Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

Badra Masoud aandike kitabu muhimu mno!

umenena vema, huyu badra kilichomtoa ni network, na mwanzo wa network yake ni pale alipokua na uhusiano wa kiimapenzi na mtoto wa kigogo wa usalama wa taifa Tom apson mwangonda, badra na tom walikua wanapendana sana na wamekua kwenye mahusiano tangu badra alipokua chuo cha diplomasia kurasini the only thing kilichokuja kuwatenganisha ni dini, walishindwa kufunga ndoa kwa sababu ya tofauti za kidini ila pamoja na kuachana tom amekua akimpabdra channel za maana mpaka kufika hapo alipo naweza kusema tom ana mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya bdra

Asante Mkuu Zidi Kutiririka....Watu Wanadhani Anapata Hizo Nyadhifa Labda Kwa Ueledi Wake Kumbe Ni " MAMA NIBEBE " a.k.a Mbeleko.
 
Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika Brazil April 2012, Rais Kikwete alisema "I promise that we will do our best to live up to the expectations of this partnership to promote transparency and accountability of our government to the people of Tanzania. I wish to reaffirm that our political will to achieve the OGP goals will not falter because open government is at the heart of the contract between state and citizens."

Kwenye Open Government Partnership (OGP) Summit iliyofanyika London mwaka 2013, Rais Kikwete alifanya mahojiano Oktoba 31 ambapo alisema "We are now working on enacting a freedom of information law. By April next year, the parliament will enact this bill, giving the common citizen the right to have information from government."

Akaongeza kuwa "If people want information on how medicines are distributed, if people want information on budgets for their primary school, they should have the right to that information. If people want information on when they will get water supply, they should have that right. When people ask for this information, they should not be seen as trying to venture into areas which are not theirs." Sikiliza hapa kuanzia dakika ya 8.40.

Ukisoma Tanzania Open Government Partnership (OGP) Second National Action Plan 2014/15 - 2015/16 inasema kuwa "at the OGP London Summit in October 2013, H.E. President Dr. Jakaya M. Kikwete made a public commitment to enact Access to information law. Progress is being made on this, including the preparation of a paper by the Ministry of Constitutional and Legal Affairs proposing a Freedom of Information Act."

Kwa hiyo, inaonekana ahadi aliyoitoa mwaka 2013 kuwa mswada huo ungefikishwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria April 2014 haijatimizwa. Linganisha na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Tony Blair ambaye mwaka 1997 alitoa ahadi ya kuwa na sheria kama hii na ikatungwa mwaka 2000 as Freedom of Information Act 2000.

Halafu nimesoma Kiwete's Twitter account has been deactivated. President Kikwete led the pack with more than 233,000 followers, says Maxence Melo, the founder of Jamii Forum and a digital security expert. Sababu za account kuwa deactivated, hazijulikani.

Kuna makala moja ya Ben Taylor iliyochapishwa The Guardian mwaka 2013 ambapo alikuwa skeptical mapema kabisa akidai kuwa "Bold commitments were made by President Kikwete on the first day of the partnership summit. But, as experience shows, civil society would be wise not to start celebrating just yet".

Kwa hiyo, bado tuna njia ndefu. Kama alivyosema Taylor kwenye makala yake, "How does the government reconcile the suspension of three newspapersand the prime minister's exhortation in parliament for the police to "beat" protesters with Tanzania's commitment to open government? Open government means much more than delivering on a list of technical actions. It involves a change of mindset and a different approach to how government works.

I sense that there is a struggle going on within government. Some ministers and officials support the open government ideal, others couldn't care less. As is usually the case, in parts of government where there is more support, where individual politicians or civil servants have been willing to push, there has been quicker progress."

Mwanahabari Badra Masoud ambae The Boss anamzungumzia ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini. inawezekana ameona mengi, but as a civil servant amekuwa willing to push for transparency within his ministry au wizara nyingine alizowahi kufanya kazi?

Siwezi kujua lakini utafiti wa haraka haraka unaonyesha kuwa wizara alipo sasa ni member wa JF aka Nishati na Madini. Inawezekana labda yeye ndiye aliyekuja na pendekezo kwa wizara kuwa member wa JF which is a great idea, of course. Lakini pamoja na mazagazaga kibao yanayotokea ndani ya wizara hiyo ni mara ngapi wamekuwa wakiweka habari zao hata hapa JF?

Nishati na Madini
ilijiunga na JF 18th May 2013. So far imeshaweka posts 11, post ya mwisho ikiwa 15t July 2013, 15:54. Moja ya thread yake ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-mtwara-na-lindi-inavyonufaika-na-gesi.html.

Lakini sidhani kama struggle anayoingelea Taylor ipo ndani ya serikali tuu. Ipo pia ndani ya wananchi kama ilivyoonyeshwa baada ya kufungiwa kwa gazeti la East African. Lakini jambo la msingi ni kuwa wananchi wengi hawajui haki zao, zikiwemo zile za msingi. Wananchi wengi hawazifahamu haki za binadamu. On the other hand, it is possible that hata kama wakijua haki zao, inaweza kuwa ngumu kuzi-enforce. Hawana resources wala watu wa kuwasaidia.

It is good to have a freedom of information legislation. However, how this legislation will be implemented is entirely a different matter. Utaandika barua ya kuomba info fulani utasubiri majibu mpaka utachoka.

Sijazmaliza Kusoma Hii Yote Kwani Nimepatwa Na Usingizi Ngoja Nilale Na Nikiamka Nitaimalizia. Na Hata Sasa Sikumbuki Nilipoishia.
 
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa yanatokea yeye akiwa jikoni kabisa nina uhakika ana taarifa nyingi muhimu mno kwa kusomwa na vizazi na vizazi kwanza Badra alikuwa mwandishi Habari Corporations, hiyo kampuni ikaja kununuliwa na Rostam na kumfanyia debe la nguvu Kikwete na Lowassa waingie madarakani Badra was there.

Halafu aliwahi fanya kazi City water huko nako kulikuwa na a lot yalitokea Badra was there Akaenda Tanesco wakati wa kilele cha kashfa kibao hadi mkurugenzi Mhando akapelekwa mahakamani na Idrissa akafanyiwa kampeni ya kumng'oa Badra was there Halafu kutoka Tanesco akaenda wizara ya Nishati hadi kashfa ya Escrow inatokea Muhongo na Maswi wanaondolewa. Badra was there and still there.

Kwa kweli tungekuwa Marekani Badra angepewa offa ya mamilioni ili aandike kitabu aeleze yoote aliyoyajua kuanzia Habari Corporation hadi City water hadi TANESCO hadi Wizara ya Nishati ingawa tuko TZ naamini still Badra anaweza kujua jukumu lake la kizalendo la kuacha documentation ya mengi ambayo Taifa linahitaji kuyajua.

Aandike kitabu please

Pasco ...
Badra namfahamu vizuri na nilisoma naye UDSM, she is really serious in her works. Nakumbuka na kusikitika sana wakati Prof. Baregu alipomzushia rabsha na kum-disco sio kwa kufeli mtihani ila kwa kutoelewana na kwamba alikuwa hahudhurii baadhi ya seminars. Woote tulisikitika lakini hakujali sana. Alikuja kumaliza shule yake vizuri na Prof. Baregu akatimuliwa UDSM baada ya contract renewal ilipokataliwa. Ni hayo tu.
 
Mwacheni badra masoud binti wa mzee haji
Msiye mkubali endeeleni kutomkubali na mnaye mkubali endeeleni kukubali!
 
Badra namfahamu vizuri na nilisoma naye UDSM, she is really serious in her works. Nakumbuka na kusikitika sana wakati Prof. Baregu alipomzushia rabsha na kum-disco sio kwa kufeli mtihani ila kwa kutoelewana na kwamba alikuwa hahudhurii baadhi ya seminars. Woote tulisikitika lakini hakujali sana. Alikuja kumaliza shule yake vizuri na Prof. Baregu akatimuliwa UDSM baada ya contract renewal ilipokataliwa. Ni hayo tu.

Inaonekana kila anaejaribu kumkwamisha hukumbwa na balaa mbele
cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Sasa mmeanza mbinu chafu za kusaka vyeo. Aibu! Acheni ujinga huu na huyo aliyewatuma mbona ana connections za ajabu mno? Hamna haja ya kumpigia kampeni, atapanda tu huyu maana yupo connected haswa!!!
 
Pasco is a dirty minded harrasing women of colours he dared even to publish one Zanzibari scribe; Salma Said's photograph here in JF and boasted of having a fling with her and many coloured Zanzibari gilrs as a previlege he got from his status as a press corps member.
Mkuu Punjabu Singi, habari za masiku?, niko tena Zanzibar kwa wiki nzima kwenye Diaspora, na hii picha ilipigwa jana na aliyepiga ni yeye.

Salma Said
Pascal Mayalla akiwa kwenye kwenye hafla ya ufungaji waZanzibar Diaspora

Like
· Reply ·
https://www.facebook.com/permalink....100008445132656&comment_id=1796689860622501&#
Nimekuwekea ili haya sasa, nenda ukantangaze tena!.

Tutamshauri mode tuongeze rules, hata kama ni kutumia pen names, sii ruhusa kwa mtu wa jinsia ya kike kutumia avatar na jina la kiume, iwe kama mtu ni she, lazima atumie jina na avatar ya she, na kama ni he, lazima atumie jina na avatar ya he, ili katika majadiliano, watu tunadhani tunajadiliana na wanaume, kumbe ni wanawake wanaotumia avatar na majina ya kiume, ila thanks God, utawatambua wakati wanapoanza kuleta mambo ya kike kama umbea huu kwenye bandiko very serious.

Ila kama mtu ni mwanaume, ni aibu sana kuleta mambo ya kike kwenye mijadala ya serious issues!.

Paskali
 
King'asti, unazidi kunimaliza!, siku hizi karibu wanunuzi wote wa 'magari', wana fanya test drive drive kabla hawajanunua!, lile gari linalotumika kufanyia test drive kwenye maduka ya brand new, nalo pia linauzwa kama used, sasa huwezi kulinunua gari lilifanyiwa test drive ukajidai ni brand new, hata kama mtu wa kwanza kufanya hiyo 'test drive' ndio wewe mwenyewe, hivyo 'ulilifungua mwanzo' na kisha ukalinunua mwenyewe, sheria ya upya ni 'gari' ambalo halijaendeshwa kabisa!. Matumizi yoyote ya gari kabla halijanunuliwa, ni 'using', hivyo mengi ya magari yaliyoko barabarani ni 'used', enzi zile za zamani, enzi za mabu zetu, ndio 'brand new' zilikuwa zikipatikana, kulikuwa hakunaga 'test drive!' ni either ununue, au uache!. Only wa enzi hizo ndio walikuwa na ile tag ya 'purity!', hivyo uko right, mtu hawezi kunyooshea kidole mtu mwingine yoyote kuwa ni 'used!' unless alitumia yeye, au alimshikia mguu!.

Pasco.
Nakuelewa sana pasco unaitendea haki nafasi ya kiranga teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom