MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,984
- 2,587
Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
Mama anaibomoa legacy hewa ya mwenda zake bila makeleleMimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
Kweli Magufuri aliwaacha magaidi, sasahivi Samia anayashambulia kwa mwendo wa 5g😁😀😀Mama anaibomoa legacy hewa ya mwenda zake bila makelele
Kwani mama anapambana na marehemu?Mama anaibomoa legacy hewa ya mwenda zake bila makelele
Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.Kwani mama anapambana na marehemu?
Haya kojoa ukalale!Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.
Marehemu akiwa Mbishi Sana Hakuna namna Ni KUPAMBANA naye tu Mpaka atakapofukiwa na udongo moja kwa moja na kutuachia nchi yetu. Hatucheki na Kima Tena Wala kulea Mijambazi. Ally Happy ajiandae kujibu kesi ya Uhujumu uchumi mda Sio Mrefu,Kule Mara alikopelekwa ndiko Mtego wake uliko.
Kwani Maiti nazo zimeanza kuwa na Wagombea wenza? Hongereni kumbe huko Lumumba ambapo hata Maiti zinapewa Wagombea wenza.Na mgombea Wake mwenza je. Kama Hiyo ndo mantiki yako.
Magufuli alikuwa janga la Taifa!Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
Wapi Paulo Makonda? Kuna weza kuwa na kesi ya kujibuMimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
AnarekebishaKwani mama anapambana na marehemu?
Hiyo haibomoleki mkuu.Mama anaibomoa legacy hewa ya mwenda zake bila makelele
Hats Mimi sasa...bado MAKONDAMimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?