Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Hawa waliochukua zaidi ya 40.4mil wakibanwa wataje waliwachukulia kina nani nchi itatikisika sana.

Yule jaji Kala 161.4mil, zile ni za watu wanne.
Kimahesabu mbona haikubali hapo pamba?
Hizo hapo juu ni porojo tu.
 
Naelewa ugumu wa kuuchunguza ubalozi/balozi lakini mataifa wahisani hasa yaliyozuia misaada yanaweza kushirikishwa ili kufanikisha uchunguzi wa ubalozi wa Vatican kuhusiana na "pesa za ESCROW".

Kuna pa kuanzia; Askofu Kilaini aliyeshiriki wizi ni kiongozi wa kanisa Katoliki, Mkombozi Bank iliyojihusiha na "usafishaji" wa pesa "chafu" nayo ni ya kikatoliki.

Askofu na benki wote wana mahusiano na vatican hii inamvutia mchunguzi yoyote yule kutaka kuuangalia ubalozi wa Vatican nao "ukoje".

Aidha mizunguko yote ya kipesa ya Kanisa Katoliki Tanzania nayo ichunguzwe, ni kawaida ya masuala ya kiuchunguzi kujihakikishia kuwa hakuna jiwe linaachwa bila ya kufunuliwa baada ya sakata kubwa kama hili.
 
Mbona benki hiyo imeuza hisa zake kwa watu wote bila kujali Ukatoliki!
 
Naelewa ugumu wa kuuchunguza ubalozi/balozi lakini mataifa wahisani hasa yaliyozuia misaada yanaweza kushirikishwa ili kufanikisha uchunguzi wa ubalozi wa Vatican kuhusiana na "pesa za ESCROW".

Kuna pa kuanzia; Askofu Kilaini aliyeshiriki wizi ni kiongozi wa kanisa Katoliki, Mkombozi Bank iliyojihusiha na "usafishaji" wa pesa "chafu" nayo ni ya kikatoliki.

Askofu na benki wote wana mahusiano na vatican hii inamvutia mchunguzi yoyote yule kutaka kuuangalia ubalozi wa Vatican nao "ukoje".

Aidha mizunguko yote ya kipesa ya Kanisa Katoliki Tanzania nayo ichunguzwe, ni kawaida ya masuala ya kiuchunguzi kujihakikishia kuwa hakuna jiwe linaachwa bila ya kufunuliwa baada ya sakata kubwa kama hili.

inonekana una chawa kwenye ubongo wewe. Kanisa au balozi halijachukua fedha bank kuu zaidi ya Raisi wenu mwizi aliyefanikisha kila kitu. achunguze huyu mwislamu mwenzenu anayelinajisi taifa yeye na familia yake. escro inamhusu na waliopokea ni beneficiaries ambao hawajajua fedha zilivyoibwa. Rais Kikwete na wateule wake ndio kila kitu. Kilaini hana kosa labda na alisema fika. Mkombozi bank ni commercial bank haiwezi kukiuka utaratibu wa kibenk kisa fedha zilizoidhinishwa kwa comand ya Ikulu zisitolewe. tatizo ni Raisi na sio waliopokea wala kufanya transation. otherwise wa banking watakusaidia. Ndulu alitoa pia ufafanuzi ujue jins mwenzenu alivyo corrupt.
 
Povu la nini?

Unachoambiwa ni uchunguzi na ndio utakaokuja na jibu kama ubalozi nao unajihusisha na uhujumu wa nchi au vipi.
 
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================

Chanzo: EATV

Rekebisheni jina. Huyu ni METHOD Kilaini. METHODIUS Kilaini ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wakati METHOD Kilaini ni Askofu wa Kanisa Katoliki. Hawa ni watu wawili tofauti!

Please do your research. Msiwe wavivu kutumia GOOGLE!
 
Kosa lo lote lile hata iwe dhambi mbele ya Mungu ulitende kwa kujua na kutaka. Unajua hili ni kosa halafu unalitenda, hilo ni kosa na ni dhambi mbele ya Muumba.

Waliokirimiwa pesa zilizotokana na ESCROW nijuavyo mimi mtu makini kama Askofu Kilaini isingekuwa rahisi kukubali kupokea angejua kwamba ni za wizi toka umma, alipokea kama msaada toka kwa mhisani ye yote bila kujua chanzo cha pesa hizo kama ni halali au la. Hakuna anayemwuliza mhisani umepataje pesa unazonipa.

Hilo jambo tunaona limeongelewa kifalsafa sana na kamati ya Zitto na kupeleka zigo kwa waibaji si wanufaikaji.

Nimekupata Mkuu, arudishe basi ili kujisafisha kwa jamii!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom