Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Torches
= touches

Hii ndiyo mikanjanja inayojiita waandishi wa habari.

Rangi yake inahusu nini?

We have a long way to go.

I adore Badra but it has nothing to do with her color.

Hivi hii ni friendly fire ama?Unajua mko kambi moja na Pasco?Ulichofanya ni ukiukwaji wa maadili ya kambi
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii ni friendly fire ama?Unajua mko kambi moja na Pasco?Ulichofanya ni ukiukwaji wa maadili ya kambi
Oh no Ben, basi na wewe utakuwa hunielewi!, mimi siwezi kuwa kambi moja na wanga!, majizi, jambazi, majangili na wauaji!, mashetani wakubwa!, kumkubali "jamaa yangu" is one thing, na kuwa kambi yake is another!.

Kama walivyo waaminio Mungu, wanakubali kuwa shetani yupo na ana powers, ila wanapaswa kumkataa shetani na mambo yake yote kuyataa, lakini hakumaanishi hayupo!.

Tumekuwa tukitawaliwa na huu utawala wa mashetani, namkataa shetani na mambo yake yote nayakataa, ila ninachokubali ni kuwa tuko chini ya utawala wa shetani, its a fact na ataendelea kutawala!, sasa if you have to choose in between the two devils choose the lesser!, vivyo hivyo kati ya mashetani wote waliopo, "jamaa yangu" ndie the lesser, kama ilivyo kwa ma zimwi, chagua zimwi likujualo, halikuli likakwisha!, tena 2015 ndio an opportunity to reverse the trend ya rais kukaa two terms!.

Pasco
 
Torches
= touches

Hii ndiyo mikanjanja inayojiita waandishi wa habari.

Rangi yake inahusu nini?

We have a long way to go.

I adore Badra but it has nothing to do with her color.
Thanks for correction!, ila wanga utawajua tuu, ni "fault finders" kazi yao kutafuta makosa tuu, na ndio hawa huishia kujifia na vijeba vya roho!.

Ila pia nakupongeza kwa ku adore, kwetu sisi wengi rangi ndio number moja, na hata ukisikia mahari za ng'ombe 100!, usidhani ni tabia!, ni rangi tuu!, na dada zetu wanajua ndio maana wengi wanahangaika na mikorogo, na hata wale wasio jikoroga, mild skin lightening cremes hawakosi kutupia tupia angalau watakatishe tuu zile ngozi zao!.

Tena naomba nisisahau kukujulisha, japo nakujua wewe ni mwanga mkubwa, lakini bado na ku adore!,

wengine tunapendaga tuu, hata wanga tunawapenda!.

Pasco.
 
Aliwahi kusimulia jinsi siasa ilivyoua habari corporation. Kina salva walibobea kupigia debe kina kikwete
 
Ila seriously Pasco, umenikwaza kuongelea muonekano wake na rangi yake wakati tunaongelea taaluma yake. Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Inakera sana mwanamke ambae anapambana kufika alipo na kuanza kuwa related na rangi ama umbo lake.
King'asti pole kwa kukwazika, facts are stubborn things!, mimi tatizo langu kubwa ni always kuusema ukweli jinsi ulivyo bila kuurembe au kukopesha!. Nakubaliana na wewe 100% kuwa kuna wengi wenu mnafika hapo mlipofika kwa derving merits, lakini pia naomba ukubaliane na mimi kuwa kuna wengine wengi, wanafika mbali kwa ku capitalise on weakness za watu, by turning them into strength!, hivyo hutumia "majaaliwa" yao kama ngazi ya kupandia mpaka kufika kileleni!, jee huyajui hayo?, au hayapo hivyo mimi nawasingizia?!, au unataka nikupe mpaka majina na mengine yako hadi ndani ya cabinet!.
Unaijua sifa kuu iliyotupatia mhe. spika wetu?. Ni jinsia!, CCM waliamua sasa ni wakati muafaka kupata spika wa jinsia tofauti!. 2015 wameamua pia tupate VP au PM wa jinsia ya pili, kila JM, kwa IGP na CDF ndio bado mbali!.

I'm I wrong?!.

Pasco
 
Umeeleza vizuri bossman. Lakini akiandika kuhusu yanayojiri na hapo tanesco, usisahau kesi ya kina mhando iko mahakamani na lazma yeye ni shahidi. Haya mambo ayaweke akiba, akifikisha umri wa miaka 55 astaafu kwa hiari na aandike bio yake. Kwa sasa asubiri, hata kina clinton na kina madiba waliandika baada ya kutoka ofisini.

Ila seriously Pasco, umenikwaza kuongelea muonekano wake na rangi yake wakati tunaongelea taaluma yake. Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Inakera sana mwanamke ambae anapambana kufika alipo na kuanza kuwa related na rangi ama umbo lake.

Anaweza subirikei ya Mhando iishe ndo aandike au aki print...
kukweli hakuna mtu writer au journalist so close to the kitchen kama yeye
ni its her responsibility to do the honor to her beloved Republic......to tell the truth...to answer some questions
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she touches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

Kitabu atakuwa amekiandika siku nyingi labda ni kukiupdate tuu, the problem is sio kila kinachoandikwa ni lazima kiwe printed!, hata kuandika tuu moyoni na kukisave kwenye the safest savers (medula oblongata) inatosha!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco

Pasco
hata wewe uko kwenye industry ambayo una more infos kuliko wananchi wa kawaida
na wewe pia hii ni changamoto
unaweza isaidia jamii yako na vizazi vijavyo kwa kuandika kitabu
hata ukiache uagize kichapishwe ten years after umekufa
itakuwa ni uzalendo mkubwa kuliko wote uliowahi kufanya only if kila utakacho kiandika ni ukweli asilimia 100
kwa kadri ulivyo fahamu
 
Last edited by a moderator:
No, but she's somebodies wife.
Pasco

Thanks Pasco.
Masoud is hard working and innovative and I had a feeling that if she is the wife of Masoud then this justify "in every successful man there a woman behind him"
 
Thanks for correction!, ila wanga utawajua tuu, ni "fault finders" kazi yao kutafuta makosa tuu, na ndio hawa huishia kujifia na vijeba vya roho!.

Ila pia nakupongeza kwa ku adore, kwetu sisi wengi rangi ndio number moja, na hata ukisikia mahari za ng'ombe 100!, usidhani ni tabia!, ni rangi tuu!, na dada zetu wanajua ndio maana wengi wanahangaika na mikorogo, na hata wale wasio jikoroga, mild skin lightening cremes hawakosi kutupia tupia angalau watakatishe tuu zile ngozi zao!.

Tena naomba nisisahau kukujulisha, japo nakujua wewe ni mwanga mkubwa, lakini bado na ku adore!,

wengine tunapendaga tuu, hata wanga tunawapenda!.

Pasco.

= Vijiba

Povu linakutoka kwa kusahihishwa.

Maandiko yako yanaonesha wewe ni mbaguzi wa rangi tu hauna kingine, hata ujaribu vipi ku justify, haisafishiki.
 
Torches
= touches

Hii ndiyo mikanjanja inayojiita waandishi wa habari.

Rangi yake inahusu nini?

We have a long way to go.

I adore Badra but it has nothing to do with her color.

Humjui Pasco kwa totoz? Mzoee tu. Hapo kasifia rangi, akipewa platform nyingine atasifia maeneo ya mgongoni! Mchukulie poa tu
 
Last edited by a moderator:
@ pasco is power from within = power of naniliu? # just asking lol
 
Mkuu The Boss, you are very right, bahati nzuri, nimetokea kumfahamu Badra since when she was a little girl, she is and always has been a very hard working girl and always very serious, (a no nonsense girl!), kwa rangi yake na alivyo, she is and always will be a target kwa sisi the weak ones, hivyo she was always a target, and always will be, hivyo kumdhania she is an easy prey!, but she was born with a silver spoon and she's got a "midas touch", everything she touches, turn to gold, and everyone who tries to mess her, he or she, simply perish!. She has "powers from within!". She is an 'iron lady'!.

Kitabu atakuwa amekiandika siku nyingi labda ni kukiupdate tuu, the problem is sio kila kinachoandikwa ni lazima kiwe printed!, hata kuandika tuu moyoni na kukisave kwenye the safest savers (medula oblongata) inatosha!.

I beg you, no questions and no explanations kwa sababu mambo ya "powers from within" .ni ngumu kuyaelezea ukaeleweka just kama inavyotokea ajali mbaya many perish ila unakuta kuna mtu amesuurvive without a scratch!. She is a survivor !.
Pasco

Mkuu Pasco tumia lugha moja utaeleweka na wengi, uzi umeletwa kwa kiswahili wale walifatilia mada hii lakini hawajui kizungu wamekosa busara zako.
 
Last edited by a moderator:
Umeeleza vizuri bossman. Lakini akiandika kuhusu yanayojiri na hapo tanesco, usisahau kesi ya kina mhando iko mahakamani na lazma yeye ni shahidi. Haya mambo ayaweke akiba, akifikisha umri wa miaka 55 astaafu kwa hiari na aandike bio yake. Kwa sasa asubiri, hata kina clinton na kina madiba waliandika baada ya kutoka ofisini.

Ila seriously Pasco, umenikwaza kuongelea muonekano wake na rangi yake wakati tunaongelea taaluma yake. Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Inakera sana mwanamke ambae anapambana kufika alipo na kuanza kuwa related na rangi ama umbo lake.

Pasco is a dirty minded harrasing women of colours he dared even to publish one Zanzibari scribe; Salma Said's photograph here in JF and boasted of having a fling with her and many coloured Zanzibari gilrs as a previlege he got from his status as a press corps member.
 
Last edited by a moderator:
Mchepuko wa Maswi! Hana jipya! Hata kuswali aliacha! Anasomeshewa watoto UK! Ni wakati wa kumrudia Mungu wake, aepuke zinaa!
 
Back
Top Bottom