Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Ukisoma ushauri wa wanawake humu unaona kabisa namna ambavyo kwa nini siku hizi VICOBA vya wanawake vinasababisha ndoa nyingi kuvunjika. Huwezi kusikia wanaume wanashauriana upuuzi wa hivi huwa tunaacha mhusika aamue mwenyewe ila wenzetu wanaweka maumivu yao kwa wenzao ili wawe sawa.

Dada/mdogo wangu umeolewa mdogo sana jaribu kutafuta suluhu kanisani au nyumbani kwao otherwise kwa umri huo mpaka ufike 45 ushazaa na wanaume 8. Usione wenzako wamekaa kwenye ndoa. Ndoa sio mapenzi ndoa ni taasisisiku hizi mapenzi tafuta unapojua.

Unaanzaje kusaka mapenzi kwenye ndoa? Ungetaka mapenzi usingekubali kuolewa. Hapo mnaishi kuzaa na kujenga familia.

Labda nikufunze tu, kama anarudi asubuhi kalewa na anahudumia familia yake we unasubiri nini kujiongeza utafute mapenzi? Au nawe ndio wale mahaba niuwe?
Hapa anatafute tu gia za kwenda kwa mahawala wake,keshamchoka mmewe. Anahemea vizuli kila kitu wanakula,lakini msokolokwinyo halidhiki. Sasa kesha pita na wanaume zaidi ya mia,huyu hapa halidhishi mbususu, lazima aende anakojua yeye
 
Hiyo sababu namba moja ngoja nikung'ate sikio akuna mwanaume ambae achepuki ayupo
 
Uchawi wako uko hapa. Na usipo badilika hatorudi tena asubuhi itakua ni kila baada ya siku kadhaa ndiyo unamuona.

WANAUME HATUPENDI MAKELELE
Nakazia, wanaume hatupendi makelele
 
Hapa anatafute tu gia za kwenda kwa mahawala wake,keshamchoka mmewe. Anahemea vizuli kila kitu wanakula,lakini msokolokwinyo halidhiki. Sasa kesha pita na wanaume zaidi ya mia,huyu hapa halidhishi mbususu, lazima aende anakojua yeye
Atulie tu mwamba akijua ni red card au kubadilishana majengo hapo mwana mambo mengi lakini familia Ana hudumia hilo ndio jambo la msingi,hv angetelelekezwa ingekuwaje?? Kuna kitu zaid ya huo ulev Na uchepukaji bibie kuna code kaificha
 
Wanawake bwana mnamambo ya ajambu. Mwanaume anayeweza kuhudumia familia utegemee awe anakugegeda wewe tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wee ukitaka wako peke yako chukua akina mzabzab ambao hatuna hela na tuna vibamia. Wenye hela lazima wagegede mbussusu nyingi.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumia kinga.....kama anahudumia familia vizuri wewe oga pendeza kula maisha. Usisahau kinga
Naona unamshauri mwenzio kuelekea kwenye kifo,Mwanaime hata achepuke akisikia Mke wake analiwa jua kifuatacho ni ITV
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Aisee kwa namna ulivyoandika daah, nicheki PM hakika nataka nikuoe mimi naona una akili sana
 
Jamaa yako ni jingest….hata kama anacheat heshima ilitakiwa kuwa pale paleeee….we men cheats a lot kinachotulinda ni heshima tuliyoionesha/kuiweka kwa our significant others hata akiletewa intel unachepuka anakuwa wa kwanza kukutetea [emoji23]….suala la mitungi angalia nn kinam-trigger wanaume huwa hatuongei hata kama we’re in scorching hell…..angalia maybe you’re too nagging…mueleze kwa upendo and actions atabadilika tu
 
Pole sana shoo. Tabia ya ulevi inakera sana hasa hasa Kwa wanaume. Ukiwaambia wanakua wakali kama pilipili. Mimi wangu ni mlevi pro max!

Hebu fikiria inajiogelesha ili mfurahie chakula Cha usiku halafu jitu linarudi saa Saba. Ananuka pombe na mzigo anataka! Keroo kerooo! Basi tu tunavumilia ili watoto wasitange tange.
 
Je hizo tabia zake zimeshamiri mkiwa kwenye ndoa au alianza tangu mkiwa wachumba? If tangu mkiwa wachumba maana yake uliona utayabeba hayo kama mapungufu, so cha kukushauri ni kuendelea kuongea naye ipo siku atajirekebisha, msisistize tu kuchukua tahadhari magonjwa ni mengi.
 
Back
Top Bottom