Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,398
Yaani unajikuta unajua wakati wowote ananiletea magonjwa sugu na watoto wa nje.Hawaelewi watoto wa mama mkwe hawa, inaua mapenzi kabisa, magonjwa nayo jamani

Inanyeshaa kila sehemu...Hapo ni kama unataka kuhama nchi kwasababu ya mvua....
Embu tulia kwenye ndoa mjenge familia.
Acha uongo.Hawaelewi watoto wa mama mkwe hawa, inaua mapenzi kabisa, magonjwa nayo jamani
Bora Mwanaume mlevi mara kumi kuliko Msaliti katika ndoa kwa maana msaliti analeta laana zote huko nje analeta ndani, Magonjwa yote analeta ndani bila kusahau mikosi.Niko mwaka wa 16 huu. Naelewa kila kitu. Dunia hii ukitaka aliyekamilika labda umuumbe mwenyewe
Mtu akirudi usiku unamkoromea kuwa karudi usiku ndio maana anarudi asubuhi kabisa! Kuhusu kuchepuka atatulia ni swala la muda tu!Natamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Hapo furaha utakuwa unaisoma kwa wenzio tuYaani unajikuta unajua wakati wowote ananiletea magonjwa sugu na watoto wa nje.
Ni kwa vile mmejazana ufisi hivyo tunavumilia ila huwa tunaumia na hatusamehi km mnavyodhaniAcha uongo.
Wanawake ni rahisi sana kusamehe mume akitoka nje ya Ndoa.
Kabisa mwisho unaweka sumu kwa chakula afe taratibu .Hapo furaha utakuwa unaisoma kwa wenzio tu
Sijaona hata sababu moja ya maana hapoNatamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Wengi huwa wanatafuta kitulizo nje,, yani hapo bora aivunje hiyo ndoa kuitwa single mama sio ishu sana, ila kuolewa itakuwa vigumu hasa kutokana na yeye kuwa na hiyo ndoa ya kanisaniKabisa mwisho unaweka sumu kwa chakula afe taratibu .
Big no! Haiwezekani ikachukua muda mrefu. Hayo mambo huwa ni ya muda tuNatamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Mlidumu miaka mingapi kwenye mahusiano? Je haya hukuyaona?Natamani kuvunja ndoa yangu.