TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Boss (manake at this age nikikuita babe utajua unaibiwa live), zile mileage zako zimefika ngapi wangu manake nna hamu nazo hadi naskia kihindihindi. Hebu nifanyie mpango wa ticket mbili za dubai shaaa niende na dogo tukafurahie wokovu wetu wenye dhambi. Yaani hapo ukicheka imeshakula kwako! Mie nipige mzinga wa chipsi na nna shamba la viazi?
Na unafuga kuku wa mayai na nyama. Si utachekesha with shosti.