Badala ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo terminal...

Badala ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo terminal...

Hii story umetunga vizuri sana,ipeleke Bongo muvi,lazima wakupiganie
 
hahaa umenikumbusha juzi kati jamaa alikutana na mazingira kama yako..basi wakapeana namba siku yapili binti anampigia mshkaji wakutane kwake ...binti anamwambia jamaa 'njoo na tax nina begi kubwa'..lol hahahaha
 
Ndugu,hembu malizia xtor yako kwanza baada ya kushuka ubungo ikawaje,plz malizia tuanze michango yetu ile...kumbuka b4 anythng zana ni muhimu xana,manake sie wanaume kichwa cha chini aka utambi,kikisimama basi kichwa cha juu chenye medula huwa kinalala...na cha chini kikilala ndipo medula inaamka! Halafu maranyingi inakuwa too late...over!!!!!!!
Great 'sinker'
 
Hivi hili jukwaa lenu kina mama, hakuna mtu hata mmoja anaweza kuandika kiswahili fasaha? Hata Kiingereza hujui unachojua ni ufuska tu. Hujui huyo aliyeachana naye wamekorofishana kwa lipi wewe unakurupuka tu kujiona ndio mjanja.

Next time iwe hivi: BADALA ya kushuka Kimara Mwisho nimeshuka Ubungo Terminal

habari ujue nimekumiss sana yaani sana
unaona mambo ya vijana hayo?full bang kutunga story za kitoto
 
Kwenye RED Ni utoto tu. Ukikua utaacha.

umenichekesha sana yaani
nashukuru watu wa dizaini hiyo nawasomaga jf tu wangekuwa wananimsg sijui ingekuwaje
wananikera sanaaaaa '
'xo'' mara ya kwanza kusikia hilo neno sikufichi nilijua mtu kamaanisha choo
 
Utajibeba mwaka huu....
 
Ndio maana siku hizi siingii kabisa huku. Maana pumba zimezidi sana. Stori ya kufurika mnatuletea hapa!
 
hahaa umenikumbusha juzi kati jamaa alikutana na mazingira kama yako..basi wakapeana namba siku yapili binti anampigia mshkaji wakutane kwake ...binti anamwambia jamaa 'njoo na tax nina begi kubwa'..lol hahahaha

Hii chiboko..mweee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom