Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

Nimependa ulivyo niita mcharuko(ukiweza kudhibiti hasira zako juu ya wale wanaokupinga kifikra utakuwa ni mmoja kati ya watu waliolelimika)learn how to handle the truth.
Nielimishwe na mpuuzi km wewe,hapa nilichoandika hujasoma unajipa haki ya kunidhihaki na kupoteza muda na processing power ya computer.Narudia wewe ni mcharuko.We kwa akili yako unadhani kuwa mkatoliki kunakusaidia kuhalalisha ujinga na si kuonyesha jinsi hujawahi kushiriki ktk shughuli za kikatoliki au hata kuujua kabisa.Ungeshiriki ungekuwa umeona hata kwa uzoefu utendaji wao.Kuwa wa kundi fulani hakuhalalishi kujua sana.KWA TAARIFA YAKO KUNA WATU WENGI TUU KTK DINI NI WAJINGA SANA NDIO MAANA WAPO HUKO.NA WAPO HUKO KWA VILE WANATEGEMEA USHAWISHI NA IMANI KWA WATU WALIOMZUNGUKA.
 
una hakika amana hazikupita?umeuliza mgao wa jk ulipita wapi?za jk na watendaji waislam walioshiriki ingawa hawajaandikwa wana bank na mkombozi?una hakika kuwa hela za misikiti hazina mafaoa ya tembo wetu,wakwepa kodi, wizi wa nssf, unga?wao wawezacho jitetea ni kwamba hawana uwezo wa kwenda thibitisha vyanzo na kuharamisha au kuhalalisha ila mletaji ndie ajue kuwa kwa mungu hana thawabu.ruge anaweza mwambia askofu kuwa alichokileta ni sehemu ya kilicho chake iptl.na si uongo ni mdau halali mwenye hela nyingi sana,zaidi ya hizo nje ya escrow.huyu jamaa mbali na business nyingine usisahau kuwa ndie alikuwa anamiliki tritel..enzi watu walikuwa wanaona fahari kuwa na vicelular.
acha maneno mengi ya kuhalalalisha wizi wenu.usipende kuchafua watu wasafi wafanane na wewe.jitetee mwenyewe.
 
Mbona wafanyakazi wake wanaoliopwa ujira wao hawakuingizwa kwenye hii sakata????!!
Au mwezi huo hakulipa mishahara wala hakufanya transactions nyingine???!!

Huyu unayemtetea aliuza nini au alitoa huduma gani labda??!!

Mishahara inalipwa na kampuni na sio individual hata mengi alipi wafanyakazi mishahara bali IPP ndio inaowalipa mishahara maana hao wafanyakazi hiyo mishahara wao ndio wanaifanyia kazi na kuingiza kipato kampuni at the end ndio wanapewa ujira.
 
Pamoja na taarifa zote za jinsi Rugemalira alivyokuwa mzalendo kutoa taarifa kwamba Tanesco inaibiwa, pia kuwa mzalendo kwa kulipa kodi kutokana na mauzo yake halali ya hisa zake 3/10, bado kuna watu hamuelewi kabisa tofauti ya walioshinikiza kulipa hela za Escrow na waliopewa fedha na mzalendo Rugemalira. Huenda ishu hii haijaeleweka kwa Watanzania wengi. Watu wanaacha kumshikia bango Singasinga aliyepewa hela yote ya ESCROW Account, wanamshikia bango Kilaini aliyepewa hela na mtu aliyeuza hisa zake kihalali na kulipa kodi!
Nimshikie bango Singasinga aliyepewa pesa zote kwa nini? Unataka nipoteze muda wangu wa nini? Wakushikia bango ni wale watendaji wa serikali waliosimamia swala zima mpaka pesa zote zikatolewa kwenye account ya escrow! Mojawapo ni hao waliotuhumiwa moja kwa moja ndani ya ripoti ya PAC huku ushahidi wote ukiwa umeambatanishwa na ripoti hiyo!
 
Usichoelewa ni nini? Askofu Kilani kasema mhisani wake Lugemalila si mara yake ya kwanza kusaidia shughuli za maendeleo, hivyo alichofanya hakikumshtua kwa vile ni jambo lililozoeleka. Methodius Kilani amehitimisha kwa kusema walioziiba pesa hizo wachukuliwe hatua. Nini zaidi unataka? Askofu hakuzichota toka ESCROW acc. bali aliingiziwa kwenye account yake toka kwa mhisanialiyekuwa na share holder kwenye account hiyo, sasa kosa la Askofu liko wapi?
Hizo shughuli za maendeleo zinazochangiwa ni za Kilaini, au ni za jimbo! Kama ni za jimbo kwa nini hiyo pesa isiwekwe kwenye akaunti ya jimbo moja kwa moja. Leo pesa ya MCC ikipitishwa kwenye akaunti ya Kikwete patakalika kweli? Usichokijua ni kuwa hata askofu wa jimbo la Bukoba alikuwa hajui pesa hiyo mpaka habari zilipovuja.
 
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
Una hakika hazijapita huko?Hao watendaji wa BOT wasio wakatoliki walipitisha wapi?Nani kakuambia kuwa Zilifika Katoliki toke akatoliki?TANESCO,BOT ,na HATA WALIOGAWIWA ni wateja wa MKOMBOZI?Ni tabia ya waislam kukimbilia kushabikia kitu wanahisi kina kudhalilisha wengine ..km issue ya unga walitaja maaskofu....hawakutaja .Masheikh ambao watoto wao hulindwa na dola eti wazazi wao ni waanzilishi wa TANU etc.Meno ya tembo ni biashara ya waislam kuliko.ILa hakuna report iliyowaweka hadharani.Ni kukosa nia njema huku ndio maana watanzania wanafundishwa ujinga uongo etc.Mkwawa ,kiinje na wengine hamtaji uislam wao na vita dhidi ya Ukristu, kuuza watumwa wasio waislam.Mkampaka rangi ya ukombozi na Ukristu rangi ya Ukoloni.Hapa RUGE ni Mwana hisa Halali, na ktk hiyo issue kuna hela yake halali, ambayo inazidi aliyompa Kilaini so huwezi sema kilaini alichukua hadi isiyokuwa ya Ruge.Na ruge akiwapa aliwapa kwa sababu ya asili yake Bukoba na si dini yake.Km ni Dini angeweza mpa Pengo makao makuu Dar ili waamue pa kuitumia.Na alikuwa alifungua account Mkombozi kwa ukatoliki wake ,ila cha kujiuliza ni km ilifunguliwa kwa kazi hii au ilifunguliwa mapema km vile waislam walivyochangamka kuingisha Amana.
 
We hela unazopokea katika shughulizako kilasiku unajua zinakotoka? Au na wewe ni mwizi acha ujinga.

Hoja ya kijinga kabisa hii askofu kapokea rushwa yeye ndio mwenyekiti wa bodi ya mkombozi benki iliyotumika kupitisha hizi fedha.
 
Baba Askofu Methodius Kilaini akiri kua alipokea milioni 80.5 kutoka kwa Rugeemanila. Ila atoa rai kwamba wezi halisi wakamatwe na kushughulikiwa na siyo yeye!
==================


Chanzo: EATV

mulika mwizi. maaskofu hawa wachumia tumbo wanapaswa kuogopwa kama ukimwi!
 
We una argue na mtu asiyeelewa??!!
Nimekuuliza wewe ushauri wako juu ya hili ni upi mkuu??!!

Pesa ambazo walihisaniwa kwa malengo ya maendeleo na kuna vielelezo kwamba zimetumika kwa shughuli za umma ingehalalishwa kama ujenzi wa zahanati, shule nk, lakini kama ilikuw akwa matumizi binafsi lazima zirudishwe.
 
Hizo shughuli za maendeleo zinazochangiwa ni za Kilaini, au ni za jimbo! Kama ni za jimbo kwa nini hiyo pesa isiwekwe kwenye akaunti ya jimbo moja kwa moja. Leo pesa ya MCC ikipitishwa kwenye akaunti ya Kikwete patakalika kweli? Usichokijua ni kuwa hata askofu wa jimbo la Bukoba alikuwa hajui pesa hiyo mpaka habari zilipovuja.

Fuatilia mabandiko yangu huko nyuma, kuna wahisani ambao hutoa pesa au misaada moja kwa moja kwa jina la askofu ndicho kilichofanyika. Maaskofu wengi wana account binafsi ili kurahizisha wahisani wanaoamua kuchangia moja kwa moja kwa jina la askofu kwa miradi ya maendeleo au malengo wanayotolea pesa. Usilinganishe serikalini na kwenye mashirika ya dini na ulimwengu mbili tofauti.

Tumeshuhudia baadhi ya majimbo askofu fulani alipoondoka katika jimbo fulani misaada ya maendeleo jimboni ilikatika ghafla sababu baadhi ya wahisani wanatoa sababu ya kumwamini kiongozi fulani.
 
Una hakika hazijapita huko?Hao watendaji wa BOT wasio wakatoliki walipitisha wapi?Nani kakuambia kuwa Zilifika Katoliki toke akatoliki?TANESCO,BOT ,na HATA WALIOGAWIWA ni wateja wa MKOMBOZI?Ni tabia ya waislam kukimbilia kushabikia kitu wanahisi kina kudhalilisha wengine ..km issue ya unga walitaja maaskofu....hawakutaja .Masheikh ambao watoto wao hulindwa na dola eti wazazi wao ni waanzilishi wa TANU etc.Meno ya tembo ni biashara ya waislam kuliko.ILa hakuna report iliyowaweka hadharani.Ni kukosa nia njema huku ndio maana watanzania wanafundishwa ujinga uongo etc.Mkwawa ,kiinje na wengine hamtaji uislam wao na vita dhidi ya Ukristu, kuuza watumwa wasio waislam.Mkampaka rangi ya ukombozi na Ukristu rangi ya Ukoloni.Hapa RUGE ni Mwana hisa Halali, na ktk hiyo issue kuna hela yake halali, ambayo inazidi aliyompa Kilaini so huwezi sema kilaini alichukua hadi isiyokuwa ya Ruge.Na ruge akiwapa aliwapa kwa sababu ya asili yake Bukoba na si dini yake.Km ni Dini angeweza mpa Pengo makao makuu Dar ili waamue pa kuitumia.Na alikuwa alifungua account Mkombozi kwa ukatoliki wake ,ila cha kujiuliza ni km ilifunguliwa kwa kazi hii au ilifunguliwa mapema km vile waislam walivyochangamka kuingisha Amana.

Sasa hapa mnaanza kuharibu mjadala. Hatuwahukumu wakatoliki wote kwa matendo ya mkatoliki mmoja.tukubali kuwa maaskofu waliopokea hizi fedha wamelichafua kanisa. Hata Kama wangekuwa Ni waislamu tungesema hatufichi mbona jk tunamchana live kuwa yeye ndio chanzo cha yote haya Na serikali yake ya mafisadi? Je Hawa mafisadi WA ccm Si wapo waislamu Na wasio waislamu? Naomba tusiingize ushabiki WA dini penye ukweli tuseme. Tusimuonee haya kwa kuwa Ni WA dini yetu.hapa tunatetea maslahi ya wananchi WA dini zote.
 
acha maneno mengi ya kuhalalalisha wizi wenu.usipende kuchafua watu wasafi wafanane na wewe.jitetee mwenyewe.
Shida moja mna akili ndogo na mnaacha details mkijifanya mnajua kila kitu.Usafi wenu upi, na uharamia wa Kilaini ni upi kwa mradi wa Bukoba ambao anachangia mhaya kwa maendeleo ya jimbo lao.Kwa akili yako unadhani kilaini angefanyaje kujua kuwa hizo milion 80.5 zimetoka ktk sehemu isiyo na Ruge ktk ESCROW?Hizo millioni Ruge anaweza zitoa ktk matumizi tuu.Hata mwanae au mkewe anaweza zitoa Mabibo.
 
Kwenye Kanisa Katoliki mambo ni tofauti sana na makanisa mengine na taasisi nyingine. Swali ulilouliza ni sahihi sana lakini ndani ya Kanisa Katoliki, Uaskofu unaunganishwa na mtu binafsi. Ndiyo maana unaambiwa kuwa majengo ya makanisa yote ya Kanisa Katoliki ni mali ya Maaskofu. Kuna majengo na miradi ambayo ni mali ya walei au mapadre au masista lakini katika hali ya jumla makanisa, shule, hospitali na hata vyuo (including SAUT) ni mali ya maaskofu.

Kwa msimamo wa Kanisa Katoliki, mali ya askofu ni mali ya kanisa, haruhusiwi kumiliki mali yeye kama mtu binafsi. Askofu Kilaini anaweza kupata tatizo ndani ya uongozi wa Kanisa endapo tu itakuja kudhihirika kuwa pesa hiyo na hata aliyopewa huko nyuma aliitumia kuwanufaisha ndugu au marafiki zake, vinginevyo hatakuwa na kosa.

Ifahamike kuwa maaskofu hawa hawana familia wala vitega uchumi vyao binafsi, kila wanachopewa au kukizalisha kinakuwa kwaajili ya kanisa na jamii. Najua lazima Kanisa litafanya uchunguzi wake lakini kwa bahati mbaya kutokana na usiri wa Kanisa ni vigumu sana kujua watagundua nini.

Ukitoka nje ya Kanisa, na ukizingatia kuwa Askofu Kilaini yupo nje ya mfumo wa serikali, ni vigumu sana kumhukumu moja kwa moja kuwa ana hatia kwa vile tu aliipokea hela hiyo, labda kama ikidhihirika kuwa alipewa fedha hiyo kwa lengo maalum ambalo lina uovu ndani yake.

Hivi makanisa huwa hayana akaunti mpaka sadaka ipitie mikononi mwa Kilaini
 
Sasa hapa mnaanza kuharibu mjadala. Hatuwahukumu wakatoliki wote kwa matendo ya mkatoliki mmoja.tukubali kuwa maaskofu waliopokea hizi fedha wamelichafua kanisa. Hata Kama wangekuwa Ni waislamu tungesema hatufichi mbona jk tunamchana live kuwa yeye ndio chanzo cha yote haya Na serikali yake ya mafisadi? Je Hawa mafisadi WA ccm Si wapo waislamu Na wasio waislamu? Naomba tusiingize ushabiki WA dini penye ukweli tuseme. Tusimuonee haya kwa kuwa Ni WA dini yetu.hapa tunatetea maslahi ya wananchi WA dini zote.
Msikuze issue,nilichosema hujakisoma.Report imejificha ktk kujenga dhana yenye nia ovu.Majibu yenu mtapewa na kanisa.NA Ruge naye ataongea.Sasa walio waislam mbona wanakusanywa km vile hele yao iliishia Mkombozi.Issue imewekwa km vile Hela imeanzia Mkombozi na kuishia mkombozi.Issue imekwenda kwenye matumizi ya Hela kuliko wizi wenyewe.Wizi umekwenda kujenga dhana ktk nchi iliyo tayari na vita mbaya dhidi ya Kanisa.
 
wangepewa masheikh na maimam ingekuwa balaa mara 100 ya hii!!!!!!!!!!!
Hela za Escrow zilipita Mkombozi Bank (Catholic Bank) pia wamepewa Maaskofu na mapadre wa Roman Catholic.

What if zingepita Amana Bank and wapewe Masheikh na maimam??
 
Hivi hapa Tanzania kuanzia mdogo hadi mkubwa, mke au mme, ccm, cuf, cdm, nccr nk, weupe kwa weusi, waislamu kwa wakiristo wote wanakiri kuwa rushwa imekithiri Tanzania.
Je, kuna yeyote kati yetu aliyewahu kupewa receipt kwa malipo ya rushwa!? Mpaka walipofikia hatua ya kuipa jina la 'takrima' walishindwa nini kuiita kwa jina lake halisi!?
 
Umesema kweli MKUU. sasa kesha jua ni fedha za wizi hivyo arudishe na akaungame kwa Baba Pengo. Je kama zilikuwa ni halali AMELIPA FUNGU LA KUMI?
Arudishe?!!,thubutu,pesa tamu asee,mtajiju.
 
Back
Top Bottom