Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Yea, filamu zake nyingi ni nzuri.

Kuanzia Mean Streets, Taxi Driver, Raging Bull, Goodfellas, mpaka The Departed zote bomba.

Nafikiri ndie the best director ever
we unasemaje?
 
Pasco ni kajanja hii nakupa mia ya mia.

Kama Pasco ni kanjanja basi ujue waliobaki ndo hasara tupu
Waandihi wa TZ wangapi wannaweza kufikia level ya Pasco?
sasa kama level hiyo ndo ukanjanja basi hatuna waandishi kabisa
 
Last edited by a moderator:
who is the best? Oliver Stone?

Kuna akina Steven Spielberg aliye-direct the Schindler's List, Alfred Hitchcock aliye-direct Psycho, Coppola aliye-direct Godfathers movies, na Peter Jackson aliye-direct Lord of the Rings.

Hata Tarantino ali-direct vizuri kwenye Reservoir Dogs and Pulp Fiction bila kumsahau Clint Eastwood.

Oliver Stone movies zake kama za kisiasa hivi na vita ya Vietnam.

Ni ngumu ku-choose who is the best b'se wana-direct movies tofauti.
 
Kama Pasco ni kanjanja basi ujue waliobaki ndo hasara tupu
Waandihi wa TZ wangapi wannaweza kufikia level ya Pasco?
sasa kama level hiyo ndo ukanjanja basi hatuna waandishi kabisa

Kafanya jambo gani la kutukuka huyu Pasco katika tasnia ya habari ? Pasco ni mshereheshaji wa maonyesho ya saba saba, zaidi ya hapo alikuwa spokesperson wa Lowasa lakini loyalty yake kwa Lowasa imeisha inaonekana mzee wa mvi kawa na mkono wa birika, najaribu kutafuta baada ya lowasa sijui anamlamba nani miguu.
 
Kama Pasco ni kanjanja basi ujue waliobaki ndo hasara tupu
Waandihi wa TZ wangapi wannaweza kufikia level ya Pasco?
sasa kama level hiyo ndo ukanjanja basi hatuna waandishi kabisa

Mkuu kwa lipi!?
Anaweza kufikia levo ya Kubenea?!
 
Last edited by a moderator:
Thanks Ben, kiukweli nakushukuru kunielewa, kwa sababu hii jf ya sasa, kuna wachache sana humu wenye uelewa huo wa kunielewa, mara nyingi zaidi sieleweki na wengi, ila huyo dada ndio hivyo nilivyoeleza!.

Pasco

98% ya member humu ndani hawakuelewi Pasco. Sababu ni
1. Critical thinkers wanazidi kupungua kwa kasi ya kimbunga cha sunami siku hadi siku kwasababu hili jukwaa linazidi kupunguza umaarufu kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele.
2. Uncritical thinkers/vijana wengi wasio na uwezo wa kufikiri ( labda kwa sababu hii imekuwa ajira kwa wengine hivyo kuuza fikra zao kwa waajiri wao) wanazidi kuongezeka kwa kadi ya ajabu hivyo wale wachache makini kumezwa.
So siyo rahisi kueleweka. Watu kama wakina Ben Saanane wamebaki wakuhesabu.
 
Last edited by a moderator:
Kafanya jambo gani la kutukuka huyu Pasco katika tasnia ya habari ? Pasco ni mshereheshaji wa maonyesho ya saba saba, zaidi ya hapo alikuwa spokesperson wa Lowasa lakini loyalty yake kwa Lowasa imeisha inaonekana mzee wa mvi kawa na mkono wa birika, najaribu kutafuta baada ya lowasa sijui anamlamba nani miguu.
Mkuu So Notorious, kwanza nakubaliana na wewe, Pasco huyu unayemjua sasa ni mshereheshaji tuu wa maonyesho ya Saba Saba na Nanenane, kwa nyie watu wa kisasa. Pasco aliondoka rasmi newroom mwaka 2002 na tangu hapo hajawahi kuajiriwa tena, sasa amebaki kama Mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea. Sasa ili kumjua Pasco, rudisha mawazo yako mwaka 2002 ulikuwa level gani, na kuanzia hapo ndipo turudi nyuma!.

Pasco hajawahi kuwa spokesperson wa Lowassa, hajawahi kufanya kazi yoyote kwa Lowassa, hajawahi kuhudhuria press conference yoyote ya Lowassa, hajawahi kuandika au kuripoti news yoyote ya Lowassa na wala hajawahi kufika Monduli, au kuhudhuria zile sherehe maarufu za Monduli!.

Kitu pekee alichofanya Pasco humu jf, ni kumkubali Lowassa, katika ukweli dhahiri usio na mawaa yoyote kuwa ndani ya CCM, Edward Ngoyai Lowassa, ndie the one and only best presidential candidate CCM has, na ikitokea asipitishwe, then asipitishwe kwa haki, vinginevyo patachimbika!.

Hata hivyo kumkubali kwangu Lowassa, ni personal tuu, tena kwa kujitolea, siko Team Lowassa!, sijawahi kuwepo!, wala sijawahi kupokea hata senti moja kutoka kwa Lowassa!, hivyo hoja ya kumlamba mtu miguu kwangu haipo!, ningekuwa mlamba miguu, ningemlamba Mkapa ambaye mtoto wake nimesoma naye darasa moja sekondari kwa miaka minne!, wakati kwa wengine wote Mkapa ni rais, mimi nimekwenda kwake kama baba fulani!. Ningekuwa ni mtu wa kujikomba komba na kujipendekeza, ningejikomba kwa Riz 1, nimekutana nae UDSM na tunaiva sana, hivyo angenishika mkono anipeleke kwa mshure wake!, why nilambe miguu ya mtu?!. Mimi niko kwenye lile kundi la "Maskini Jeuri" kama kina "Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!".

Ila pia nina mtu wangu wa karibu kwenye Team Lowassa, hii ndio timu yenye mkono mrefu kuliko team nyingine yoyote so far!. Tatizo langu na timu hii ni moja tuu, hali ya Afya ya Mzee wetu!, kwa vile rais wa Tanzania 2015, ameishachaguliwa na Mungu, then, alilolipanga Mungu, binadamu hawezi kulipangua!, ndio maana kule nyuma Mungu aliwahi kufanya muujiza wa "Jiwe walilolikataa waashi likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", na kuna mtu alielezwa kuwa "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!", kwa Tanzania hapa tulipofika, tuna mwamba mmoja tuu, "Mwamba wa Kaskazini!"
Lazima awe!, na asipokuwa basi itakuwa Mungu hakumpangia!, hivyo atakayekuwa rais wetu, 2015, ni yule tuu Mungu aliyempangia!.

Wasalaam!.

Pasco.
 
Mkuu kwa lipi!?
Anaweza kufikia levo ya Kubenea?!

Inawezekana hata wewe hujui mwandishi wa habari ni nani?
Kubenea anaandika one side stories only...

hawezi hata kuwahoji anao wapinga

kuwa mwandishi ni pamoja na kuwapa nafasi unao dhani hawafai

ndo maana unaona waandishi wa BBC walikuwa wanaenda kumhoji Gaddafi...
na kumpa nafasi......Mwambie Kubenea lini aliwahi hata kumhiji Nape Nnauye au Kinana?
 
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations, hiyo kampuni ikaja kununuliwa na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani Badra was there.

Halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea Badra was there Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa. Badra was there and still there.

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.

Aandike kitabu please

Pasco ...

Mmmmmmmmh! Ngoja Nijinyamazie Zangu Tu Manake............
 
Dada huyu nilimsikia tangu tanesco leo yupo wizarani kesho tusishangae kawa waziri, yaweza kua huyu dada ni kichwa sana

Ili Kuweza Kujua Kama Yeye Ni Kichwa Hebu Fuatilia Ofisi au Taasisi Zote Alizokuwepo Je Nazo Zilikuwa Na Ufanisi Ktk Nchi Hii? Tuacheni UNAFIKI Na SANIFU Watanzania.
 
Mchepuko wa Maswi! Hana jipya! Hata kuswali aliacha! Anasomeshewa watoto UK! Ni wakati wa kumrudia Mungu wake, aepuke zinaa!

Haya Sasa Mliokuwa Na Kiherehere Mpo???? Sasa Ngojeni Wanaomjua KINDAKINDAKI Wamwanike Huku Aaibike. Asante Mkuu!
 
Kwa Ulitaka Kusemaje? Unamtetea? Hana Lolote Huyo Ni ---- Tu Kama Wengine Hana Legacy Ambayo Ataweza Kuiacha As a pattern to be recollected,kwanza Ni Mzinzi Tu Hana Adabu Kabisa.

Haya Sasa Twende Kazi!
 
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations, hiyo kampuni ikaja kununuliwa na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani Badra was there.

Halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea Badra was there Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa. Badra was there and still there.

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.

Aandike kitabu please

Pasco ...
Uandishi wa vitabu ni talent mkuu. Wewe unaona ila yeye haoni. Kila mtu mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom