Bei hiyo haiendani na products yaoWw kama hutaki wauze laki 6 bac mji organize nyie mtengeneze simu zenu mziuze kwa bei muipendayo !!

Ni wivu tu unawasumbua. Baada ya kuambiwa watafungiwa wassap.Tunaotumia tecno tunapata shida sana [emoji2296]
Kuwa mvumilivu ... Nunua ata branda zingineBei hiyo haiendani na products yao
Tecno hawana update ya Android versionNi wivu tu unawasumbua. Baada ya kuambiwa watafungiwa wassap.
Sumsung na iPhone!Wengine wanatumia simu gani
Tuacheni na Tecno zetuTecno hawana update ya Android version
Kuna mwenye Tecno aliyewahi kuja kwako kuomba huduma ya kupiga simu?Hivi ukiwa na tecno wakaambiwa wenye simu watoke mbele na wewe wa tecno unatoka kweli?
Niliacha kutumia Samsung tangu 2016 kwasababu ha heating na hazutunzi chaji nikhamia Tecno Phantom 6+, then 8 na sasa nina Phantom 9, nataka nikanunue Phantom 10, maana hao wenye Samsung, IPhone huwa wakiangalia salio na airtel money au Mpesa kwenye simu zangu wanabaki kukodoa mimacho, Tecno ni simu nzuri sana haikupi stress kila mwaka nanunua toleo jipya.Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6
Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....
Naomba kuwasilishaa.
Na hakuna kitu ambacho simu nyingine inafanya Tecno ishindwepamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno

Potelea mbali, kwani nikinunua Tecno ya250,000/=, Siwezi kuitumia kufanyia mambo yanayofanywa na hiyo Samsung Galaxy S8?.Hiyo simu sio kwamba iko very simple kama unavyosema
Ungejaribu kuitumia hiyl S8 ndio ungejua utofauti wake na tecno
U'll never know until you have tried
Na hakuna kitu ambacho simu nyingine inafanya Tecno ishindwepamoja na tecno kupondwa sana humu na kwingineko bado utafiti unaonesha kuwa inafika asilimia 80 ya aina ya simu wanazo miliki watanzania.
Hata humu ukifanya utafiti utagundua ndio aina ya simu inayomilikiwa nna jf wengi ikifatiwa na infinix...
ukipanda gari lolote ukitafuta aina za simu walizo beba abiria utagundua kuwa tecno ina wamiliki wengi,
ukweli ni kwamba asilimia 80 ya watumiaji wa simu tanzania wanamiliki tecno
Cha ajabu nn hapo. Ww unakariri majina makubwa tu ndo yenye simu bora pekee??!! Kama unaamini Tecno watakuja kuwa kampuni kubwa, kwa nn usiamini ndio sasa wameshaanza kuwa?
Acha uongoTecno hawana update ya Android version
Unabisha?Acha uongo
Maneno ya mkosajiPotelea mbali, kwani nikinunua Tecno ya250,000/=, Siwezi kuitumia kufanyia mambo yanayofanywa na hiyo Samsung Galaxy S8?.