Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

KASULI

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
599
Reaction score
680
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu.

Naomba kuwasilisha.
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nawashukuru Sana tecno maana hizo kampuni zingine hatuelewani kwa sasa labda tutaja elewana hapo baadae
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Nikukumbushe tu Tecno ipo kabla Ya hao kina redmi na oppo,

Hawapo kushindana na hao, wanatafuta tu watu wasio na uelewa wawapige.

Fanya comparison hio simu na redmi 9 ambayo Kenya inapatikana chini ya laki 3.

1. Tecno ina helio G70 redmi 9 ni g80
2. Tecno 720p display redmi 9 1080p display
3. Zote battery 5000mah
4. Pengine Tecno ina camera nzuri 64mp sensor vs redmi 9 13mp

Sasa simu ya laki 6 inapitwa na simu ya laki 3 kwenye display na perfomance sijui unapata vp guts za kununua.

 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Laki 6.5 hizo simu zipo tatu kwenye box au moja?


Tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Tecno ni simu maalum kwa watumishi wa Serikali hasa Walimu ambao kwa mujibu wa Serikali ya Awamu ya 5, ni kada inayolipwa vizuri sana hapa Tanzania ukilinganisha na wengine.
 
Back
Top Bottom