Badala ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo terminal...

Badala ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo terminal...

sony wega

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
234
Reaction score
35
Wanajamvi habari ,

Nimetokea moshi nikiwa na nimekaa na msichana mrembo sana na tukasilimiana vizur na safari ikaanza huku nikiwa nashindwa hata kuanza na story kkwa huhofia uzuri wake na upole na umakini mkubwa alio nao ila baada ya hatua kidogo tukafika hapo Mombo kwenye maakuli nikawa nimeshuka kwenda kupata kifungua kinywa na yeye pia alishuka.

Mimi huwa ni mzoefu sana na safari kwani huwa nikifika maeneo hayo ya Mombo huwa kuna sehemu naendaga kwa kukwepa gharama na vile vile kupewa vyakula ambavyo havina ubora na hela uliyotoa basi nilienda sehemu nikachukua kuku wa kienyeji nusu na bia za kopo kama 6 hivi nikapanda nazo kwenye bus na yule bint akawa nae kaja na chips na bia vile vile za kopo ila ni tofaut kwa majina tukalishana na kila mtu aakanza kutumia vyake vile alivyonunua.

Basi baada ya muda mfupi yule dada akawa anaanza story za mambo ya siasa na mengine nami nikawa namuunga mkono hoja zake ila topic ilibadilika ikawa sasa ni mapenzi.

Kumbe huko atokako amatibuana na mtu wake sasa anarudi kwao Dsm basi akaniadithia huku akitupia bia zake nami pia ngoma ilipopamba moto akawa sasa anaongea huku anaishika mapaja yangu nami uzalendo ukanishinda nikawa naibia ibia nashika maungo yake yani tukawa kama mtu na mpenzi wake. Ila tulipo fika Ruvu mambo yalibadilika kwania aliamua kulala kifuan mwangu huku akishika utambi wangu nami nikishika makailio kwa ustadi ili abiria wasielewe kinachoendelea akawa anasema kuwa kama sina mke basi nishuke nae Kimara.

Tulipo fika mbezi hali yangu ya utambi ilikuwa mbaya sana nkawa nasema ntashuka vip Kimara na kila nikijaribu kupotezea wapi ngoma ndo inakaza mbaya, jamani nilipitiliza hadi Ubungo bila kukuta foleni...
 
Ndugu,hembu malizia xtor yako kwanza baada ya kushuka ubungo ikawaje,plz malizia tuanze michango yetu ile...kumbuka b4 anythng zana ni muhimu xana,manake sie wanaume kichwa cha chini aka utambi,kikisimama basi kichwa cha juu chenye medula huwa kinalala...na cha chini kikilala ndipo medula inaamka! Halafu maranyingi inakuwa too late...over!!!!!!!
 
Ila watu mnavituko sana, nimejikuta nacheka sana kwa hii story
 
We haya we,afu ikitokea mkaiva na kuendeleza mahusiano watakuja watu na simple conclusions kuwa mliandikiwa iwe hivyo,waaapi accidents occurs and coincidences are unavoidable
 
dah!story nzuri nini kiliendelea,shori alishuka kimara?utambi ulizimaje?alipokuuliza unamke mbona hukumjibu? af umevunja sheria ya kunywa vileo kwa basi.
 
Mkuu kunywa bia safarini si nzuri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwelezee pia ahache ufuska ndani ya vyombo vya Usafiri,
hawa ndo wanachafua Roho wa SHETANI
analazimika kuchukua roho mpaka za watu wasio na hatia!
very shameful story indeed!

Mkuu kunywa bia safarini si nzuri.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaaaaaa! Embu malizsia hii story manake najilia chips yai, soda baridaaa[color] basi na hili muvi lako mchana unakuwa mahala pake


vipi rafiki hiyo ni dozi umeandikiwa na dokta...???
 
mkuu mbona CD imepata scratch sasa...!!!
 
Mi naona pombe zenu zilichangia. kweli ulevi poooa... ala NOMAA!
 
Aiseee.... Pombe zina mengi kwa kweli..!!
 
Hahaaaaaa! Embu malizsia hii story manake najilia chips yai, soda baridaaa basi na hili muvi lako mchana unakuwa mahala pake

Halafu next??Kama vp ukizidiwa ni-"DEEP"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom