Baadhi ya misemo ya WanaJF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya misemo ya WanaJF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by EMT, May 31, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuna watu humu wana misemo, vichekesho, n.k na hata ukiingia JF ukiwa na hasira unawezajikuta unaangua kicheko cha nguvu hadharani. Misemo mingine ni kama trade mark kwa baadhi ya members. Kwa mfano, ni nadra sana kukuta post ya Mkandara ambayo haijaanza na "Mkuu wangu" hata kama anayemjibu alimtukana. Au AshaDii bila kumalizia threads zake na "Pamoja Saana" basi hiyo itakuwa sio uzi wake.

  Misemo mingine basi tuu inakufanya usitake kuikosa JF. Nimejaribu kuonhoresha baadhi ya misemo niliyokutana nayo. Some made my day. Najua ipo misemo mingi wanaJF humu, so ongezea tafadhali.


  1. Your wish is my control – Invisible
  2. Pamoja Saaana – AshaDii
  3. Mkuu Wangu – Mkandara
  4. Usitake Ncheke – Faiza Foxy
  5. Mimi like sana wanaume wa jf - Smile
  6. Oh boy – Mzee Mwanakijiji
  7. Kwani Kongosho ni mwanamke???!?! – TANMO
  8. Kwa mwanamke aliyekamilika kutongozwa siyo story. Story ni kama ungetendwa Kinyume cha tabia au maumbile – Consigliere
  9. Pumba nyingine hazifai hata kulisha ng'ombe – Lizzy
  10. Bora Tanganyika, Tanzania wizi mtupu - Kumbakumba
  11. Nguruwe na ngiri wote haramu, ni mfano tu – Kongosho
  12. Lakini jamani bandugu kutongoza ni crime? Kutongozwa je? – bht
  13. Wenye akili zetu maeneo ya hivi tunayapita kama vile hakuna hata sisimizi! – PakaJimmy
  14. Ujue mie mtoto wa fisadi??..kwetu kuna tv mpaka chooni ati, Nikimwambia baba utapata shida sana... – sweetlady
  15. Nalog off – Washawasha
  16. It's nice to admit when you're shitty! - Peasant
  17. Kama hupenda c.r.a.p acha kuandika c.r.a.p – Lizzy
  18. Itakuwa una plasmodium wengi kichwani kwako – nsangaman
  19. Sasa ndio najua maana ya "chit - chat"! – SMU
  20. Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa – Faiza Foxy
  21. Nikipata mwenza humu JF na kubahatika kupata mtoto, nitamwita mtoto Paw - BADILI TABIA
  22. Unachotaka kufanya ni sawa na maharage yakatae kuiva halafu unayaponda kwa mwiko, jibu ni kuwa hayajaiva tu na hayatakuwa na ladha Kongosho
  23. Yani huyu dada cjui kaweka ulimbo kwenye hii sredi yake kila nkitaka kutoka najikuta naendelea kusoma comment za watu kwa fupi leo nimeiba muda wa mwajiri pasee na sasa naishia hadi kesho hata sredi nyingine cjasoma – sakapal
  24. JF is never boring – The Boss

  Chao
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  EMT nilikuwa nashauri mods waweke copy rights au mfumo utakaofanya hii misemo ikitumika
  mwenye msemo wake anakuwa notified hivi.....

  mingine ni hiii
  Miafrika ndo tulivyo -@Nyani ngabu

  this one takes the cake - Gaijin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha
  kabakabana
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  JF is never Boring - ulijichukulia umaarufu mkubwa sana humu jamvini. Kwa hisani ya The Boss
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Boooffffffff - Boflo
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nafurahia sana.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhh... Mabwaku!
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "Kumpiga chura teke ni kumpunguzia mwendo".
  Sikumbuki nani alitoa lkn iko bomba.
   
 9. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Pedagogist at Work - Faiza Foxy.
   
 10. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa. I remember this one.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mia=figaniga
  OTIS=Otis
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  EMT umenikumbusha mbali sana lol...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  dah.. nimecheka sana mbele ya kadamnasi! mtoa uzi hebu nielekeze jinsi ya kuweka signature!
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Chezea toto la fisadi uone. Tokea siku hiyo nilikukoma. lol

  Umeona eh? Watu wanawezadhani umekuwa kichaa ghafla. Cheki na mamod Invisible, Cookie, Fang, RussianRoulette, japokuwa Mod Paw naona ni mtu wa ban zaidi. Unaweza mwomba msaada akakubamiza na ban bure.
   
 16. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,920
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  EMT

  Kama unachosema ni ukweli, basi Mkuu Paw akisoma hiyo post yako kwenye status yako ya JFSEM chini yake kutatokea neno lingine linaanziwa na B lol
   
 17. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,530
  Trophy Points: 280
  Ha Ha Ha Ha Ha! Hii ni trademark ya Le Mutuz Baharia.
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mzee wa mia nimemmsii
  naoenda msemo wa 'miafrika ndivyo tulivyo'
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha!!!!!!!! lol.....afu nilikuwa namtania mtu fulani hivi, mie wala sio mtoto wa fisadi bana!....nimecheka manake umewezaje kuifukua ni ya long sana.
   
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Cookie nimependa signature yako.....naomba niuzie.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...