BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Naskiaga kuna baadhi ya matajiri utajiri wao wanaufata chini ya maji???
Pili naskiaga uchawi ni uchawi kumbe kuna madaraja tofauti???
Mwaga vitu mpwa
Aisee....kwa hiyo ile dhana ya uchawi hauvuki bahari ni kweli kumbe.......na hebu tupe hints za Meli ya Nungwi kama unajua chochote ktk ulimwengu wa roho..........
Sasa uchawi wao kama ni advance wanaufanyia wapi au kwa ajili ya kuharibu nini
1.Nasikia Illuminate wamejenga mjengo chini ya Bahari.Ni kweli au ndo magazeti ya Udaku?
2.Kuna utofauti gani kati ya Ocean na Sea.
Ipi kati ya Ocean na Sea ambayo mchawi hawezi pita na kwanini nyengine ashindwe?
Nilipata kusikia yule kibarul jinn kiti chake cha enzi kipo chini ya bahari.Na watu wengi huogopa uchawi wa baharini sijui mshana jr hilo unalielezaje?
Masikhara masikhara mshana jr keshapata wanafunzi....Naskiaga kuna mbunge mmoja mpya alikuwa mfanyabiashara wa supermarket naye alikuwa mfuasi wa kuzama huko. Majin ?????
Mie napita tu lakini