Kwahiyo Babayenu askofu Kilaini ndie mmiliki halali wa Kanisa analolitumikia?Kosa lo lote lile hata iwe dhambi mbele ya Mungu ulitende kwa kujua na kutaka. Unajua hili ni kosa halafu unalitenda, hilo ni kosa na ni dhambi mbele ya Muumba.
Waliokirimiwa pesa zilizotokana na ESCROW nijuavyo mimi mtu makini kama Askofu Kilaini isingekuwa rahisi kukubali kupokea angejua kwamba ni za wizi toka umma, alipokea kama msaada toka kwa mhisani ye yote bila kujua chanzo cha pesa hizo kama ni halali au la. Hakuna anayemwuliza mhisani umepataje pesa unazonipa.
Hilo jambo tunaona limeongelewa kifalsafa sana na kamati ya Zitto na kupeleka zigo kwa waibaji si wanufaikaji.
Kwahiyo Babayenu askofu Kilaini ndie mmiliki halali wa Kanisa analolitumikia?
Haiingii Kichwani Mchango wa kanisa utumwe kwenye akaunti binafsi, Msijiwehushe nyie,
Kuna jambo hapo.
Hio sio sadaka jifunze kwanza.Michango si sadaka.Michango unachangia project(s) sadaka unapeleka madhabahuni ili walio madhabahuni waendelee kuishi na kuwajibika kwa kazi ya anayepwa ibada.Michango inelekezwa ktk kazi au mradi fulani.Km unamuuliza sheikh wako, padri wako,au mganga wako anapeleka wapi sadaka au zaka unayoshida ndio maana umelaaniwa.Ila ujenzi sijui wa dispensari ,shule,madrassa,sunday school..etc hapo upo shahihi.Pesa za sadaka kwa nini iingie kwenye account binafsi
Weka ushahidi aliposema amepokea mgao. Naomba katika ushahidi wako, neno 'mgao' lionekane wazi.
We hela unazopokea katika shughulizako kilasiku unajua zinakotoka? Au na wewe ni mwizi acha ujinga.
Mimi ni mkatoliki,na ninavyojua hela ya sadaka au zaka itolewapo haiendi mfukoni au kwenye account binafsi ya Paroko au Baba Askofu,tena hailipiwi bank,hupelekwa kwa uwazi altareni
Sadaka kwenye account binafsi,mwizi ni mwizi.Nadhani hawa walipokea kama michango/sadaka za maendeleo ya Kanisa . Watz wanatakiwa wawe na moyo wakutoa sadaka nzito kama hizo za Ruge.. !
Sidhani kama uko sahihi. Hela hazina alama!
Ukikamatwa na kitu cha wizi,na wewe pia unakuwa mwizi.Kosa lo lote lile hata iwe dhambi mbele ya Mungu ulitende kwa kujua na kutaka. Unajua hili ni kosa halafu unalitenda, hilo ni kosa na ni dhambi mbele ya Muumba.
Waliokirimiwa pesa zilizotokana na ESCROW nijuavyo mimi mtu makini kama Askofu Kilaini isingekuwa rahisi kukubali kupokea angejua kwamba ni za wizi toka umma, alipokea kama msaada toka kwa mhisani ye yote bila kujua chanzo cha pesa hizo kama ni halali au la. Hakuna anayemwuliza mhisani umepataje pesa unazonipa.
Hilo jambo tunaona limeongelewa kifalsafa sana na kamati ya Zitto na kupeleka zigo kwa waibaji si wanufaikaji.
Kwani husikii siku zote waislamu wakiwapinga Bwakata.BAKWATA mbona wanahudumiwa kuanzia Magari na hela ya chakula kutoka fungu la kifisadi la CCM na hatusemi kaka. Wote ni wizi tu.
Wizi mtupu,ndio mana mnajisifu mna vyuo vikuu,kumbe pesa za wavuja jasho.Kuwa mkatoliki si kujua yote yafanyikayo katika kanisa katoliki.
- Pesa walizojengea Vyuo vikuu vilitolewa sadaka lini kanisani?
- Pesa zilizotumika kujengea Zahanati zilikabidhiwa kwenye altare ipi?
- Pesa zilizotumika kujengea vinu vya kufua umeme huko jimboni Njombe na Kikwete kufungua bakuli lilipitishwa wapi na wewe ukiwa mhasibu wake?
Ungeniambia unafanya shughuli za uongozi katika kanisa katoliki usingeuliza au kuleta kauli kama hiyo. Sadaka (offering - offeritorio) au Zaka ya kanisa huwezi kuweka kwenye mtiririko katika mfuko wa wahisani ambayo hutoa pesa za maendeleo kwa lengo maalumu iwe ni shule, afya, nak.
Ningekuelekeza mengi lakini naona kwa vile umeoshaonyesha upeo huo nisije kukuchanganya bure. Unajua idara ya CARITAS?
CC ukombozi
Wizi Hawa,hawafuati maandiko ya Yesu,asema tajiri hatauona ufalme wa mbinguni,labda ngamia apite kwenye tundu ya sindano.Lakini wakubwa wote wa kikristo wamewakumbatia matajiri.amini nakwambia.. katika makumi kadhaa ya watu waliopewa hizi fedha hakuna MUISLAMU HATA MMOJA.
sipati picha kama jambo hili lingekuwa ni kinyume chake. pasingekalika
Apate kumtetea kikinuka kama sasa hivi,maana viongozi wa makanisa wanasikilizwa sana.Sawa tuseme ni rushwa, sasa ni kwa ajili gani mpaka ampe Askofu?
Aombe msamaha pia kwa watanzania.Mtanzania mwenzangu (Siyo askofu wangu tena kwani sifa za kiaskofu ushazichafua) Methodius Kilaini kama ulichukua hizo fedha tafadhari sana zirudishe na uombe msamaha kwa Mungu wako pamoja na kuomba msamaha kwa wakristu wa dhehebu la Roman Catholic kwa kuwakwaza na kuwa mfano mbaya wa kimaadili!
Mkuu OLESAIDIMU, hapa hakuna cha wafuasi wake! Mimi ni Roman Catholic (RC), sitetei upuuzi huu waliofanya hawa jamaa! Kiukweli ametuchafua sisi waumini na dhehebu letu! Anatakiwa awajibike kwani sina imani naye tena!
Ni mchezo wao,hawakuaanza leo.Hii pesa angepewa Sheikh Ponda pasingekalika humu JF tungetukanwa wote.
Hayati Askofu Mkuu Abdalah Mgulunde alipokuwa Tabora shekhe moja alikuja na wasindikizaji akiomba asaidiwe pesa za kujenga msikiti. Askofu akawaambia anahitaji michoro ya jengo la msikiti na yuko tayari kusaidia, lakini shehe yule hakukubaliana na sharti hilo ili isionekane msikiti umejengwa na Askofu Mgulunde, ila alitaka pesa apewe yeye ziingizwe kwenye account yake na ionekane ni pesa za kutoka mfukoni mwake. Hili nilihadithiwa na hayati Askofu Mkuu Mgulunde mwenyewe.Wizi mtupu,ndio mana mnajisifu mna vyuo vikuu,kumbe pesa za wavuja jasho.
Wizi wakubwa,mwaanza kuteteana.Una hakika hazijapita huko?Hao watendaji wa BOT wasio wakatoliki walipitisha wapi?Nani kakuambia kuwa Zilifika Katoliki toke akatoliki?TANESCO,BOT ,na HATA WALIOGAWIWA ni wateja wa MKOMBOZI?Ni tabia ya waislam kukimbilia kushabikia kitu wanahisi kina kudhalilisha wengine ..km issue ya unga walitaja maaskofu....hawakutaja .Masheikh ambao watoto wao hulindwa na dola eti wazazi wao ni waanzilishi wa TANU etc.Meno ya tembo ni biashara ya waislam kuliko.ILa hakuna report iliyowaweka hadharani.Ni kukosa nia njema huku ndio maana watanzania wanafundishwa ujinga uongo etc.Mkwawa ,kiinje na wengine hamtaji uislam wao na vita dhidi ya Ukristu, kuuza watumwa wasio waislam.Mkampaka rangi ya ukombozi na Ukristu rangi ya Ukoloni.Hapa RUGE ni Mwana hisa Halali, na ktk hiyo issue kuna hela yake halali, ambayo inazidi aliyompa Kilaini so huwezi sema kilaini alichukua hadi isiyokuwa ya Ruge.Na ruge akiwapa aliwapa kwa sababu ya asili yake Bukoba na si dini yake.Km ni Dini angeweza mpa Pengo makao makuu Dar ili waamue pa kuitumia.Na alikuwa alifungua account Mkombozi kwa ukatoliki wake ,ila cha kujiuliza ni km ilifunguliwa kwa kazi hii au ilifunguliwa mapema km vile waislam walivyochangamka kuingisha Amana.