Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Oh no Ben, basi na wewe utakuwa hunielewi!, mimi siwezi kuwa kambi moja na wanga!, majizi, jambazi, majangili na wauaji!, mashetani wakubwa!, kumkubali "jamaa yangu" is one thing, na kuwa kambi yake is another!. Pasco
Pasco is this you???
 
Last edited by a moderator:
Maandiko yako yanaonesha wewe ni mbaguzi wa rangi tu hauna kingine, hata ujaribu vipi ku justify, haisafishiki.
Kwa ubaguzi huu wa rangi kupenda vingaavyo, au viangaza, nakiri udhaifu, ila na mimi sio kosa langu, ubaguzi huu uko kwenye damu, tangu enzi za mababu na mababu, na tunahonga kweli kweli hadi ng'ombe zaidi ya mia!, uzuri wetu hatuangalii umri, hata wewe kama vipi sema tuu mang'ombe yaletwe hapo mitaa ya Gerezani, nikimanisha kama ukiachika au mmiliki akitangulia, na uzuri wetu wa ziada, hatuna mwisho wa idadi kusema mwisho wanne!, mwisho wetu ni mwisho wa idadi ya ng'ombe wa kulipia tuu!.

Na ubaguzi wetu mzuri, utapewa kila kitu ila na wewe ni lazima ...

Pasco
 
Kwa Tanzania sheria ya kukwea ni rahisi sana, "walambe wakuu miguu ule mema ya nchi".

Sioni kama ana bahati zaidi ya kuwa na watu wamshikao mkono kumuongoza njia.

Sitarajii mtu kama Badra kuandika chochote kuhusu jambo lolote alilokutana nalo kokote alipokuwa na alipo.
 
Huyo dada ni mshenzi tu hana lolote

ushnz wake ninI mboba dada wa watu mstaarabu tu...kwa level yake angekuwa mwingine asingefanya kazi.....angebweteka kwa mali za mshua wake...huyu dada ni hardworking sana
 
Huyo dada anapenda kutetea ufisadi,alikuwa anatetea ufisadi tanesco,aliwatetea akina maswi kipindi alivyowatuhumu kuwa wabunge wamehongwa,haya tuje tena sakata la escrow alikuwa akiwatetea tena akina maswi na muhongo as hakuna chochote walichofanya,huyo dada anajua maovu mengi na bado anakaa kimya,sasa jiulize ni kwa nini akae kimya????.....the answer is,she is also a corrupt,pia alikuwa akimtuhumu mengi waziwazi kuwa ndiyo mchochezi wa sakata la escrow na alikuwa aki msapoti bosi wake muhongo a.k.a muongo kuwa wa tanganyika hawana uwezo wa kuwekeza kwenye nishati na madini,i really hate her
 
Pasco is a dirty minded harrasing women of colours he dared even to publish one Zanzibari scribe; Salma Said's photograph here in JF and boasted of having a fling with her and many coloured Zanzibari gilrs as a previlege he got from his status as a press corps member.
Ponjolo Punjabi, kwanza naomba nianze kwa kukusifia hiyo panjabi uliovalia kichwani!, Jee, unataka kuleta zako zile za kuleta?!, unaleta chokochoko za kumchokoa pweza?!, ili kuwaamsha wale 'mainzi' wa ile timu ya 'muuza utumbo?!.

Pasco.
 
Huyo dada anapenda kutetea ufisadi,alikuwa anatetea ufisadi tanesco,aliwatetea akina maswi kipindi alivyowatuhumu kuwa wabunge wamehongwa,haya tuje tena sakata la escrow alikuwa akiwatetea tena akina maswi na muhongo as hakuna chochote walichofanya,huyo dada anajua maovu mengi na bado anakaa kimya,sasa jiulize ni kwa nini akae kimya????.....the answer is,she is also a corrupt,pia alikuwa akimtuhumu mengi waziwazi kuwa ndiyo mchochezi wa sakata la escrow na alikuwa aki msapoti bosi wake muhongo a.k.a muongo kuwa wa tanganyika hawana uwezo wa kuwekeza kwenye nishati na madini,i really hate her
Mkuu Bandu Bandu, kama ni kumchukia, mchukie kwa lingine, lakini kwa hayo uliyamtuhumu sio!, kwani kazi ya PRO kwenye mashirika huwa ni nini?!.

Pasco
 
Umeeleza vizuri bossman. Lakini akiandika kuhusu yanayojiri na hapo tanesco, usisahau kesi ya kina mhando iko mahakamani na lazma yeye ni shahidi. Haya mambo ayaweke akiba, akifikisha umri wa miaka 55 astaafu kwa hiari na aandike bio yake. Kwa sasa asubiri, hata kina clinton na kina madiba waliandika baada ya kutoka ofisini.

Ila seriously Pasco, umenikwaza kuongelea muonekano wake na rangi yake wakati tunaongelea taaluma yake. Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Inakera sana mwanamke ambae anapambana kufika alipo na kuanza kuwa related na rangi ama umbo lake.

Pole mdogo wangu....ila nimewaza sana kama ama unawafahamu vizuri wadau wako wa upande wa pili au ni ubinadamu tu (kupokea provocation hata kama ina ukweli fulani kutokana mienendo yetu...lol)!! Pasco is being real to the letters!

Sina hakika kama naye The Boss anajua madhara ya kile anachokisema au la. Tanzania ya wapi mtu anaweza kuandika kitabu cha mambo kama hayo akabaki na sisi? Watu kuongea tu bila hard evidence au uwezo wa kutingisha watawala (Kubenea, Ulimboka n.k) wamekaribia kwenda safari ya milele, sembuse mtu wa ndani auze data....

Siwezi kumshauri Badra Masoud kufanya kosa la kiufundi kama hilo!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Tanzania sheria ya kukwea ni rahisi sana, "walambe wakuu miguu ule mema ya nchi".

Sioni kama ana bahati zaidi ya kuwa na watu wamshikao mkono kumuongoza njia.

Sitarajii mtu kama Badra kuandika chochote kuhusu jambo lolote alilokutana nalo kokote alipokuwa na alipo.

Kuna njia mbadala katoa The Boss, kwamba anaweza kukiandika na kuacha wosia kuwa kichapwe miaka kama kumi hivi baada ya kutangaulia.....!

Inaweza kusaidia. Vinginevyo ni zaidi ya kujivika kitanzi!
 
Last edited by a moderator:
Sasa na wewe umeanza wivu. Kama wamemtunuku ni sawa. Mie ninachokataa ni kuunganisha dots za hili wezere langu na aina ya gari ninayotumia na cheo changu kazini. Bado wapo wanawake wanaofanikiwa, manake wanaobebwa tunaona anguko lao linavyokuwa kubwa.

Nadhani hiyo historia fupi ya The Boss inatosha kusema kama aliweza dawasco, na anaweza tanesco hata kama alibebwa kwa urembo anaoongelea Pasco na Dark City basi alibebeka. Kwani mwanamke mrembo hawezi kufanikiwa kwa juhudi? Huo ndio ugomvi wangu.
Pasco is a dirty minded harrasing women of colours he dared even to publish one Zanzibari scribe; Salma Said's photograph here in JF and boasted of having a fling with her and many coloured Zanzibari gilrs as a previlege he got from his status as a press corps member.
 
Last edited by a moderator:
Unafahamu kazi ya PR? Manake yeye Badra ni kipaza sauti cha tanesco. Akija kusema tumepunguza bei ya umeme, haimaanishi ni juhudi zake. Na akisema tunapandisha bei usimkasirikie yeye. Wakati uongozi wa tanesco unaamua lazma tusimame na bosi wetu, yeye hana uwezo wa kupinga. Infact akiandika hiyo speech ya kuuza gazetini boss wake lazma aione kwanza.

Ndio maana mtoa mada anashauri kuwa aandike mambo ya nyuma ya pazia. Na mie nashauri akishastaafu ndio aandike
Huyo dada anapenda kutetea ufisadi,alikuwa anatetea ufisadi tanesco,aliwatetea akina maswi kipindi alivyowatuhumu kuwa wabunge wamehongwa,haya tuje tena sakata la escrow alikuwa akiwatetea tena akina maswi na muhongo as hakuna chochote walichofanya,huyo dada anajua maovu mengi na bado anakaa kimya,sasa jiulize ni kwa nini akae kimya????.....the answer is,she is also a corrupt,pia alikuwa akimtuhumu mengi waziwazi kuwa ndiyo mchochezi wa sakata la escrow na alikuwa aki msapoti bosi wake muhongo a.k.a muongo kuwa wa tanganyika hawana uwezo wa kuwekeza kwenye nishati na madini,i really hate her
 
Sasa na wewe umeanza wivu. Kama wamemtunuku ni sawa. Mie ninachokataa ni kuunganisha dots za hili wezere langu na aina ya gari ninayotumia na cheo changu kazini. Bado wapo wanawake wanaofanikiwa, manake wanaobebwa tunaona anguko lao linavyokuwa kubwa.

Nadhani hiyo historia fupi ya The Boss inatosha kusema kama aliweza dawasco, na anaweza tanesco hata kama alibebwa kwa urembo anaoongelea Pasco na Dark City basi alibebeka. Kwani mwanamke mrembo hawezi kufanikiwa kwa juhudi? Huo ndio ugomvi wangu.

Mimi niko kapu moja na Pasco kweli?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she touches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

Kitabu atakuwa amekiandika siku nyingi labda ni kukiupdate tuu, the problem is sio kila kinachoandikwa ni lazima kiwe printed!, hata kuandika tuu moyoni na kukisave kwenye the safest savers (medula oblongata) inatosha!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco

Kwa ufupi maana ya silver spoon and power from within .Kaka tafadhari.
 
Kwa ubaguzi huu wa rangi kupenda vingaavyo, au viangaza, nakiri udhaifu, ila na mimi sio kosa langu, ubaguzi huu uko kwenye damu, tangu enzi za mababu na mababu, na tunahonga kweli kweli hadi ng'ombe zaidi ya mia!, uzuri wetu hatuangalii umri, hata wewe kama vipi sema tuu mang'ombe yaletwe hapo mitaa ya Gerezani, nikimanisha kama ukiachika au mmiliki akitangulia, na uzuri wetu wa ziada, hatuna mwisho wa idadi kusema mwisho wanne!, mwisho wetu ni mwisho wa idadi ya ng'ombe wa kulipia tuu!.

Na ubaguzi wetu mzuri, utapewa kila kitu ila na wewe ni lazima ...

Pasco

Hao wanaume wamekwisha duniani? Ntolee shombo mie.
 
Sasa na wewe umeanza wivu. Kama wamemtunuku ni sawa. Mie ninachokataa ni kuunganisha dots za hili wezere langu na aina ya gari ninayotumia na cheo changu kazini. Bado wapo wanawake wanaofanikiwa, manake wanaobebwa tunaona anguko lao linavyokuwa kubwa.

Nadhani hiyo historia fupi ya The Boss inatosha kusema kama aliweza dawasco, na anaweza tanesco hata kama alibebwa kwa urembo anaoongelea Pasco na Dark City basi alibebeka. Kwani mwanamke mrembo hawezi kufanikiwa kwa juhudi? Huo ndio ugomvi wangu.

Kwa Ulitaka Kusemaje? Unamtetea? Hana Lolote Huyo Ni ---- Tu Kama Wengine Hana Legacy Ambayo Ataweza Kuiacha As a pattern to be recollected,kwanza Ni Mzinzi Tu Hana Adabu Kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mama yangu alinifundisha nisimuite mtu mzinzi unless nimeshazini nae. I presume kama hujazini nae, basi walau ulishawahi kunshikia mtu mguu akiwa anafanya hayo.

Simtetei, ila simhukumu manake sijui mambo yake binafsi. Na unakosea, i for one, siko kama wengine.

Back
Top Bottom