Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

Mimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe

Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana
Kwenye display ushawahi tumia samsung????
Tafuta samsung ya amoled display ww
Weka dark wallpaper yako
Enjoy display murua
 
Mimi ni mtumiaji mzuri wa infinix ,kwa quality ya picha sijui ilikuaje but infinix s3 nilianza nayo ina quality nzuri Sana ya picha hata sasa natumia infinix note 7 lite quality ni nzuri afu mambo mengine unafanya setting ya resolution na rangi mwenyewe

Afu ni ujinga kuangalia simu kwa camera tuu,betri vipi,memory nk ndio muhimu kwangu na display ya maana
Infinix note 7 lite sensor kutokufanya kazi ila mnavumilia duuuu
 
Potelea mbali, kwani nikinunua Tecno ya250,000/=, Siwezi kuitumia kufanyia mambo yanayofanywa na hiyo Samsung Galaxy S8?.
Samsung s5
Ilikua ina s health ambayo ilikua inauwezo wa kupima mapigo ya moyo
Kujua steps ulizotembea
Air view na air swipe...
Tecno ipi ya leo hii ina hvo vitu vya s5???

Mind you samsung ipo s20 basically kama samsung s11 hv tuseme maana waliskip 10 wakatua 20
 
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakujaa kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG, ilaa kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya kuuzwa Laki 6

Najaribu kudadisi hivi nmeona simu ya Tecno CAMON 16 PRO, ina mwonekano wa kawaida tu.. inauzwa laki 6 na Nusu....

Naomba kuwasilishaa.
Nashukuru maana umeanza na kampuni yangu bora zaidi na pendwa ya REDMI, kama mtu unahitaji simu yeyote ya REDMI nicheki. Najua chimbo lilipo Nairobi kenya.

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
 
Tecno ni simu maalum kwa watumishi wa Serikali hasa Walimu ambao kwa mujibu wa Serikali ya Awamu ya 5, ni kada inayolipwa vizuri sana hapa Tanzania ukilinganisha na wengine.
Ebu tutake radhi ndugu yangu, nani atumie simu za wanafunzi?
 
Huu mtifuano ni sawa tuu na wa magari

Kuna watu wana magari ya kupanda, wengine wana magari ya kuingia[emoji2][emoji2][emoji2]

Wengine wana magari kama chombo cha usafiri, na wengine wana magari kama kifaa cha kuwasogeza kutoka sehemu moja kwenda nyiingine.

Ila wapo wanaosema ilimradi wote tunaingia sheri


Hata hizi simu ni hivi hivi
Huwezi tumia kizazi cha tecno na ndugu zake akina infinix, itel, alkatel, bontel, oking[emoji28][emoji28] halafu eti uko sawa na hivi vifaa vya mawasiliano

Ulielewe kabisa tecno na kizazi chake ni zana za mawasiliano wakati hao wengine ni vifaa vya mawasiliano
 
A
Mimi kama mgaa gaa na upwa nilishashindwa kutumia Samsung , simu kila saa inaomba chaji sahiv nmeamua nirud kwa infinix nikiichaji sahiv inaisha chaji hta baada ya siku mbili kama sijaitumia Sana.. na nikishinda mitandaon nachaj baada ya masaa 18+.

Kuna mwenye Tecno aliyewahi kuja kwako kuomba huduma ya kupiga simu?
Si ndio apo simu zao bora zilishalipuka uko wapi tecno ina shda kama izi awa wenye simu ambazo zina jichaji zenyewe na kujiweka vocha zenyewe wanasumbua sana wakiskia habar ya kulipuka wanakua wakali
 
Kwani display bora si ndio Gorilla glass au kuna tofauti na iyo wajameni
 
Hizo sio simu.simu ni apple , sumsung tu basiii kidogo Huawei na nokia mengineyo takata
 
Back
Top Bottom