Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Kosa lo lote lile hata iwe dhambi mbele ya Mungu ulitende kwa kujua na kutaka. Unajua hili ni kosa halafu unalitenda, hilo ni kosa na ni dhambi mbele ya Muumba.

Waliokirimiwa pesa zilizotokana na ESCROW nijuavyo mimi mtu makini kama Askofu Kilaini isingekuwa rahisi kukubali kupokea angejua kwamba ni za wizi toka umma, alipokea kama msaada toka kwa mhisani ye yote bila kujua chanzo cha pesa hizo kama ni halali au la. Hakuna anayemwuliza mhisani umepataje pesa unazonipa.

Hilo jambo tunaona limeongelewa kifalsafa sana na kamati ya Zitto na kupeleka zigo kwa waibaji si wanufaikaji.

BIG NO

KILAINI ARUDISHE HIZO PESA KWA SERIKALI AU KWA RUGEMALIRA; OTHERWISE; KAMA KAZITUMIA AOMBE MSAMAHA; AU KAMA ALIKUWA HAJUI NI ZA WIZI BASI HAS TO APOLOGIZE; KAMA HAFANYI HIYO NAYE NI MWIZI.

HATA KATEKISM INASEMA DHAMBI YA KUDHULUMU NA KUUA HAZISAMEHEKI!! ni mkatolikei huyu na ni kiongozi; HE HAS TO COME CLEAN; OTHERWISE HE IS PUTTING THIS CHURCH UNDER QUESTION MARK!!

Halafu yupo cheecky; ati keshapokea pesa kama hizi mara nyingi .. my .. ..ass .. who the hell is he?

A COLLOBORATOR!!
 
I am catholic and ex seminarian, but I dare to speak openly that Catholic Church is corrupt . A very dirty and greed one .
Si useme hoja tuu..hiyo ya kuwa ex- inasaidia nini ktk real issue?au ndio bado unajipanga km JK na nguvu mpya ari mpya kasi mpya hadi leo bado anajipanga.Kuwa masai hakumaanishi unajua mbinu na kuwa na uwezo wa kuua simba let alone uwezo w akuchoma nyama.Unaweza kuwa umesoma som shule ya catholic waliosoma hata waislam ukaiita seminary.UNgeniambia umefanya auditing ya catholic duniani na uakalindanisha na wengine au hata CCM tuu ndipo ukasema kuwa ni currupt ungeonesha kuwa unajua usemalo.Pia uangalie usije chukulia events za mtu mmoja au kikundi ukasema ndio sera ya kanisa utakuwa unazidi haribu fikra za wanaokusikiliza na kukuamini.
 
Mmmhhhh....!!!
Wakatoliki naona leo kuna wakatoliki imani na wakatoliki maslahi
wangekua walokole ndo wamefanyw hivyooo wangejuta leo
kuanzia leo msiwanyooshee vidole walokole wakati vitatu vinawageukia
 
Mtu akikupa hela mfano 100000 utajuaje kama hakuiba ofisini au popote anapofanya shughuli zake.Kilaini na ruge wamesoma seminari hivyo ni buddies wa miaka mingi na nijuavyo mm Ruge willingly alimpa hela hizo ruge kusaidia maboresho flani huko bukoba.Kilaini angejuaje sasa kwamba hela hiyo ni ya IPTL.Si mnasema siyo ya umma (Wengi mliojoin juzi juzi foramuni sijui mmetumwa!!!)

wataongea sana lakini kiukweli wamekosa hoja
Binafsi nimeshuhudia mara nyingi vingozi wa kanisa wakitoa michango/ahadi ya michango toka kwa marafiki zao na hapo ndipo Kilaini anapoonekana hana kosa yeye alipokea kama mtu binafsi suala la matumizi ni juu yake kwa kuwa ni mwana familia wa kanisa basi pesa hiyo ilikuwa ni kwa matumizi ya kanisa full stop.
 
I am catholic and ex seminarian, but I dare to speak openly that Catholic Church is corrupt . A very dirty and greed one .
Si useme hoja tuu..hiyo ya kuwa ex- inasaidia nini ktk real issue?au ndio bado unajipanga km JK na nguvu mpya ari mpya kasi mpya hadi leo bado anajipanga.Kuwa masai hakumaanishi unajua mbinu na kuwa na uwezo wa kuua simba let alone uwezo w akuchoma nyama.Unaweza kuwa umesoma som shule ya catholic waliosoma hata waislam ukaiita seminary.UNgeniambia umefanya auditing ya catholic duniani na uakalindanisha na wengine au hata CCM tuu ndipo ukasema kuwa ni currupt ungeonesha kuwa unajua usemalo.Pia uangalie usije chukulia events za mtu mmoja au kikundi ukasema ndio sera ya kanisa utakuwa unazidi haribu fikra za wanaokusikiliza na kukuamini.
 
Nadhani hawa walipokea kama michango/sadaka za maendeleo ya Kanisa . Watz wanatakiwa wawe na moyo wakutoa sadaka nzito kama hizo za Ruge.. !
Ni kweli sadaka ni muhimu pia michango ni muhimu kwa shughuli za kimaendeleo, ina maana hayo makanisa hayana bank a/c au na yule mama anaesema alichukua kwa ajili ya shule na ameziwasilisha kunakohusika kama alivyosema (swali la kujiuliza hiyo shule haikuwa na bank a/c?). Hizo ela wana haki nazo kama wamepewa kwa mapenzi mema lakini tatizo linakuja kwa wanasiasa wetu na hicho ndio kinawaponza, unakuta anachukua hela sehemu alafu anapeleka kafungu kadogo panapohusika na tena anajifanya hela zake ila likifumka kama hili lililofumka ndio anasema hizo hela alipata kwa ajili ya shughuli ya maendeleo. Hata miezi kadhaa iliyopita iliibuka issue ya wabunge kuchukua hela NSSF, majibu yalikuja kwamba wamechukua kama sehemu ya social responsibility ambayo kila mbunge ana haki ya kuchukua kwa ajili ya taasisi yoyote. (ila walivyoenda kutoa hizo hela NSSF haikutajwa walijifanya wao ndio wametoa na walivyobanwa mbavu ndio wakarudi na kusema walichukua NSSF)

Kama ni issue ya shughuli za maendeleo kulikuwa kuna shida gani ya kuzi-link hizo taasisi na mtoa hela alafu bado credit ukabaki nazo mwanasiasa
 
hapo mzee Kilaini ajibu haya maswali Je kanisa halina account? Na ni mfumo gani unaotumika kwa washiriki kutoa sadaka Je ni kwenye account za watumishi? Na alipozipata hizo hela za sadaka akazipeleka kanisani au ni kwa matumizi yake binafsi akijibu haya maswali nitamwelewa maana hakuna mtu anagawa hela zote hizo kwa kificho kama kusudi ni kulenga kundi flani la watu mbona wakina Mengi na Lowasa wanatoa lakini openly sio kwa kurusha tu kwenye account.
 
uzuri au mbaya zaid amana bank haimilikiwi na masheikh au bakwata ya ccm na kadhalika, Ni bank kama bank zingine zinazoendesha huduma zake kwa kutumia islamic banking system, tofauti yake ni kwamba mkombozi bank ni bank ya kanisa katoliki na wahusika wa huo wizii ni maaskofu na uzuri wanakiri wenyewe, inshort ingekuwa ni masheikh tusinge kaa leo, bwana yesu asifiwe sana.
Mbona uko nje ya mada sana.Usischojua RUGE anayo hela kuliko hiyo milioni 80 na haikutoka escrow....pili hakuanza changia leo km Kilaini anavyo wa disect kirahisi.Inamaa Akija uliza Na hela aliyokuwa kaitoa tangu TRITEL alimwibia nani?AU Mabibo inaingiza shilling ngapi,share zake ktk mashirika mengine ambazo si majority zinaingiza shilling ngapi ?Nadhani utakuwa na kipindi kigumu sana kuelezea kuwa hiyo millioni 80+ imetoka ktk fungu la ESCROW ingaw api anazo hela halali.Unachotakiwa thibitisha ni km RUGE alizidisha hela,na ktk hiyo ziada ndio aliyompa KIlaini.Otherwise Mkombozi sio account pekeee.na si bank ya wahusika wote.Hao wengine wapo wapo bank gani na kwanini hazijaandikwa?Infact km ni advatage ya udini Sijui km unga,tembo, kodi,NSSF, wizara ya FEDHa km zikiwekwa wazi Waislam watasimama hapa.Wakati Manji anashindana na Mengi,wakati Manji anatafuna NSSF waislam kw apamoja walisimama wakasema uislam unapigwa vita..Vita ya maslahi gani ktk hayo mashirika.Kwanini report za akina ZItto na Dau hazigusi hasara hizo na dini yao?
 
Nilidhani utakuja kunielimisha juu ya uhalali wa watu wa kulipwa mamilioni ya fedha na kutuaminisha kuwa ni halali,ila kwa kuendelea kuniita mpuuzi na mjinga si sawa kwa kuwa,na kama mpuuzi au mjinga anahitaji kuelimishwa basi nielimishe mpaka nifike mahali nikubaliane na kile unachokiamini wewe,kimsingi katika maisha ya mwanadamu hatuwezi kuwa na misimamo sawa na mtizamo inayolingana,kuhitilafiana ni mambo ya kawaida,lakini ukikosolewa usirushe mate, Kwangu mimi nina wasiwasi sana na kiwango chako cha uelewa na umri wako,may be you are just a fool who is afraid to think,think big.
Ndipo unapokosea sijasema halali.Ruge km anadhani anatoa fungu la kumi la mabilioni aliyoyachukua Ktk jumla ya miradi yake ni ngumu sana kwa kilaini kuwa mpelelezi,kuwa mkaguzi w amahesabu etc ili apokee hela ndogo sana ukilinganisha na vyanzo vya huyu jamaa.Sasa hapa huwezi jumlisha vitu kiujumla huwezi tazama uhalali kihivyo.Uhalali upo pale kilaini atakapoawaambia wahaya wenzie kuwa kuna Ndugu yetu wa Nyumbani kaniapa shilling fulani kwa maendeleo ya jimbo letu bila kupunguza na pia kukiri bila kuficha.Na mbaya zaidi kasema huyu jamaa ni regula mchangiaji...sasa kwanini leo kilaini aogope?Huo uharamu wa hela ya RUGE utakuwa huko ktk ESCROW na ndicho unachoweza kisema.Unless utuambie kilaini alikuwepo ktk kusgign hiyo hela au kulamisha utoaji wa hiyo hela km werema chenge,ikulu etc.Kwanini wengine ktk BOT na serikali bank zao hazipo hapo?
 
Huyu Kilaini huyu simpendi sana, alishiriki kwa kiasi kikubwa sana kutuletea janga la uongozi nchini.
Utampendea wapi..wakati kweli JK ni chaguo la Mungu na CCM inaporomoka mikoni mwake?Ona sasa hatuhitaji kumwaga damu kuingusha CCM.Hata mbwa Mungu anaweza mtumia kufanya kazi maalumu.
 
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================


Chanzo: EATV
Kuna maswali tumuulize Kilaini....
je, pesa ilitolewa kama mchango wa ruge kwa kanisa au ni mchango kwa Askofu, kama ni mchango kwa kanisa kwanini ziingie kwenye akaunti ya askofu? Kanisa halina akaunti?
je, baada ya kuzipokea aliziwasilisha kanisani?
nionavyo mimi ni kuwa askofu amekamatika na hii si aibu kwake tu bali kwa kanisa lote, kwanza kwa kuruhusu benki yake kutumika kutakatisha pesa haramu na pili ni kwa waumini wote wanaomfuata nyuma.

afanye nini?
1. Arudishe pesa
2. Aende mbele ya vyombo vya sheria avisaidie kueleza mchezo mzima ulikuwaje na
3. Atubu mbele za Mungu wake.

Waumini wake hawatakuwa na imani nae tena.
 
"Kikwete ni Zawadi Kutoka kwa Mungu" Huyu Mtumishi wamempunja kwenye Mgao jamani! alistahili 1.6 Billion kama akina Chenge, Anna Tibaijuka et al ....
 
Wewe mwehu umerudi ulikuwa jela.

Askofu kilaini hawezi kukwepa wala kujisafisha kirahisi kama anavyofikiri yeye. Amekua mmoja wa washiriki wa wizi kwa kupokea kilicho kichafu tena kwakupit4a acount yake binafsi.
 
Baba Askofu zirudishe tu hizo fedha kwa mwenyewe kulinda heshima yako.Haina haja ya kuanza kutetea wezi utajidharirisha.

Kwa jinsi nijuavyo kanisa katoliki huyo Askofu vatican inamhusu, scandal za maaskofu na mapadre inashughulikiwa direct na Vatican na kwa papa huyu wa sasa Askofu ajiandae kwa lolote.
 
hapo mzee Kilaini ajibu haya maswali Je kanisa halina account? Na ni mfumo gani unaotumika kwa washiriki kutoa sadaka Je ni kwenye account za watumishi? Na alipozipata hizo hela za sadaka akazipeleka kanisani au ni kwa matumizi yake binafsi akijibu haya maswali nitamwelewa maana hakuna mtu anagawa hela zote hizo kwa kificho kama kusudi ni kulenga kundi flani la watu mbona wakina Mengi na Lowasa wanatoa lakini openly sio kwa kurusha tu kwenye account.
huna jipya?Hao watawa wengine hutoka familia tajiri au kuwa na mtanadao wa marafiki ambao huwapa hela binafsi ili miradi watakayo ifanyike haswa pale mgao wa Taasii husika ni mdogo au hakuna pesa kwa eneo maalumu.Padriw etu kila mika alikuwa akipewa hela na familia tajiri ulaya ambazo ni rafiki.Akazitumia kwa kanisa letu pekee..na nyingine akakbidhi JImbo.hii ni njia nyingine ya wadhamini kubana taasisi ambazo zina tabaia ya kugawanya misaada maeneo yote waonayo yana umuhimu.Anayetoa akitaka isiende kwingine huikabidhi na kusema ni ya kazi fulani na nimeotoa kwa vile rafikini yangu ndugu yangu ,mwananugu kaomba.Wapo watawa wengi tuu kacholic waliacha utawa kwa vile walilazimishwa kugawanya misaada yao kwenda kwingine ktk parokia ambazo hazina msaada sana,kinyume na walichoombea pesa.Wengi waliacha utawa na kwenda endelea na huduma kwa jamii walizozichaagua ingawa maisha ya kitawa hawayaachi.Wengine huenda km watu binafsi hadi watakapoanzisha mashirika yao.
 
Kama muumini wa R.C, Michango yote kwa ajili ya maendeleo ya kanisa, hupitia kwenye njia zinazoeleweka kulingana na Taratibu za kanisa Katoliki lilivyojiwekea. Hakuna pesa za kanisa zinaeopitia acc. Ya padri wala Askofu. Michango hupitia acc ya kigango, Parokia au acc. Ya jimbo endapo mchango huo unalazimika kupitia njia ya kibank. Kama ni sadaka au zaka pia hukusanywa ktk mazingira ya uwazi. Baba Askofu una mengi ya kujibu waumin wako tuweze kua na iman tena na wewe.

Utajiitaje muumini wake halafu hauna imani naye? Wengine Wakatoliki fake nyie. Hamjui hata mnafanya nini na mnaamini nini? Hamjui hata taratibu za Kanisa Katoliki mnadandia maada kwa mbele tu. Askofu Nzigilwa amewaambia ataongea baada ya mijadala yenu fake iliyokosa mwelekeo
 
Sawa mi ni mkatoliki pori,hapa unajidhihirisha hujawa mkristu kamili mwenye staha,huo msaada ulitangazwa?ni wa binafsi kwa kazi ipi?kama ni wa Jimbo sawa,na waumini wangetangaziwa makanisani kuwa Jimbo limepata msaada,lisemeeni kanisa,msililinde hta kama pale mambo hayaendi sawa,usiwe na akili za akina lusinde wewe.

do not betray upon your ignorance. Nilitaka kwanza nikuweke sawa taratibu ambazo kwa Kanisa Katoliki ni common go Noth, go South, go West and East and some undertakings ambazo ni subject to a church at a certain locality. Kingine you are short of facts and more of assumptions. Unaulizia kutangazwa kwa msaada makanisani? You are out of mind. Kama unataka matangazo kaulizie jimbo lake kama wana utaratibu huo
 
Back
Top Bottom