Honda Cr v

Honda Cr v

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
660
Reaction score
1,081
Wakuu najua Honda wamekuwa na matoleo kadha ya magar yao na watu saiz wameyakimbilia sn hasa Honda crossroad.
Nataka kufaham kuhusu Honda Cr v hasa kwa toleo jipya naona liko kinyama sn lkn sijazuona sn mtaan.
Mwenye kuifaham au mwenye kuimiliki atupe dondoo zake

Naomba kuwasilisha wadau....
 
noname.jpg
 

Attachments

  • noname.jpg
    noname.jpg
    1.1 MB · Views: 1
  • noname.jpg
    noname.jpg
    1,005.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom