Hivi sumsung A21 na A21s shingap?Siwezi kutoa laki sita na nusu kununua Tecno
Hiyo hela napata Samsung galaxy a51 au M31s au Poco x3
Jamaa unachamba wewe saw mkuuTecno baba lao ndio simu inayo ongoza
kuongelewa zaidi jamii forum
Utofauti ni kwamba tecno, infinix azijiweki vocha zenyewe Ila zile za matjiri
Samsung Nokia, oppo, iPhone n.k izi upati shida ukinunua vocha ukiweka juu ya display isha recharg yenyewe
Tecno infinix na mjomba wao Itel awa unachaji mpaka unachoka
Ila simu zetu zile za pesa mingi mingi
Zina jichaji zenyewe ikiwa battery low ukigusa tu display ishajaa ao jamaa wajuu sijui wanashndwa wapi?
Tecno infinix na ndugu wa damu Itel
Umpigii mtu, fb uingii insta utakuskia tu, jamii forum ndio usiseme, twita ndio shida, teregram kama kituo cha polisi picha ukipga azisafishiki,
Ila za matajiri babu kubwa yani iPhone Nokia Samsung oppo,sony xperia izi kila kitu apo juu zinafanya ata mtu umpigie mtu na asipokee kusudi zinakwambia kafanya kusudi ndio faida ya simu hizi za matajiri
Ila za wanyonge ndugu wa tatu wale utaskia tu kudadeki ebu badilikeni Tecno na ndugu zako muweze Fanya ayo.
Shingap hiyoMwaka juzi nliibiwa tecno wx4 kweli sikuumia saana
Ila sio hii ya sasa angalau nimeelewa Samsung A11 ikiibiwa ntaitafuta hadi niipate sitaiacha bure kama ile tecno.
Home nnazo mbili iyo Nokia ya 7.2 pamoja na Tecno phantom 6 plus zote screen gorilla glass na zote ziko moto tu utofaut ni Tecno na NokiaSasa mbona unashabikia Tecno
😆😆😆😆Tecno mkombozi wa wanyonge
Kwenye daladal ikiita tu kila ltu anjisachi kuanzia sukapamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno
Inamaana simu zingine hamna hii kitu[emoji1]Nan inamfaa simu muda wote inakwambia unfortunately sms has stopped, phone book, chrome mwisho processor na inazima then inawaka nan anataka huu ujinga tena!!!?
Nina TECNO F1 ambayo niliinua Tsh 160,000/= mwaka 2019, ila najivunia nayo mno kwakuwa inaniwezesha tu Kuwasiliana kama ufanyavyo Wewe.Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....
Naomba kuwasilishaa.
Simu inanunuliwa sio kwa muonekano,yaliyomo(specs),ndio zinauza simuBinafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....
Naomba kuwasilishaa.
Mimi Kama msemaji wa umoja wa watumiaji wa Tecno na infinix (UWATEI) nasema hivi uzushi huu hauvumiliki najaribu kuongea na mwanasheria wetu...tutaita waandishi wa habari kutoa msimamo wetu..stay tuned!!Nasikia tecno zikipata joto unaweza kutumia kama pasi kunyooshea nguo
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....
Naomba kuwasilishaa.
ww kwel mcheza kamariNakumbuka wakat cammnon 11 zinatoka ilikua inafika had 500k+ lakin sahiv unaipata hata kwa 300k
Tcno ikitoka usikurupuke kuinunua subir muda mdgo upite utaipata mpya kwa pesa kdogo.. ila ukikimbizana na matoleo mapya utanunua kitu Cha kawaida Sana kwa gharama kubwa
Mfano K7,8,9, SPARK, SPARK 2, SPARK 2PRO, W4, W5, W5LITE N.KWanchofanya Tecno na infinix Mungu anawaona simu moja ila wanatubalishia mabetri n jina tu
Sawa gorilla glass ni imara lakini sisi wenye Samsung tunazungumzia display ya super amoled ambayo hata ukiwa kwenye mwanga wa jua la saa saba mchana unaweza ukaona chochote vizuri kwenye display yako tofauti na simu yenye ips lcdHome nnazo mbili iyo Nokia ya 7.2 pamoja na Tecno phantom 6 plus zote screen gorilla glass na zote ziko moto tu utofaut ni Tecno na Nokia
Nakubali bila tecno wabongo wengi wangwkya hawana smart phonepamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno
Hata mmiliki ni mmoja nazani kama hajauzaWanchofanya Tecno na infinix Mungu anawaona simu moja ila wanatubalishia mabetri n jina tu
mkuu! hujakosea nilikua na samsung kila wakati ina overheat na hapo inabidi uiache kwa dakika kadhaa ipoe na ukianza kutumia ina overheat tena ..Niliacha kutumia Samsung tangu 2016 kwasababu ha heating na hazutunzi chaji nikhamia Tecno Phantom 6+, then 8 na sasa nina Phantom 9, nataka nikanunue Phantom 10, maana hao wenye Samsung, IPhone huwa wakiangalia salio na airtel money au Mpesa kwenye simu zangu wanabaki kukodoa mimacho, Tecno ni simu nzuri sana haikupi stress kila mwaka nanunua toleo jipya.