Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #21
ah ah! angekua huru mda huu angekua kati ya Lumo na tegeta
Hizi ni salamu zake kwenu.
My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, Inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.
Copy: ummu kulthum ; Kwa sababu maalum
Last edited by a moderator: