Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

kutoa zaidi ya laki 250k na kuibuka na tecno,ni dalili ya kutojijali[emoji1][emoji1],mtu anayejijali huithamini pesa ya jasho lake pia.

haya masimu ukitaka kujua ni ya kindezi,anza kampuni kubwa hizi kama samsung,iphone,lg,au nokia nk,kisha shika hilo kifaa[emoji38][emoji38].

nakwambia utatafuta hela kwa nguvu sana,ili ufukie shimo kabl shetani hajakukaa mazima.
 
ndio maana kelele haziishi,ili watu waache kutandikwa.

kaka yangu ni mwalimu,siku anawasiliana na mimi anakuja twende kkoo tukanunue simu,nikamsubiri kwa hamu nikipiga mahesabu kwamba bro a20,au redme yoyote ya 350-380 itamfaa.

sikujua amefika saa ngapi town,anakuja kunionuesha infix lina camera 4 za kusimama[emoji38][emoji38][emoji38],quality hata a10 yangu ilikuwa inamchapa.
nikakausha tu,juzi analalamika simu limekuwa zito,namimi nikawambia tatizo ulikuja kununia simu baada ya kumuona mwalimu mwenzio anayo.

[emoji23][emoji23]
 
Tecno baba lao ndio simu inayo ongoza
kuongelewa zaidi jamii forum

Utofauti ni kwamba tecno, infinix azijiweki vocha zenyewe Ila zile za matjiri

Samsung Nokia, oppo, iPhone n.k izi upati shida ukinunua vocha ukiweka juu ya display isha recharg yenyewe

Tecno infinix na mjomba wao Itel awa unachaji mpaka unachoka
Ila simu zetu zile za pesa mingi mingi
Zina jichaji zenyewe ikiwa battery low ukigusa tu display ishajaa ao jamaa wajuu sijui wanashndwa wapi?

Tecno infinix na ndugu wa damu Itel
Umpigii mtu, fb uingii insta utakuskia tu, jamii forum ndio usiseme, twita ndio shida, teregram kama kituo cha polisi picha ukipga azisafishiki,

Ila za matajiri babu kubwa yani iPhone Nokia Samsung oppo,sony xperia izi kila kitu apo juu zinafanya ata mtu umpigie mtu na asipokee kusudi zinakwambia kafanya kusudi ndio faida ya simu hizi za matajiri

Ila za wanyonge ndugu wa tatu wale utaskia tu kudadeki ebu badilikeni Tecno na ndugu zako muweze Fanya ayo.
 
Pale tochi itakapoanza kujiwasha ywnyewe ikiwa mfukoni unashangaa tu paja linaungua taratiiiiiiiiiiiiiibu ndipo utaelewa tecno ni nini jomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nileteeni techno, nileteeni tecnooo, nileteeeni tecnoooo, nileteeeeeeeeni tecnoooooooooooo [emoji23][emoji23][emoji23]
Bak kumbe na wewe mwehu eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tecno mitanoo tenaaaa
 
Nan inamfaa simu muda wote inakwambia unfortunately sms has stopped, phone book, chrome mwisho processor na inazima then inawaka nan anataka huu ujinga tena!!!?
Natumia infinix note 7 lite mbona hakuna hiyo kitu labda kurequest updates tuu tena kadiri ulivyoiset mwenyewe
 
ndio maana kelele haziishi,ili watu waache kutandikwa.

kaka yangu ni mwalimu,siku anawasiliana na mimi anakuja twende kkoo tukanunue simu,nikamsubiri kwa hamu nikipiga mahesabu kwamba bro a20,au redme yoyote ya 350-380 itamfaa.

sikujua amefika saa ngapi town,anakuja kunionuesha infix lina camera 4 za kusimama[emoji38][emoji38][emoji38],quality hata a10 yangu ilikuwa inamchapa.
nikakausha tu,juzi analalamika simu limekuwa zito,namimi nikawambia tatizo ulikuja kununia simu baada ya kumuona mwalimu mwenzio anayo.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe

Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana
 
Tecno baba lao ndio simu inayo ongoza
kuongelewa zaidi jamii forum

Utofauti ni kwamba tecno, infinix azijiweki vocha zenyewe Ila zile za matjiri

Samsung Nokia, oppo, iPhone n.k izi upati shida ukinunua vocha ukiweka juu ya display isha recharg yenyewe

Tecno infinix na mjomba wao Itel awa unachaji mpaka unachoka
Ila simu zetu zile za pesa mingi mingi
Zina jichaji zenyewe ikiwa battery low ukigusa tu display ishajaa ao jamaa wajuu sijui wanashndwa wapi?

Tecno infinix na ndugu wa damu Itel
Umpigii mtu, fb uingii insta utakuskia tu, jamii forum ndio usiseme, twita ndio shida, teregram kama kituo cha polisi picha ukipga azisafishiki,

Ila za matajiri babu kubwa yani iPhone Nokia Samsung oppo,sony xperia izi kila kitu apo juu zinafanya ata mtu umpigie mtu na asipokee kusudi zinakwambia kafanya kusudi ndio faida ya simu hizi za matajiri

Ila za wanyonge ndugu wa tatu wale utaskia tu kudadeki ebu badilikeni Tecno na ndugu zako muweze Fanya ayo.
Nitaingia huko awamu ijayo
 
Mimi natumia Sony, japo sijui bei yake, mimi maswala ya simu hata sijuagi hata.
Mi naletewaga tu
 
Mimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe

Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana
Nini matumizi ya hizi camera za kwenye simu? tofauti na kujipiga au kupiga mtu picha? Je hizo kamera zina kazi gani zaidi? Naomba nieleweshe
 
Nikukumbushe tu Tecno ipo kabla Ya hao kina redmi na oppo,

Hawapo kushindana na hao, wanatafuta tu watu wasio na uelewa wawapige.

Fanya comparison hio simu na redmi 9 ambayo kenya inapatikana chini ya laki 3.

1. Tecno ina helio G70 redmi 9 ni g80
2. Tecno 720p display redmi 9 1080p display
3. Zote battery 5000mah
4. Pengine Tecno ina camera nzuri 64mp sensor vs redmi 9 13mp

Sasa simu ya laki 6 inapitwa na simu ya laki 3 kwenye display na perfomance sijui unapata vp guts za kununua.

Hivi mkuu inakuaje simu yenye display ya 720p kuweza kurekodi video za 1030p@30ps kama hiyo Tecno?

Hii simu ya RedMi inayouzwa chini ya laki 3 Kenya, huku Tanzania haiuzwi ama inauzwa bei ghali zaidi ya huko Kenya?
 
Back
Top Bottom