Ha Ha Ha Ha Ha! Hii ni trademark ya Le Mutuz Baharia.
Ha Ha Ha Ha Ha! Hii ni trademark ya Le Mutuz Baharia.
Humu ndani kuna watu mmejaaliwa maneno looh..... Lizzy we nimeona nikuache tu maana ni kashesheeee sijui nichukue ipi niache ipi
JF mwisho wa matatizo! - NATA
Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf? - Kongosho
Hujui mapenzi nini wewe? acha kumrukia mkeo kama kuku... - Smile
Best wangu,mbona kifua kinapanda na kushuka? au una ham na tendo la ndoa?- Bishanga
Gombana na mbwa wako, usigombanne na jalala la jirani mwanakwetu!- king'asti
Anaefanya uzinzi ni mjinga,lakini anaelipa ujinga kwa ujinga ni mjinga zaidi!- Eiyer
Tunda au firigisi?! – Eliza wa Tegeta
Naishi Matejoo - Nyani Ngabu
Uke wa mbele au nyuma?- Natasha Ismail (nilicheka nusu nipaliwe)
Mi si mtu wa kujilipua kama wewe.....Mimba zote nimezihifadhi kwenye kondom, siku wakihitaji nawamiminia...... - Asprin
Jaribu msomali, utawakumbuka wabongo dental fomula yao huwa inakwaruza kama ka tuthpik hivi - Kongosho (niliangua kicheko cha ajabu na kila nikikumbuka nabakia kucheka mwenyewe)
Niniliyu yake inapumulia mashine kama jamaa flan (simtaji anatembea na gobole la mchina,'i will kill you' ndo signature yake jf) - Bishanga
Msafara wa Mamba kenge huwa hawakosekani hata siku moja,na ukiukaguwa vizuri utawakuta hadi mijusi na magong'ore. Jingas kabisa wewe.- JB WISER
Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bizekichwa kikubwa kinashut down? - Kongosho
Usijali mme wangu nacha mchana soon ntakupatia mpaka ucheue!! - Cantalisia
mmmmhhh... Mabwaku!
Thanx sina usemi maarufu....
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI nimesahau aliyekua anatumia hii kauli.