mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,059
- 132,509
Huyo dada anapenda kutetea ufisadi,alikuwa anatetea ufisadi tanesco,aliwatetea akina maswi kipindi alivyowatuhumu kuwa wabunge wamehongwa,haya tuje tena sakata la escrow alikuwa akiwatetea tena akina maswi na muhongo as hakuna chochote walichofanya,huyo dada anajua maovu mengi na bado anakaa kimya,sasa jiulize ni kwa nini akae kimya????.....the answer is,she is also a corrupt,pia alikuwa akimtuhumu mengi waziwazi kuwa ndiyo mchochezi wa sakata la escrow na alikuwa aki msapoti bosi wake muhongo a.k.a muongo kuwa wa tanganyika hawana uwezo wa kuwekeza kwenye nishati na madini,i really hate her
kwa nafasi aliyonayo badra yeye kusema na kuandika anachoambiwa na wakuu zake....period
hana maamuzi yoyote ktk tanesco....