Wengine wanatumia simu ganiTecno ni simu maalum kwa watumishi wa Serikali hasa Walimu ambao kwa mujibu wa Serikali ya Awamu ya 5, ni kada inayolipwa vizuri sana hapa Tanzania ukilinganisha na wengine.
[emoji23][emoji23]Infinix anawaza kuongeza idadi ya camera za nyuma kwa kila toleo analotoa.Kuna toleo nahisi ataweka camera kwenye back cover lote ili aridhike!!
Kwakweli inaboaNan inamfaa simu muda wote inakwambia unfortunately sms has stopped, phone book, chrome mwisho processor na inazima then inawaka nan anataka huu ujinga tena!!!?
Cha ajabu nn hapo. Ww unakariri majina makubwa tu ndo yenye simu bora pekee??!! Kama unaamini Tecno watakuja kuwa kampuni kubwa, kwa nn usiamini ndio sasa wameshaanza kuwa?Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....
Naomba kuwasilishaa.
iPhone 4S mpaka 6 zinapokea updates OS kitambo mbona na watsap ipo isipokuwa iPhone 3G na 4 tuu ndo hawatumii watsap,Sawa endeleeni kutupigia kelele ila siku si nyingi na iPhone 6 zenu WhatsApp mtaiona kwa sie wa Tecno tu
Sawa endeleeni kutupigia kelele ila siku si nyingi na iPhone 6 zenu WhatsApp mtaiona kwa sie wa Tecno tu
Tecno ni kama MO tu,
Tecno huwa haina kitu kipya, zaidi huangalia Samsung na wakubwa wengine wamewapa nini wateja wai nae analeta ufanano wa wakubwa ili watumiaji wake wajilinganishe, MO nae huleta ufanano wa SSB
ndio maana kelele haziishi,ili watu waache kutandikwa.pamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno