Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

mkuu! hujakosea nilikua na samsung kila wakati ina overheat na hapo inabidi uiache kwa dakika kadhaa ipoe na ukianza kutumia ina overheat tena ..
Ukiona Samsung imekuwa na moto (overheat) ujue matumizi yako ni makubwa ukilinganisha na uwezo wa simu husika. Nunua simu kulingana na matumizi yako utaufurahia. Binafsi tecno nimeinyoshea mikono, sina hamu nayo.
 
Matumizi ya kawaida tu mkuu, ukiachana na hilo pia kuna lingine la kuharibu battery ..
 
Tecno bana mim naikubali binafsi natumia tecno mpk sasaiv hapa nashangaa kuskia mnasem tecno hakun k2 huku nd simu yenye ubora zaid wa kutunza moto kw mda mrefu na zina camera nzuri. Daah ebo
 
mkuu! hujakosea nilikua na samsung kila wakati ina overheat na hapo inabidi uiache kwa dakika kadhaa ipoe na ukianza kutumia ina overheat tena ..
Tena ukiwa ukanda wa pwani haswa Dar ni balaa inabidi muda wote uiweke kwenye sakafu ipoe, mie nadunda na Phantom zangu.
 
Ukiona Samsung imekuwa na moto (overheat) ujue matumizi yako ni makubwa ukilinganisha na uwezo wa simu husika. Nunua simu kulingana na matumizi yako utaufurahia. Binafsi tecno nimeinyoshea mikono, sina hamu nayo.
Ata izo Tecno matumizi ya kiwa makubwa ina over heat utofaut ni kwamba simu Kali yani ayo ma Samsung iweje zi over heat wakat mnasema zinahimili hali zote na zile zilizolipuka je?
 
Sawa gorilla glass ni imara lakini sisi wenye Samsung tunazungumzia display ya super amoled ambayo hata ukiwa kwenye mwanga wa jua la saa saba mchana unaweza ukaona chochote vizuri kwenye display yako tofauti na simu yenye ips lcd
Binafs hizi zangu naona fresh kwa jua Kali la mchana yani iyo Nokia ya 7.2 na Tecno phantom 6 plus sjajua Tecno zngne zinakuaje
 
Tena ukiwa ukanda wa pwani haswa Dar ni balaa inabidi muda wote uiweke kwenye sakafu ipoe, mie nadunda na Phantom zangu.
Kweli mkuu! Simu nyingine ni kama magereza tu ya kifahari, miyeyusho sana ..
 
Infinix note 7 lite sensor kutokufanya kazi ila mnavumilia duuuu
Sensor gani haifanyi kazi,hizi stori mnatoa wapi? Raha ya infinix matoleo mapya kukiwa na shida au ikihisi uzito inaomba updates inarudi kuwa swadakta
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.

[emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayaaa sasa yaan inazidii Beii SAMSUNG A51 khaaaaa.....
20210103_210623.jpg
20210103_210556.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Mkuu naona unajua simu mno, ongezea hapo oneplus
 
Back
Top Bottom