Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

ndio maana kelele haziishi,ili watu waache kutandikwa.

kaka yangu ni mwalimu,siku anawasiliana na mimi anakuja twende kkoo tukanunue simu,nikamsubiri kwa hamu nikipiga mahesabu kwamba bro a20,au redme yoyote ya 350-380 itamfaa.

sikujua amefika saa ngapi town,anakuja kunionuesha infix lina camera 4 za kusimama,quality hata a10 yangu ilikuwa inamchapa.
nikakausha tu,juzi analalamika simu limekuwa zito,namimi nikawambia tatizo ulikuja kununia simu baada ya kumuona mwalimu mwenzio anayo.
Tecno simu za waalimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung ilinikimbiza chaj unachaj masaa 10 kutumia nusu saa kwisha habar alafu ni simu gani zile mashine zilikua Bomu maana zili lipuka na kutishia maisha ya watu
Jaribu s20 pro. Inatunza chaji vizuri na ina fast charger nusu saa tu betri full. Wamejitahidi kwa kweli
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.

Mpaka simu kukamilika ikaitwa TECNO unaju hivi vyote mfano kioo,spika,camera,bettry,cover ,PCB bord,software unazani hana tengeneza yeye .na yeye hana nunua kuviunganisha ili kupata pesa ya kujikimu
 
Tecno camon 16 premier hiyo
 
Attachments

  • IMG_20210106_134858.jpg
    IMG_20210106_134858.jpg
    19 KB · Views: 1
Nakubaliana na Wewe.Kuna Siku nilienda kwa fundi Tecno yangu ilikuwa na shida ya screen nikabadili kwa 15,000/= tu, Wakati Kuna jamaa alikuwa na Samsung Galaxy S8,kubadili screen aliambiwa 430,000/=,nilishangaa Sana,ikabidi niulize je simu itakuwa bei gani?,Akaniambia 950,000/=,nikazidi kushangaa kwasababu simu yenyewe ilikuwa ndogo tu,very simple sikuona Cha pekee,lkn kwanini bei Ni lubwa vile.Ndipo nikajisemea moyoni Asante Tecno kwa kutujali sisi akina Yakhe.
S8 alinunua laki 950 used ama hizi refub???
Hiko kioo cha tecno elfu 15 ni tecno gani s2 au S1??
 
Samsung ilinikimbiza chaj unachaj masaa 10 kutumia nusu saa kwisha habar alafu ni simu gani zile mashine zilikua Bomu maana zili lipuka na kutishia maisha ya watu
Sasa zipo zenye battery 4000mah hadi 7000mah
Swala la chaji sahau kabisa
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Everything valuable is cheap.
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilisha.
kwenye WEBSITE yao Kuna sehemu ambapo unaweza ukatoa malalamiko,Nadhani wanaweza wakafanyia kazi wazo lako endapo kama litakuwa na msaada..huku unaja kupoteza muda tu.Hata hivyo makampuni yote ya simu yanafanya kazi ki ujanja ujanjaujanja tu,hata hao unaodhani ndio bora nao wanakuibia vilevile..
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilisha.
Kwenye WEBSITE yao Kuna sehemu ambapo unaweza ukatoa malalamiko,Nadhani wanaweza wakalifanyia kazi wazo lako endapo kama litakuwa na msaada..huku unakuja kupoteza muda tu.Hata hivyo makampuni yote ya simu yanafanya kazi ki ujanja ujanjaujanja tu,hata hao unaodhani ndio bora nao wanakuibia vilevile..
 
Back
Top Bottom