Baba V in the house..!

Baba V in the house..!

Mie sijambo kaka!
Suprise anajua ninampenda nae alikua ananipenda sana, toka nilivyo muaga.. Nae kapotea moja kwa moja..
Si ameona hautulii ndio maana na we haya tu we endelea tu na hiyo tabia yako sasa hivi naona unaanza kummendea mimisa wa watu,haya mi simo ngoja Suprise akirudi mi tu nitakuwa refa.
 
Last edited by a moderator:
mm ata simtaki..kama ananapenda mm saivi na uku bado anampenda Suprise,huyu,utulivu wake F..

Endenelea na unoko wako!

Wei-Ding-Kung-Fu-Master_3.JPG

Nkwara tu huo nsee, wantishia na hiyo "maiji gamae" sijui... hunipati, nina medali hamsini za dhahabu za mbio za kukwepa vipigo kwa mwendo mtoroko
 
Bora mtoto mzuri kama umeshtuka na wewe Suprise mkali huyo ila naomba usinisemee kwa dogo kuwa nimekwambia Suprise ni mkali sawa eeeehhh ibaki kuwa siri yako.
mm ata simtaki..kama ananapenda mm saivi na uku bado anampenda Suprise,huyu,utulivu wake F..
 
Last edited by a moderator:
aaah mimi ata sisemi..yaan siri yangu kumoyo tu..
Bora mtoto mzuri kama umeshtuka na wewe Suprise mkali huyo ila naomba usinisemee kwa dogo kuwa nimekwambia Suprise ni mkali sawa eeeehhh ibaki kuwa siri yako.
 
Kaka maandisi madogo hata sioni sijui umeandika nini vile
Bora mtoto mzuri kama umeshtuka na wewe Suprise mkali huyo ila naomba usinisemee kwa dogo kuwa nimekwambia Suprise ni mkali sawa eeeehhh ibaki kuwa siri yako.
 
Last edited by a moderator:
Ehhhh Mhhhh kweliiiii!!!!!! masikini pole sana mdogo wangu naona utakuwa unaumwa macho,ngoja nitakununulia miwani ya macho mwaka kesho ili upasome vizuri sawa ehhhh?
Kaka maandisi madogo hata sioni sijui umeandika nini vile
 
ah ah ah! mwakani mbali nitapitwa na mengi bana
Ehhhh Mhhhh kweliiiii!!!!!! masikini pole sana mdogo wangu naona utakuwa unaumwa macho,ngoja nitakununulia miwani ya macho mwaka kesho ili upasome vizuri sawa ehhhh?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom