Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,580
Ila wasiotumia ndio wanapata shida zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wasiotumia ndio wanapata shida zaidi.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe
Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana
Na hata ukitaka utoboe kimaisha kwa kuuza simu,uza simu za Tecno...pamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno
Nikukumbushe tu Tecno ipo kabla Ya hao kina redmi na oppo,
Hawapo kushindana na hao, wanatafuta tu watu wasio na uelewa wawapige.
Fanya comparison hio simu na redmi 9 ambayo Kenya inapatikana chini ya laki 3.
1. Tecno ina helio G70 redmi 9 ni g80
2. Tecno 720p display redmi 9 1080p display
3. Zote battery 5000mah
4. Pengine Tecno ina camera nzuri 64mp sensor vs redmi 9 13mp
Sasa simu ya laki 6 inapitwa na simu ya laki 3 kwenye display na perfomance sijui unapata vp guts za kununua.
Compare Tecno Camon 16 Pro vs. Xiaomi Redmi 9 - GSMArena.com
m.gsmarena.com
Hata ukibadili line tatizo linaendelea?Mkuu Nina oppo A52 mpya, inapoteza network kila mara, tatizo laweza kuwa ni nini!?
Voda wanasema haina tatizo.Hata ukibadili line tatizo linaendelea?
Namaanisha kutumia mtandao mwengine, mfano sasa hivi unatumia voda ujaribu kutumia Tigo.Voda wanasema haina tatizo.
Tatizo kinaendelea, na ilikuja Ile sehemu ya kuwekea line, kile kibati, line moja kilizibwa. Sijui kwanini.Namaanisha kutumia mtandao mwengine, mfano sasa hivi unatumia voda ujaribu kutumia Tigo.
Ama hio hio voda jaribu kuset 3g only uone kama tatizo linaendelea.
Mim natumia techno bcspamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno
1. Camera za Tecno nyingi kama sio zote hata quality hazina zina blur tu Picha na kutoa fake image, camera 3 mbili feki na moja ndio inafnya kaziMim natumia techno bcs
1. nampenda kamera nyenye quality Kali kwa Bei nafuu
2.Mwisho wangu kununua simu ni 300,000 na iwe na kamera ya ukweli na screen Pana
Sasa sumsung kwa hiyo hela kamera unakuwa haina quality or just within four months camera ishachuja
3.Nikitoka asubuhi staki kuwaza chaji njian
4.Muhimu kuliko kulingana na kipato changu staki sononeka simu inapopasuka au kupotea
Think of unammbamiza mtoto bonge la Kofi kisa kadondosha au kachubua simu yako?
Think of unawaza siku tatu simu uliyopoteza gharama
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu.
Naomba kuwasilisha.
Muonee huruma basi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]1. Camera za Tecno nyingi kama sio zote hata quality hazina zina blur tu Picha na kutoa fake image, camera 3 mbili feki na moja ndio inafnya kazi
2.kwa simu zinazokaa na chaji Tecno Huwezi ifananisha na brand yoyote kubwa, iwe Samsung, Xiaomi, oppo, vivo etc
3.hilo la simu kupasuka pia si shida ukinunua simu yenye Tft hata kama ni ya Samsung basi kioo kina kuwa Bei rahisi, na hata matengenezo mengine ni rahisi.
Zamani ilikuwa Ngumu ku prove hili ila siku hizi Tecno zinakuwa reviewed gsmarena, unaweza pangua Tambo zote za watu wa Tecno.
Ndivyo zilivyo hizo oppo nyingi zina shida hiyo network iko slowMkuu Nina oppo A52 mpya, inapoteza network kila mara, tatizo laweza kuwa ni nini!?
jikune unapoweza..!!Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu.
Naomba kuwasilisha.
Msanii, kama sikosei wa Nigeria.Tecno ni nini kwani?
Sure kabisakutoa zaidi ya laki 250k na kuibuka na tecno,ni dalili ya kutojijali[emoji1][emoji1],mtu anayejijali huithamini pesa ya jasho lake pia.
haya masimu ukitaka kujua ni ya kindezi,anza kampuni kubwa hizi kama samsung,iphone,lg,au nokia nk,kisha shika hilo kifaa[emoji38][emoji38].
nakwambia utatafuta hela kwa nguvu sana,ili ufukie shimo kabl shetani hajakukaa mazima.
Infinix wana display Kali sanaMimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe
Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana