Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/

Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana.

Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi!!

Mwalimu ameshauri Watawala wanaovunja Katiba kwa maslahi yao binafsi lazima Wakataliwe na Wakabiliwe. Vinginevo tutaruhusu MADIKTETA watawale nchi yetu.
 
ndio maana nimekuja na uzi za maono ya ajaye atakayekomboa kila nchi na fikra.
 
Back
Top Bottom