Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Mnajuaje kwamba yeye hahusiki au hana sympathy na wanaohusika kiasi cha kusababisha asiandike au hata akiandika atakachoandika kuwa spin tu?

Hata kama na yeye anahusika kama akiandika kitabu ataingia kwenye records
ataweka mwanzo wa mtu mwingine kuja kuandika ukweli ambao Badra kauficha...

Vile vile mtu anaweza kuhusika na bado akawa na 'guilty conscious' inamsumbua
hivyo akaweza aandika ukweli ili ku heal himself/herself ....

na hata akiandika spin tu ya kufichaficha still itajionesha na watu wata dispute

so mwisho wa yote kuna faida nyiingi sana iwapo tutamshawishi aandike kitabu na akaandika
 
The Boss

Unajua kinachotakiwa ni nini hapa?

Sio kumtaka Badra Masoud wala Benjamin Mkapa aandike kitabu chake. Kama walihusika kifisadi huwezi kutegemea wakupe habari za maana zitakazowahalifu wao wenyewe.

Kutaka hivyo kutakuwa ni "small thinking".

We need to think big.

Kinachotakiwa hapa ni kudai kupitishwe sheria za kulazimisha serikali na mashirika na institutions kutoa habari zinazotakiwa na wananchi, ili kila mtu aweze kuomba habari na kuandika kitabu, blog, research paper au hata kuelewa mwenyewe tu.

Kukiwa na msingi wa kisheria kama huu utaona hao kina Badra na Mkapa wanaandika wenyewe ili kuwahi kutoa their side of the story kabla watu hawajaandika kutokana na documents zinavyoonesha. Lakini sasa hata hawataki kuandika kwa sababu hawana cha kuandika ambacho hakitawashtaki, na wanajua wako protected na sheria kwamba documents nyingi hazionekani na wanaotaka kuandika.

Kwa hiyo sheria hii itaua ndege wawili kwa jiwe moja, itawa force wakubwa hawa waandike, lakini pia itaweka uwazi kwenye rekodi kiasi kwamba mtu yeyote aweze kuandika ili kuepuka kuacha mtu mmoja au kikundi cha wachache wadanganye jamii nzima.

Mkianza kumtaka Badra leo mtataka wangapi? Akiwapotezea mtamlazimishaje?

Unaweza kupata taabu sana ya kutengeneza listi ya watu wengi sana ambao unataka waandike vitabu, watu ambao huwezi kuwalazimisha kwa maana kisheria hawawajibiki kuandika kitabu, kama una kesi wape court order watoe ushahidi.

Au unaweza kulazimisha mamlaka zinazohusika zitoe habari, zitoe habari kamili, bila usumbufu na kwa muda unaotakiwa kwa wananchi wanaotaka habari hizo.

Hapo utakuwa umesaidia sana, strategically, kuliko kutaka mtu mmoja aandike.

Maana hata huyo Badra cha ziada alichonacho atakuwa na personal narrative tu, documents zote zitaanikwa.

In my opinion, this is what we should be focused on.

You can carpet the whole world so your feet do not touch the ground. Or you could just wear shoes and get the same results. Let's think strategically.

Marekani wana kitu kinaitwa "Freedom of Information Act". Imepitishwa tangu 1966 na kuanza kutumika 1967. Inasaidia sana kuweka uwazi, waandishi wakitaka habari wanatanguliza vifungu vya "Freedom of Information Act", ukiwanyima habari bila sababu muhimu unavunja sheria. A Tanzanian version may prove very useful.

FOIA.gov - Freedom of Information Act

http://en.wikipedia.org/wiki/Freedom_of_Information_Act_(United_States)

Consigliere EMT , hii kitu ipo bongo hii? Nakuwa sijawahi kuisikia kama ipo.
 
The Boss

Unajua kinachotakiwa ni nini hapa?

Sio kumtaka Badra Masoud wala Benjamin Mkapa aandike kitabu chake.

Kutaka hivyo kutakuwa ni "small thinking".

We need to think big.

Kinachotakiwa hapa ni kudai kupitishwe sheria za kulazimisha serikali na mashirika na institutions kutoa habari zinazotakiwa na wananchi, ili kila mtu aweze kuomba habari na kuandika kitabu, blog, research paperau hata kuelewa mwenyewe tu.

Mkianza kumtaka Badra leo mtataka wangapi?

Unaweza kupata taabu sana ya kutengeneza listi ya watu wengi sana ambao unataka waandike vitabu, watu ambao huwezi kuwalazimisha kwa maana kisheria hawawajibiki kuandika kitabu, kama una kesi wape court order watoe ushahidi.

Au unaweza kulazimisha mamlaka zinazohusika zitoe habari, zitoe habari kamili, bila usumbufu na kwa muda unaotakiwa kwa wananchi wanaotaka habari hizo.

Hapo utakuwa umesaidia sana, strategically, kuliko kutaka mtu mmoja aandike.

Maana hata huyo Badra cha ziada alichonacho atakuwa na personal narrative tu, documents zote zitaanikwa.

In my opinion, this is what we should be focused on.

You can carpet the whole worldso your feet do not touch the ground. Or you could just wear shoes and get the same results. Let's think strategically.

Marekani wana kitu kinaitwa "Freedom of Information Act". A Tanzanian version may prove very useful.

FOIA.gov - Freedom of Information Act

http://en.wikipedia.org/wiki/Freedom_of_Information_Act_(United_States)

Mkuu asante sana mchango wako
ni kweli hilo linaweza sana kufanikisha hilo

Wasiwasi wangu ni kuwa kuna siri zingine haziko documented...hata kukiwepo na sheria huzipati
mfano vikao ambavyo sio rasmi........mfano juzi wakati wa sakata la Escrow
Ulimsikia Zitto alivyo hadithia story ya Mwanasheria wa Tanesco alivyoondolewa kwenye kikao cha bodi kwa
na kuamrishwa kuandika Barua ya kujiuzulu....na alisindikizwa kutoka nje na mbunge Mwambalaswa...

Now naamini mambo kama hayo ni ngumu kuyapata hadi mtu ajitolee kuyasema au kuyaandikia kitabu...

So hapa nashawishi tu wakiweza waandike kitabu ingawa hiyo ya 'Freedom of Information Act'
definitely ni better.......until then.......labda watakuwepo wachache watakao kuwa na ujasiri wa kuandika...tuwashawishi
while tunapigania hiyo pia
 
Bongo bahati ina nafasi ndogo sana, network ndio mpango mzima. Huko City water enzi hizo mzee mamvi waziri wa maji, Habari corp kwa Rostam biz partner wa mamvi, Richmond ilikuwa Rostam na mamvi.... October mamvi anaingia Ikulu na bahati inaendelea au network inaendelea. Connect dots hapo rafiki....

Pia Pasco wa JF anadaiwa ni Team mamvi..., ni dots kwa kwenda mbele

umenena vema, huyu badra kilichomtoa ni network, na mwanzo wa network yake ni pale alipokua na uhusiano wa kiimapenzi na mtoto wa kigogo wa usalama wa taifa Tom apson mwangonda, badra na tom walikua wanapendana sana na wamekua kwenye mahusiano tangu badra alipokua chuo cha diplomasia kurasini the only thing kilichokuja kuwatenganisha ni dini, walishindwa kufunga ndoa kwa sababu ya tofauti za kidini ila pamoja na kuachana tom amekua akimpabdra channel za maana mpaka kufika hapo alipo naweza kusema tom ana mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya bdra
 
Mkuu asante sana mchango wako
ni kweli hilo linaweza sana kufanikisha hilo

Wasiwasi wangu ni kuwa kuna siri zingine haziko documented...hata kukiwepo na sheria huzipati
mfano vikao ambavyo sio rasmi........mfano juzi wakati wa sakata la Escrow
Ulimsikia Zitto alivyo hadithia story ya Mwanasheria wa Tanesco alivyoondolewa kwenye kikao cha bodi kwa
na kuamrishwa kuandika Barua ya kujiuzulu....na alisindikizwa kutoka nje na mbunge Mwambalaswa...

Now naamini mambo kama hayo ni ngumu kuyapata hadi mtu ajitolee kuyasema au kuyaandikia kitabu...

So hapa nashawishi tu wakiweza waandike kitabu ingawa hiyo ya 'Freedom of Information Act'
definitely ni better.......until then.......labda watakuwepo wachache watakao kuwa na ujasiri wa kuandika...tuwashawishi
while tunapigania hiyo pia

I get you.

Kuna msemo mmoja wa Mafiosi unaotokana na kiapo chao cha utii na ukimya cha "omerta".

Wanasema "those who know don't talk, those who talk don't know a thing".

Sasa naona bongo nako kama kuna Mafia cabal complete with an "omerta".

Ndiyo maana unaona watu hawaandiki vitabu.

Sasa tushasikia kumbe kuna Apson connection hapo, siwezi kutegemea kitu kitoke kabla ya kuwa redacted to death, kiasi kwamba hata kikitoka hakina maana tena, kinakuwa more boilerplate than a recycled CCM speech.
 
Haahaa kwa kweli hiyo info ni very interesting for sure
jana nilitazama tena kwa mara zaidi ya 20 'The Good fellas'

Inawezekana now kila kitu kinaendeshwa na ' The wiseguys'
more than we think....
 
Marekani wana kitu kinaitwa "Freedom of Information Act". Imepitishwa tangu 1966 na kuanza kutumika 1967. Inasaidia sana kuweka uwazi, waandishi wakitaka habari wanatanguliza vifungu vya "Freedom of Information Act", ukiwanyima habari bila sababu muhimu unavunja sheria. A Tanzanian version may prove very useful.

FOIA.gov - Freedom of Information Act

http://en.wikipedia.org/wiki/Freedom_of_Information_Act_(United_States)

Consigliere EMT , hii kitu ipo bongo hii? Nakuwa sijawahi kuisikia kama ipo.

Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika Brazil April 2012, Rais Kikwete alisema "I promise that we will do our best to live up to the expectations of this partnership to promote transparency and accountability of our government to the people of Tanzania. I wish to reaffirm that our political will to achieve the OGP goals will not falter because open government is at the heart of the contract between state and citizens."

Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika London mwaka 2013, Rais Kikwete alifanya mahojiano Oktoba 31 ambapo alisema "We are now working on enacting a freedom of information law. By April next year, the parliament will enact this bill, giving the common citizen the right to have information from government."

Akaongeza kuwa "If people want information on how medicines are distributed, if people want information on budgets for their primary school, they should have the right to that information. If people want information on when they will get water supply, they should have that right. When people ask for this information, they should not be seen as trying to venture into areas which are not theirs." Sikiliza hapa kuanzia dakika ya 8.40.

Ukisoma Tanzania Open Government Partnership (OGP) Second National Action Plan 2014/15 - 2015/16 inasema kuwa "at the OGP London Summit in October 2013, H.E. President Dr. Jakaya M. Kikwete made a public commitment to enact Access to information law. Progress is being made on this, including the preparation of a paper by the Ministry of Constitutional and Legal Affairs proposing a Freedom of Information Act."

Kwa hiyo, inaonekana ahadi aliyoitoa mwaka 2013 kuwa mswada huo ungefikishwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria April 2014 haijatimizwa. Linganisha na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Tony Blair ambaye mwaka 1997 alitoa ahadi ya kuwa na sheria kama hii na ikatungwa mwaka 2000 as Freedom of Information Act 2000.

Halafu nimesoma Kiwete's Twitter account has been deactivated. President Kikwete led the pack with more than 233,000 followers, says Maxence Melo, the founder of Jamii Forum and a digital security expert. Sababu za account kuwa deactivated, hazijulikani.

Kuna makala moja ya Ben Taylor iliyochapishwa The Guardian mwaka 2013 ambapo alikuwa skeptical mapema kabisa akidai kuwa "Bold commitments were made by President Kikwete on the first day of the partnership summit. But, as experience shows, civil society would be wise not to start celebrating just yet".

Kwa hiyo, bado tuna njia ndefu. Kama alivyosema Taylor kwenye makala yake, "How does the government reconcile the suspension of three newspapersand the prime minister's exhortation in parliament for the police to "beat" protesters with Tanzania's commitment to open government? Open government means much more than delivering on a list of technical actions. It involves a change of mindset and a different approach to how government works.

I sense that there is a struggle going on within government. Some ministers and officials support the open government ideal, others couldn't care less. As is usually the case, in parts of government where there is more support, where individual politicians or civil servants have been willing to push, there has been quicker progress."

Mwanahabari Badra Masoud ambae The Boss anamzungumzia ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini. inawezekana ameona mengi, but as a civil servant amekuwa willing to push for transparency within his ministry au wizara nyingine alizowahi kufanya kazi?

Siwezi kujua lakini utafiti wa haraka haraka unaonyesha kuwa wizara alipo sasa ni member wa JF aka Nishati na Madini. Inawezekana labda yeye ndiye aliyekuja na pendekezo kwa wizara kuwa member wa JF which is a great idea, of course. Lakini pamoja na mazagazaga kibao yanayotokea ndani ya wizara hiyo ni mara ngapi wamekuwa wakiweka habari zao hata hapa JF?

Nishati na Madini
ilijiunga na JF 18th May 2013. So far imeshaweka posts 11, post ya mwisho ikiwa 15t July 2013, 15:54. Moja ya thread yake ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-mtwara-na-lindi-inavyonufaika-na-gesi.html.

Lakini sidhani kama struggle anayoingelea Taylor ipo ndani ya serikali tuu. Ipo pia ndani ya wananchi kama ilivyoonyeshwa baada ya kufungiwa kwa gazeti la East African. Lakini jambo la msingi ni kuwa wananchi wengi hawajui haki zao, zikiwemo zile za msingi. Wananchi wengi hawazifahamu haki za binadamu. On the other hand, it is possible that hata kama wakijua haki zao, inaweza kuwa ngumu kuzi-enforce. Hawana resources wala watu wa kuwasaidia.

It is good to have a freedom of information legislation. However, how this legislation will be implemented is entirely a different matter. Utaandika barua ya kuomba info fulani utasubiri majibu mpaka utachoka.
 
jana nilitazama tena kwa mara zaidi ya 20 'The Good fellas'

Mie nimeshindwa ku-count. Serikali inafanya kazi kama Paulie.

"It was tribute just like the old country except they're doing it here in America"

Last edited by a moderator:

Kwa hiyo, bado tuna njia ndefu. Kama alivyosema Taylor kwenye makala yake, "How does the government reconcile the suspension of three newspapers and the prime minister's exhortation in parliament for the police to "beat" protesters with Tanzania's commitment to open government? Open government means much more than delivering on a list of technical actions. It involves a change of mindset and a different approach to how government works.

I sense that there is a struggle going on within government. Some ministers and officials support the open government ideal, others couldn't care less. As is usually the case, in parts of government where there is more support, where individual politicians or civil servants have been willing to push, there has been quicker progress."

Mwanahabari Badra Masoud ambae The Boss anamzungumzia ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini. inawezekana ameona mengi, but as a civil servant amekuwa willing to push for transparency within his ministry au wizara nyingine alizowahi kufanya kazi?

Siwezi kujua lakini utafiti wa haraka haraka unaonyesha kuwa wizara alipo sasa ni member wa JF aka Nishati na Madini. Inawezekana labda yeye ndiye aliyekuja na pendekezo kwa wizara kuwa member wa JF which is a great idea, of course. Lakini pamoja na mazagazaga kibao yanayotokea ndani ya wizara hiyo ni mara ngapi wamekuwa wakiweka habari zao hata hapa JF?
Nishati na Madini ilijiunga na JF 18th May 2013. So far imeshaweka posts 11, post ya mwisho ikiwa 15t July 2013, 15:54. Moja ya thread yake ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-mtwara-na-lindi-inavyonufaika-na-gesi.html.

Lakini sidhani kama struggle anayoingelea Taylor ipo ndani ya serikali tuu. Ipo pia ndani ya wananchi kama ilivyoonyeshwa baada ya kufungiwa kwa gazeti la East African. Lakini jambo la msingi ni kuwa wananchi wengi hawajui haki zao, zikiwemo zile za msingi. Wananchi wengi hawazifahamu haki za binadamu. On the other hand, it is possible that hata kama wakijua haki zao, inaweza kuwa ngumu kuzi-enforce. Hawana resources wala watu wa kuwasaidia.

It is good to have a freedom of information legislation. However, how this legislation will be implemented is entirely a different matter. Utaandika barua ya kuomba info fulani utasubiri majibu mpaka utachoka.

Thanks for the detailed input.

Hapo ndipo tunapohitaji lawsuit society.

Mtu anaomba information, unamchelewesha kwa miezi mitatu, bila ya sababu muhimu, anakupeleka mahakamani na kuku sue for losses, anakupigoa hesabu za ki Shylock hela alizopoteza kea kuchelewedhewa info, plus interest. Taasisi ys serikali inalazimika kufidia.

Tukipata kesi mbili tatu za hivi lsbda watatia akili.

Au labda nafikiri kimtoni mtoni, huko bongo majalama haiqezi lu rule agaimst serikali, na hata iki rule against, iliwa wizara za serikali hazilipii umeme tu, ku collect ai itakuwa mbinde?
 
Last edited by a moderator:
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations, hiyo kampuni ikaja kununuliwa na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani Badra was there.

Halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea Badra was there Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa. Badra was there and still there.

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.

Aandike kitabu please

Pasco ...

Sidhani kama unayoyasema ni ya kweli kuhusu Badra. Mbona usemi alipokuwa mlimani, mbona usemi alipoingia Mlimani mwajiri wake alikuwa nani.
 
Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika Brazil April 2012, Rais Kikwete alisema "I promise that we will do our best to live up to the expectations of this partnership to promote transparency and accountability of our government to the people of Tanzania. I wish to reaffirm that our political will to achieve the OGP goals will not falter because open government is at the heart of the contract between state and citizens."

Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika London mwaka 2013, Rais Kikwete alifanya mahojiano Oktoba 31 ambapo alisema "We are now working on enacting a freedom of information law. By April next year, the parliament will enact this bill, giving the common citizen the right to have information from government."

Akaongeza kuwa "If people want information on how medicines are distributed, if people want information on budgets for their primary school, they should have the right to that information. If people want information on when they will get water supply, they should have that right. When people ask for this information, they should not be seen as trying to venture into areas which are not theirs." Sikiliza hapa kuanzia dakika ya 8.40.

Ukisoma Tanzania Open Government Partnership (OGP) Second National Action Plan 2014/15 - 2015/16 inasema kuwa "at the OGP London Summit in October 2013, H.E. President Dr. Jakaya M. Kikwete made a public commitment to enact Access to information law. Progress is being made on this, including the preparation of a paper by the Ministry of Constitutional and Legal Affairs proposing a Freedom of Information Act."

Kwa hiyo, inaonekana ahadi aliyoitoa mwaka 2013 kuwa mswada huo ungefikishwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria April 2014 haijatimizwa. Linganisha na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Tony Blair ambaye mwaka 1997 alitoa ahadi ya kuwa na sheria kama hii na ikatungwa mwaka 2000 as Freedom of Information Act 2000.

Halafu nimesoma Kiwete's Twitter account has been deactivated. President Kikwete led the pack with more than 233,000 followers, says Maxence Melo, the founder of Jamii Forum and a digital security expert. Sababu za account kuwa deactivated, hazijulikani.

Kuna makala moja ya Ben Taylor iliyochapishwa The Guardian mwaka 2013 ambapo alikuwa skeptical mapema kabisa akidai kuwa "Bold commitments were made by President Kikwete on the first day of the partnership summit. But, as experience shows, civil society would be wise not to start celebrating just yet".

Kwa hiyo, bado tuna njia ndefu. Kama alivyosema Taylor kwenye makala yake, "How does the government reconcile the suspension of three newspapersand the prime minister's exhortation in parliament for the police to "beat" protesters with Tanzania's commitment to open government? Open government means much more than delivering on a list of technical actions. It involves a change of mindset and a different approach to how government works.

I sense that there is a struggle going on within government. Some ministers and officials support the open government ideal, others couldn't care less. As is usually the case, in parts of government where there is more support, where individual politicians or civil servants have been willing to push, there has been quicker progress."

Mwanahabari Badra Masoud ambae The Boss anamzungumzia ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini. inawezekana ameona mengi, but as a civil servant amekuwa willing to push for transparency within his ministry au wizara nyingine alizowahi kufanya kazi?

Siwezi kujua lakini utafiti wa haraka haraka unaonyesha kuwa wizara alipo sasa ni member wa JF aka Nishati na Madini. Inawezekana labda yeye ndiye aliyekuja na pendekezo kwa wizara kuwa member wa JF which is a great idea, of course. Lakini pamoja na mazagazaga kibao yanayotokea ndani ya wizara hiyo ni mara ngapi wamekuwa wakiweka habari zao hata hapa JF?

Nishati na Madini
ilijiunga na JF 18th May 2013. So far imeshaweka posts 11, post ya mwisho ikiwa 15t July 2013, 15:54. Moja ya thread yake ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-mtwara-na-lindi-inavyonufaika-na-gesi.html.

Lakini sidhani kama struggle anayoingelea Taylor ipo ndani ya serikali tuu. Ipo pia ndani ya wananchi kama ilivyoonyeshwa baada ya kufungiwa kwa gazeti la East African. Lakini jambo la msingi ni kuwa wananchi wengi hawajui haki zao, zikiwemo zile za msingi. Wananchi wengi hawazifahamu haki za binadamu. On the other hand, it is possible that hata kama wakijua haki zao, inaweza kuwa ngumu kuzi-enforce. Hawana resources wala watu wa kuwasaidia.

It is good to have a freedom of information legislation. However, how this legislation will be implemented is entirely a different matter. Utaandika barua ya kuomba info fulani utasubiri majibu mpaka utachoka.

Hiyo akaunti ya twitter itakuwa wahanga wa Escrow walimsukumia ujumbe mzito ikabidi aiweke uvunguni!
 
subirini watu wakishaingia ikulu, halafu utasikia huyo dada atakuwa nafasi gani, kama si ofisi moja na pasco ya kurugenzi.
 
It is good to have a freedom of information legislation. However, how this legislation will be implemented is entirely a different matter. Utaandika barua ya kuomba info fulani utasubiri majibu mpaka utachoka.

Sunshine Laws kinadharia zinaweza hata kusaidia kwa kiasi fulani kulijibu swali langu la mwaka 2007 kuhusu mishahara ya viongozi wetu.

Lakini kwenye utekelezaji ndo kunaweza kukawepo na vikwazo.

Kama sasa hivi tu watu kuelewa walau kinadharia kuhusu mishahara ya viongozi wa umma kuwekwa wazi ni tatizo sembuse hizo taarifa zingine?

Si ajabu utaulizwa 'we unazitakia nini'?

Hii nchi matatizo yake si sheria na utekelezwaji wake tu.

Fikra duni nadhani ndo tatizo kubwa zaidi.
 
Mie nimeshindwa ku-count. Serikali inafanya kazi kama Paulie.

"It was tribute just like the old country except they're doing it here in America"

EMT umeiona 'the wolves of wall street'?
Martin Scorsese na style fulani ya kutengeneza movie sijaona mwingine anaefanana nae
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama unayoyasema ni ya kweli kuhusu Badra. Mbona usemi alipokuwa mlimani, mbona usemi alipoingia Mlimani mwajiri wake alikuwa nani.
Mkuu Mwanamayu, kwenye freedom of expression, mtu unasema kile tuu ulichodhamiria ambacho kinahusu mada husika, kama hakihusu kinaachwa!, na wewe uko huru kutoa kile unachokijua only if kama kinahusu mada iliyoko mezani!.

Pasco
 
EMT umeiona 'the wolves of wall street'?
Martin Scorsese na style fulani ya kutengeneza movie sijaona mwingine anaefanana nae

Yea, filamu zake nyingi ni nzuri.

Kuanzia Mean Streets, Taxi Driver, Raging Bull, Goodfellas, mpaka The Departed zote bomba.
 
Back
Top Bottom