Halfcaste
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 972
- 215
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.
What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
BAKWATA mbona wanahudumiwa kuanzia Magari na hela ya chakula kutoka fungu la kifisadi la CCM na hatusemi kaka. Wote ni wizi tu.