Baadhi ya misemo ya WanaJF

Ha Ha Ha Ha Ha! Hii ni trademark ya Le Mutuz Baharia.

Ukiisoma Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! ujue Baharia Le Mutuz William Malecela yuko around anamkoma nyani giladi...
Dah jamaa ni tatizo kwa wenye hasira.
 
Humu ndani kuna watu mmejaaliwa maneno looh..... Lizzy we nimeona nikuache tu maana ni kashesheeee sijui nichukue ipi niache ipi

JF mwisho wa matatizo! - NATA

Ulishindwa kuninunulia matiti ya kuku pale kwa Edo utaweza umemba wa jf? - Kongosho

Hujui mapenzi nini wewe? acha kumrukia mkeo kama kuku... - Smile

Best wangu,mbona kifua kinapanda na kushuka? au una ham na tendo la ndoa?- Bishanga

Gombana na mbwa wako, usigombanne na jalala la jirani mwanakwetu!- king'asti

Anaefanya uzinzi ni mjinga,lakini anaelipa ujinga kwa ujinga ni mjinga zaidi!- Eiyer

Tunda au firigisi?! – Eliza wa Tegeta

Naishi Matejoo - Nyani Ngabu

Uke wa mbele au nyuma?- Natasha Ismail (nilicheka nusu nipaliwe)

Mi si mtu wa kujilipua kama wewe.....Mimba zote nimezihifadhi kwenye kondom, siku wakihitaji nawamiminia...... - Asprin

Jaribu msomali, utawakumbuka wabongo dental fomula yao huwa inakwaruza kama ka tuthpik hivi - Kongosho (niliangua kicheko cha ajabu na kila nikikumbuka nabakia kucheka mwenyewe)

Niniliyu yake inapumulia mashine kama jamaa flan (simtaji anatembea na gobole la mchina,'i will kill you' ndo signature yake jf) - Bishanga

Msafara wa Mamba kenge huwa hawakosekani hata siku moja,na ukiukaguwa vizuri utawakuta hadi mijusi na magong'ore. Jingas kabisa wewe.- JB WISER

Hivi unajua kuwa wanamme wengi kichwa kidogo kikiwa bizekichwa kikubwa kinashut down? - Kongosho

Usijali mme wangu nacha mchana soon ntakupatia mpaka ucheue!! - Cantalisia
 
Last edited by a moderator:

Haya wee!
 
Yummy haki vile nagoma kucheka na wewe. Yani Bishanga umemuona wa maana kuliko mimi?

Mpenzi wangu Lizzy nielewavyo mie wewe na Bishanga ni kitu kimoja kwa mana hiyo basi akijaharibika kitu(wewe ndo yeye na yeye ndo wewe)teh teh teh teh NN usisome hapa,funga macho kabisa!
 
Last edited by a moderator:
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI nimesahau aliyekua anatumia hii kauli.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom