Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Pesa tunazopewa toka wahisani toka huko Ulaya na nchi nyinginezo tunajua chanzo chake? Tangu lini ukaanza kumkamua mhisani source ya mapato ya pesa wakati alishachangia mengi siku za nyuma?

Nilizoea kusikia kwamba wachaga wa zamani waliozoea kuiba walihakikisha kiasi fulani wanapelekea pesa sadaka kanisani kama sehemu ya kutubu dhambi zao, mimi pengine naona hao walioamua kuelekeza pesa hizo kwenye shughuli za maendeleo wana uzalendo kuliko walioamua kujijengea majengo ya kifahari na kwenda kuserebuka na vimwana mahotelini.

Kama watu ambao huwa wanajinadi ni makini wanaweza kubadilika na kuwa nabmisimamo laini ati sababu kaguswa kiongozi wa dini basi Taifa hili hakikomboki katu!!!!

Kashajua sasa kuna harufu unamshauri nini??!!
 
Katoliki ipi wewe mcharuko?Hizo millioni zote upeleke ktk Altare,tena Bukoba?Mbona upo mbali sana nyuma ya wakati?Kwa taarifa yako hata Padre wetu aliwahi pewa hela km msaada kwa account yake binafsi.Mapadri na masista wengi tuu pamoja na kuwekewa sheria kuna vitu hupewa binafsi na wao kuamua virudisha ktk jimbo husika,au kutumia ktk miradi ya jamii waliyoanzisha kwa majina yao.Hapa ni UHAYA umejaa kuliko UDINI.Km hamjui kuwa scenario zinazidiwa na rangi,ukabila, udini,wizi, ukoo etc basi ndio mjifunze hapa.Ruge anasupport miradi ya kwao ambayo Kilaini kaianzisha.Tibaijuka nae na wengine ni uhaya.Nia mbaya dhidi ya Katholiki imewavutia kui paint vibaya.Ila kwanini hamkuweka Bank nyingine zilizoDeposit hela MKOMBOZI?NA BANK nyingine zilizopokea hela toka MKOMBOZI?Kamati za kiswahili za kijinga sana.Tanesco na ESCOW na account zao ni mkombozi?Akina chenge na wengine account zao ni mkombozi.

Nimependa ulivyo niita mcharuko(ukiweza kudhibiti hasira zako juu ya wale wanaokupinga kifikra utakuwa ni mmoja kati ya watu waliolelimika)learn how to handle the truth.
 
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================


Chanzo: EATV
Mtanzania mwenzangu (Siyo askofu wangu tena kwani sifa za kiaskofu ushazichafua) Methodius Kilaini kama ulichukua hizo fedha tafadhari sana zirudishe na uombe msamaha kwa Mungu wako pamoja na kuomba msamaha kwa wakristu wa dhehebu la Roman Catholic kwa kuwakwaza na kuwa mfano mbaya wa kimaadili!

Ngoja wafuasi waje "kukanusha" kwa niaba yake!!

Ngoja
Mkuu OLESAIDIMU, hapa hakuna cha wafuasi wake! Mimi ni Roman Catholic (RC), sitetei upuuzi huu waliofanya hawa jamaa! Kiukweli ametuchafua sisi waumini na dhehebu letu! Anatakiwa awajibike kwani sina imani naye tena!
 
Last edited by a moderator:
*****mtu anapokuja kutoa sadaka hua haulizwi hizo pesa umezipata wapi na kwa njia gani...
Nimeona neno 'sadaka', sijaona 'mgao'. Nimesema naomba ushahidi wa mahali lilipotokea neno 'mgao' kama alivyosema BAK
 
Acha bwebwe wewe...tuambie basi vyanzo vya hzo pesa zilitumika kujenga hyo miradi kama ni fedha haramu pia hatua zichukuliwe,hlo la kilaini ni zaid ya ushetan wala hakuna kupinga..nlisema jana na leo narudia kilaini ni mshenzi

Hakuna sababu kwa mwenye upeo wa uelewa na kutaka kujua kuanza kuporomosha matusi dalili ya kuishiwa hoja kama yule Mbunge wa darasa la saba Lusinde wa Mtera. Ungefanya vema kuuliza pesa hizo Askofu Kilaini alimegewa na mhisani Lugemalila kwa malengo gani, sidhani kama ni zawadi, ila kuna mpango wa maendeleo zilikoelekezwa, na ukitaka kupata Askofu Kilaini yuko very openi na yuko hata facebook atakufafanulia.

Narudia tena hakuna anayemwuliza mhisani atoapo pesa kwa shughuli za maendeleo chanzo cha pesa hizo, vingine tutakuwa na akili za kitoto, kama wakomavu wananielewa ninachosema.
 
Hivi kuna watu huwa wanafanya kitubio kwa huyu Kilaini? naomba kuelimishwa
 
Mimi binafsi ninamtazamo kwamba, kabla ya kusema mkosaji ni nani, kuna haja yakujiridhisha juu ya tofauti kubwa inayojitokeza katika ripoti ya PAC na ile ya Serikali (Utetezi kama ilivyotolewa na Prof. Mhongo). Ningetamani sana haki ikatendeka kwa kila aliyehusika na kama kuna mwizi anaonekana basi ashughulikiwe. japo nashauri, Bunge lijikite katika kutafakari hizo ripoti kulikoni kuchukua sura ya serikali dhidi ya upinzani kama ilivyojitokeza katika mjadala wa jana jioni.
 
Kama watu ambao huwa wanajinadi ni makini wanaweza kubadilika na kuwa nabmisimamo laini ati sababu kaguswa kiongozi wa dini basi Taifa hili hakikomboki katu!!!!

Kashajua sasa kuna harufu unamshauri nini??!!

Usichoelewa ni nini? Askofu Kilani kasema mhisani wake Lugemalila si mara yake ya kwanza kusaidia shughuli za maendeleo, hivyo alichofanya hakikumshtua kwa vile ni jambo lililozoeleka. Methodius Kilani amehitimisha kwa kusema walioziiba pesa hizo wachukuliwe hatua. Nini zaidi unataka? Askofu hakuzichota toka ESCROW acc. bali aliingiziwa kwenye account yake toka kwa mhisanialiyekuwa na share holder kwenye account hiyo, sasa kosa la Askofu liko wapi?
 
Mimi binafsi ninamtazamo kwamba, kabla ya kusema mkosaji ni nani, kuna haja yakujiridhisha juu ya tofauti kubwa inayojitokeza katika ripoti ya PAC na ile ya Serikali (Utetezi kama ilivyotolewa na Prof. Mhongo). Ningetamani sana haki ikatendeka kwa kila aliyehusika na kama kuna mwizi anaonekana basi ashughulikiwe. japo nashauri, Bunge lijikite katika kutafakari hizo ripoti kulikoni kuchukua sura ya serikali dhidi ya upinzani kama ilivyojitokeza katika mjadala wa jana jioni.


Yaani unataka watu walinganishe ripoti za CAG,TAKUKURU,PAC (ambazo ni authorities za uchunguzi zilizoleta ripoti yenye viambatanishi mbalimbali, iliyowahoji watuhumiwa wote na walishapeleka utetezi wao kwa CAG) unataka tulinganishe na utetezi wa MUONGO wenye viambatanishi feki......open your eyes bro
 
Mtanzania mwenzangu (Siyo askofu wangu tena kwani sifa za kiaskofu ushazichafua) Methodius Kilaini kama ulichukua hizo fedha tafadhari sana zirudishe na uombe msamaha kwa Mungu wako pamoja na kuomba msamaha kwa wakristu wa dhehebu la Roman Catholic kwa kuwakwaza na kuwa mfano mbaya wa kimaadili!


Mkuu OLESAIDIMU, hapa hakuna cha wafuasi wake! Mimi ni Roman Catholic (RC), sitetei upuuzi huu waliofanya hawa jamaa! Kiukweli ametuchafua sisi waumini na dhehebu letu! Anatakiwa awajibike kwani sina imani naye tena!
Uko sahihi na hii inakutoa kwenye wafuasi!!
Fuatilia mjadala utawaona "wafuasi" mkuu muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:
.. hivi kwanini sadaka haziingizwi kwenye acccount ya taasis inaenda kwenye akaount za maaskofu moja kwa moja!!!!


WIZI MTUPU
 
Usichoelewa ni nini? Askofu Kilani kasema mhisani wake Lugemalila si mara yake ya kwanza kusaidia shughuli za maendeleo, hivyo alichofanya hakikumshtua kwa vile ni jambo lililozoeleka. Methodius Kilani amehitimisha kwa kusema walioziiba pesa hizo wachukuliwe hatua. Nini zaidi unataka? Askofu hakuzichota toka ESCROW acc. bali aliingiziwa kwenye account yake toka kwa mhisanialiyekuwa na share holder kwenye account hiyo, sasa kosa la Askofu liko wapi?

We una argue na mtu asiyeelewa??!!
Nimekuuliza wewe ushauri wako juu ya hili ni upi mkuu??!!
 
Lord have mercy..... Kylie eraison ...... Bwana utuhurumie...... Agnus Dei, qui tollis peccata mundi, miserere nobis.... Mwanakondoo wa Mungu uondoea dhambi za dunia...........................
 
Hivi makanisa huwa hayana akaunti mpaka sadaka ipitie mikononi mwa Kilaini
 
Mtanzania mwenzangu (Siyo askofu wangu tena kwani sifa za kiaskofu ushazichafua) Methodius Kilaini kama ulichukua hizo fedha tafadhari sana zirudishe na uombe msamaha kwa Mungu wako pamoja na kuomba msamaha kwa wakristu wa dhehebu la Roman Catholic kwa kuwakwaza na kuwa mfano mbaya wa kimaadili!


Mkuu OLESAIDIMU, hapa hakuna cha wafuasi wake! Mimi ni Roman Catholic (RC), sitetei upuuzi huu waliofanya hawa jamaa! Kiukweli ametuchafua sisi waumini na dhehebu letu! Anatakiwa awajibike kwani sina imani naye tena!
Pamoja na taarifa zote za jinsi Rugemalira alivyokuwa mzalendo kutoa taarifa kwamba Tanesco inaibiwa, pia kuwa mzalendo kwa kulipa kodi kutokana na mauzo yake halali ya hisa zake 3/10, bado kuna watu hamuelewi kabisa tofauti ya walioshinikiza kulipa hela za Escrow na waliopewa fedha na mzalendo Rugemalira. Huenda ishu hii haijaeleweka kwa Watanzania wengi. Watu wanaacha kumshikia bango Singasinga aliyepewa hela yote ya ESCROW Account, wanamshikia bango Kilaini aliyepewa hela na mtu aliyeuza hisa zake kihalali na kulipa kodi!
 
cha wizi hupitia mikono ya wezi
Una hakika Amana hazikupita?Umeuliza mgao wa JK ulipita wapi?Za JK na watendaji waislam walioshiriki ingawa hawajaandikwa wana bank na Mkombozi?Una hakika kuwa hela za Misikiti hazina mafaoa ya Tembo wetu,wakwepa kodi, wizi wa NSSF, Unga?Wao wawezacho jitetea ni kwamba hawana uwezo wa kwenda thibitisha vyanzo na kuharamisha au kuhalalisha ila mletaji ndie ajue kuwa kwa Mungu hana thawabu.Ruge anaweza mwambia Askofu kuwa alichokileta ni sehemu ya kilicho chake IPTL.Na si uongo ni MDAU Halali mwenye hela nyingi sana,zaidi ya hizo nje ya ESCROW.Huyu jamaa mbali na business nyingine usisahau kuwa ndie alikuwa anamiliki Tritel..enzi watu walikuwa wanaona fahari kuwa na VICELULAR.
 
Ila mchakato wa kuzipata una viashiria!!!
Ruge anayo hela zaidi ya hiyo nje ya escrow sasa kilaini akiwaita na kuwaambia Bukoba inahitaji hiki ,ni vipi ataanza chambua ipi halali na ipi ni mbovu ktk mfuko wa RUGE.Sasa km ni hivyo WAISLAM NAO WANAHITAJIA KUCHGAUA HELA IPI ILIPITA MFUKONI NA KUSHIKWA NA MUUZA KITI MOTO.Na IPO KTK MZUNGUKO AMBAO UMEIFIKISHA MSIKITINI KM SADAKA.MTU ANACHUKUA UDHU MFUKONI ANA HELA YENYE DNA ZA KITIMOTO,yenye DNA za mwanamke aliyeificha ktk nyeti tena kipindi yupo angani.
 
Back
Top Bottom