Natamani kuvunja Ndoa yangu
Habari zenu wakuu ,Hope Mko Poa . Nimekuja na New ID kutaka Userious kwenye hili Jambo langu linalo nitatiza .
Moja kwa moja kwenye Mada Mimi Ni Msichana Age below 30 .Ni mama wa mtoto Mmoja wa Kiume . Niko kwenye Ndoa na Huyu mume wangu almost two years Now .
The reason behind Ya Hayo Maamuzi yangu ni kama Ifuatavyo
Uchepukaji uliokithiri , Asee Huyu Jamaa Ni Mchepukaji Sijawahi Ona na kitu Kilichoniumiza zaidi ni Siku Niliyo gundua He Even Do Bitches . And He always Admit ukimfumania na anasema ataacha lkn Holla . Within this two Years Kesi zetu zishakua Nyingi kwa wazazi Nadhani Wamechoka kutusuluhisha Now.
Mlevi alio pitiza , The Guy ni mlevi Mno , Kurudi Asubuhi kwake ni kitu cha Kawaida Sana . Nimeshaongea Ad Nimechoka . though Familia anahudumia vizuri tu . Lkn Hapati muda na Familia Kbsaa . It real embarass me coz Tunaishi na Mdogo ake hapa Nyumbn So Najiskia viby Sana Kitendo cha yeye kurudi Asubuhi .
Ndoa yetu ni ya Kanisani na Tuna miaka 2 tu Ndoani . Mnashauri Nifanye Nini Ndugu zangu kuhusu ayo Maamuzi yangu Maana Actualy Sina Furaha Kwenye hii Ndoa . And am just too young to live like this til death do us Apart .