Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Wanyonge wenyewe hawajajua wanakombolewa na nani,
Redmi 9 zipo Hadi za laku mbili ni simu Kali tu za kuanzia ,na betri ya 5000 mah lakini bado watu wananunua techno kwa laki sita .
Tatizo ya redmi ni upatikanaji wake wapi ziko kariakoo
 
Back
Top Bottom