Baadhi ya misemo ya WanaJF

Mpenzi wangu Lizzy nielewavyo mie wewe na Bishanga ni kitu kimoja kwa mana hiyo basi akijaharibika kitu(wewe ndo yeye na yeye ndo wewe)teh teh teh teh NN usisome hapa,funga macho kabisa!
Yummy...Yummy..Yummy....
Alichokupa Bishanga kweli kimekukolea.
 
Last edited by a moderator:
daaah mimi nimesingiziwa.... me like sana wanaume..?since when jamani? nina miaka 5 simjui mwanaume ...
 
jamani nimesoma hiyo maneno yako ya hapo chini ''SO MANY RELATIONSHIPS, YET SO LITTLE LOVE.... whats behind the scene
 
Back
Top Bottom