Baba V in the house..!

Baba V in the house..!

Dahh! Ina sikitisha lakini ndio uwanaume. Nitakuwa nmpelekea vistazi kila asbuhi. Lakini ni jinai gani tena?
 
Hizi ni salamu zake kwenu.

My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, Inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.

Copy: ummu kulthum ; Kwa sababu maalum

ha ha haaaa mshua ana majanga huyo so goja nimshikie ki mtindo si unajua tena jamaa kwa babuuuuu anahudhuria kwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom