaacha.ningeshauri uanzishe mada yako.UIITE HAKUNA UCHAWI DUNIANI.kuliko kuanzisha bifu na mtu na kuona ana faidi.kama wanaomsapoti ni wapuuzi ungewaacha tu,maana ni wengi mno kwenye post.mbona mkiulizwa kuhusu mungu pia mbakosa fact.anzisha mada yako mkuu kupinga uchawi na mambo ya kufikirika.
Wewe nawe wala hujielewi,sijui hata umeandika nini!!? Ina maana mtu anayeipinga mada flani humu JF anatakiwa aanzishe Post mpya ya kupingia!! Pitia post zote za jf lazima kuna wanaokubaliana na mtoa mada na wanaopinga,kwa akili yako mtu hatakiwi kupinga post yeyote!? Umeandika kwa msukumo wa mtu zaidi na kutaka kujionyesha unamsupport,kuwa free acha kufuata mkumbo tu bila kujielewa.
 
Hata mimi niliamini hivyo mpaka nilipokuja kutafiti na kugundua kuwa ni mkondo wa maji wenye nguvu usioonekana juu ya uso wa maji lakini pia hutumiwa na washirikina kufanya yao
Mshana Jr kijijini kwetu huwa kuna MTO una chunusi ya baadhi ya koo hafu hyo chunusi huwa na specific ya watoto wa kike hutoa sauti na kuita hafu Moshi hupanda juu. Then ikimchukua MTU wanaenda kujikata damu itoke au mbuzi ndo mtu anatoka mzima. Unaelezeaje hii?
 
Mmmh hili kwangu ni jipya ila nipe muda usijali hasa kuhusu hizi babar za chunusi
 
Upi
Wewe nawe wala hujielewi,sijui hata umeandika nini!!? Ina maana mtu anayeipinga mada flani humu JF anatakiwa aanzishe Post mpya ya kupingia!! Pitia post zote za jf lazima kuna wanaokubaliana na mtoa mada na wanaopinga,kwa akili yako mtu hatakiwi kupinga post yeyote!? Umeandika kwa msukumo wa mtu zaidi na kutaka kujionyesha unamsupport,kuwa free acha kufuata mkumbo tu bila kujielewa.
upingaji wako umekaa kiugomvi sana na inaonekana hukuanza leo.yaani unamfuatilia sana.kiuelewa ni kitu kama ugomvi,pana tatizo
 
Masikini kama unamdai,ungekausha maana nahisi mngekuwa live mngeshazichapa
Jaribu kujichunguza huenda wewe ndio una matatizo ila tunashindwa kukwambia tu,kabla ya kumpoint mtu jichunguze wewe kwanza kama upo clean in 100% Acha kubwabwaja ili uonekane tu na wewe unajua kuandika.
 
Ambaye amefilisika sasa? toka kanda ya ziwa? Haya mambo ni vigumu kuyajua hasa kwakuwa ni siri ya mtu na mojawapo ya viapo au maagano ni kutosimulia chochote. ..watu watabaki tu na speculations kutokana na mienendo yako
Mbona hajafilisika malese...!?
 
Upi
upingaji wako umekaa kiugomvi sana na inaonekana hukuanza leo.yaani unamfuatilia sana.kiuelewa ni kitu kama ugomvi,pana tatizo

Masikini kama unamdai,ungekausha maana nahisi mngekuwa live mngeshazichapa
taamu
1454357158226.jpg
 
Mshana Jr!unataka kusema wachawi hawawezi kuvuka atlantik ocean au Indian ocean etc
 
Back
Top Bottom