Mmmhhhh....!!!
Wakatoliki naona leo kuna wakatoliki imani na wakatoliki maslahi
wangekua walokole ndo wamefanyw hivyooo wangejuta leo
kuanzia leo msiwanyooshee vidole walokole wakati vitatu vinawageukia
Pamoja na kukiri ukatoliki wangu hadharani,pia nathubutu kusema maadili na uadilifu wa viongozi wetu unatutia wasiwasi sana,nilitegemea tokea hii issue ya Kilaini imeanza kuzungumzwa kwenye mitandao ya kijamii,kanisa lingetoa tamko au baraza la maaskofu katoliki Tanzania lakini naona kimya tu,au nyie mlioko karibu na anakohudumu baba Kilaini mtuambie,je Jimbo katoliki la Bukoba limetoa tamko lolote?
Kwa hapa Kilain siyo tu ni Askofu bali amepewa hela kwa kofia yake aliyonayo huko Mkombozi Bank ambayo ni bank iliyotumika kutakatisha fedha
inashangaza watu wanatumia nguvu kubwa kumtetea mwizi kilaini.
huyu askofu alipohamishwa hapa dar watu walimlaumu cardinal pengo kwamba anamuenea wivu, kumbe alistahili huenda mambo yangekuwa mabaya kama angekuwa hapa dar, jimbo la dar lingechafuka na kushindwa kujisafisha.na hili ndiyo limegundulika yapo mangapi maovu yamejificha.baba askofu kuwa na huruma na watanzania watakimbilia wapi?? Kama viongozi wa kanisa mnaanza kuwa sawa na ma ccm??
Ni kweli sadaka ni muhimu pia michango ni muhimu kwa shughuli za kimaendeleo, ina maana hayo makanisa hayana bank a/c au na yule mama anaesema alichukua kwa ajili ya shule na ameziwasilisha kunakohusika kama alivyosema (swali la kujiuliza hiyo shule haikuwa na bank a/c?). Hizo ela wana haki nazo kama wamepewa kwa mapenzi mema lakini tatizo linakuja kwa wanasiasa wetu na hicho ndio kinawaponza, unakuta anachukua hela sehemu alafu anapeleka kafungu kadogo panapohusika na tena anajifanya hela zake ila likifumka kama hili lililofumka ndio anasema hizo hela alipata kwa ajili ya shughuli ya maendeleo. Hata miezi kadhaa iliyopita iliibuka issue ya wabunge kuchukua hela NSSF, majibu yalikuja kwamba wamechukua kama sehemu ya social responsibility ambayo kila mbunge ana haki ya kuchukua kwa ajili ya taasisi yoyote. (ila walivyoenda kutoa hizo hela NSSF haikutajwa walijifanya wao ndio wametoa na walivyobanwa mbavu ndio wakarudi na kusema walichukua NSSF)
Kama ni issue ya shughuli za maendeleo kulikuwa kuna shida gani ya kuzi-link hizo taasisi na mtoa hela alafu bado credit ukabaki nazo mwanasiasa
Mkuu hizi issue ni sintofahamu hivyo usiumie kwa comment yangu, hizi issue kila mtu anazungumza kwa kutokuwa na uhakika including me hivyo kwa sifa ya binadamu kujiuliza ni jambo la kawaida kwa binadamu yoyote kama mie navyojiuliza maana bila hii issue kulipuliwa tusingejua yote haya. Sijaanzisha uzi mkuu napata cha kuchangia kutokana na kile ambacho nakikuta mtu ame-comment na mie naendelea kujiuliza tu.Mbona mnamwekea maneno mdomoni? Wapi alisema matumizi ya hiyo pesa aliyopewa? Akihitaji atawaambia. Kanisa Katoliki lina mapadre wa Jimbo na wa mashirika na hawa wanaweza kuwa maaskofu. Wale wa jimbo anaweza kupokea zawadi binafsi na akaitumia kwa ajili ya Kanisa au kusaidia wahitaji wowote. Unadhani Makanisa yanayojengwa fedha zote kutoka kwa wahisani hupitia kwenye account za jimbo/Parokia?
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.
What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
Kwani mil 80 ,inaweza shika record ktk hela alizotoa sabodo, Mengi na wengine ktk michango ya kujenga makanisa kwao na kwa wengine?Hata misikiti imepoke zaidi ya Milioni 100 kw amkupuo na mara nyingi toka kwa Mengi...CCM walikimbilia kusema anataka urais.ila sikuona mahali masheikh wakishuku...Ruge ni calibre ya akina Mengi ktk uwekezaji .Sasa huanze shuku m80 akipeleka kijijini kwao si utakuwa ni wendawazimu?Umewahi ulizia Karamagi na wizi wake wapi aliwahi shukiwa na misikiti au jimboni?Tukubali Askofu huwa anapewa hiyo misaada na Ruge na hakuwa na sababu ya kujua hizo pesa mfadhili anazipata wapi.Sasa Baba Askofu umejua kuwa izo hela ni za wizi si ni vizuri ukamrudishia ukasafisha jina lako na la kanisa?Hata hivyo jamani amount ya sadaka/msaada uliotolewa isingeweza kukushutua Baba Askofu?Nina mashaka na uadilifu wa Baba Askofu.Au ni mojawapo ya sababu ya kuhamishwa na kuwa demoted.
Ndugu yangu nakuunga kabisa mkono, mimi mwenyewe ni mkatoliki pesa yoyote ya sadaka au ya msaada kwa ajili ya kanisa inapelekwa altare au inaingizwa kwenye account ya kanisa na inatangazwa kanisani na kumtaja mhisani aliyetoa hiyo pesa. Sasa inakuwaje iingizwe kwenye account yake binafsi? na je aliitangaza? Kanisa Katoliki inabidi itoe tamko!
Umeambiwa kwamba huwaanatoapesa kwaajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo kwa imaniyake.we we unajua kwanini alitoapesahizo kwa askofu, au unahisi vitu tu kichani kwako. Mimi simtetei huyu askofu lakini nachukua tahadhari kwakuwa najua hata majizi huwa yanatoa sadaka nyingitu na hakuna mchungaji au padri anaejua huyomtoa sadaka amezipata wapi.
Km hujui maana ya mpuuzi kwanini ujiite Great thinker?Biblia ndio Dictionary?Au unataka tumia Biblia kuwaaminisha na wasioiamini.Km hujui tofauti ya kupokea Hela kihalali kwa kazi halali..Na uhalali wa hiyo kwa mtoaji .Sioni sababu ya kuamini km una akili nzima.Utakuwa kichaa ndio maana unaamini kuwa ni great thinker wakati ni mpuuzi.Hujitambui.Upo too Naive km DHAIFU..Hili ni jukwaa la great thinkers,toa hoja.Mpuuzi ni mtu wa aina gani?Soma yoh.8 mstari wa 31.Ninyi mkiwa wanafunzi wangu mtaujua ukweli,nayo kweli itawaweka huru.Jifunze kusema ukweli hata kama utakuuma.
maaskofu hawa wanaokaa mission wanakula hapo na wamejitoa maisha kutumika. hawana wake wala watoto na makwao walishaaga. Haya mamilioni wanayatumiaje?