Baba V in the house..!

Baba V in the house..!

Tisubiri taarifa zake kutoka kwa Dr
 
Hizi ni salamu zake kwenu.

My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, Inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.

Copy: ummu kulthum ; Kwa sababu maalum
 
Last edited by a moderator:
Tehe!tehe!tehe! Nimecheka mpaka basi,HUYU MWENYEKITI A NINI! Yeye na Bann na Bann na yeye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom