King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
.....ni mchicha pori ukiunga kwa nazi bomba sana kulia ugali na samaki wa kukaanga.
dooh, best usimtanie natalia. Ataniibia medicinal marijuana yangu akampikie surgeon!
.....ni mchicha pori ukiunga kwa nazi bomba sana kulia ugali na samaki wa kukaanga.
dooh, best usimtanie natalia. Ataniibia medicinal marijuana yangu akampikie surgeon!
dah!story nzuri nini kiliendelea,shori alishuka kimara?utambi ulizimaje?alipokuuliza unamke mbona hukumjibu? af umevunja sheria ya kunywa vileo kwa basi.
Ulipanda buffalo ama lori gani ambamo unaingia na bia na kuanza kunywa kama uko bar?
tobaaaaaaaa!washozeya kukutana na videm vyao vya kitaa vinanuka midomo
Hivi bangi ndio marijuana ?
Ndugu,hembu malizia xtor yako kwanza baada ya kushuka ubungo ikawaje,plz malizia tuanze michango yetu ile...kumbuka b4 anythng zana ni muhimu xana, manake sie wanaume kichwa cha chini aka utambi,kikisimama basi kichwa cha juu chenye medula huwa kinalala...na cha chini kikilala ndipo medula inaamka! Halafu maranyingi inakuwa too late...over!!!!!!!
Jamani hichi chombo ni kipyaaaaaaa yani kama ni gari bas imetumika ulaya au huyu jamaa aliyekuwa nae huko moshi alikuwa sharobaro kakutana na kitu mswiden minyama nje minyama ndani na kanipa full imfo kuhusu yeye na familia yake na anapiga kazi hapo sumatra ilala boma hapa nilipo nimechiwa kama laki hivi tumit kesho ofisn kwake ilala na jion tutaelekea kwao kigambon kupajua na kuijua familia yao kwakifup ila jaman mnaweza sema mengi ila ngoja nimchek kwanza mwenendo wake kama ana malengo mazuri naweza tangaza nia
nimesema kanitoa na poket maney kwa huduma safi aliyopata kwangu na kaongea mengi sana na kanikaribisha ofisi kwake kesho ilala sumatra na vile vile tunaenda kwao kigamboni kwa mama yake kusalimia kwa kifupi unaweza sema tumefanya haraka kwa mazoeya ya watz kwan hupenda ukaa na dem eti unamchunguza sasa inamchunguza kwani ana mabom mwilin yule kaamua kuniweka wazi nimwelewe kwa haraka na kwa kifupi hana njaa na kesho mapemmma ilala kama ni mbwai iyoke mbwai
kisheria ni kosa kutumia kileo ndani ya chombo cha usafiri wa abiria.
Ulipanda buffalo ama lori gani ambamo unaingia na bia na kuanza kunywa kama uko bar?
Nilitaka kuuliza swali hilo hilo.Una umri gani?
Aku'deep' ndani ya nini?, maji au mafuta!Halafu next??Kama vp ukizidiwa ni-"DEEP"