Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Wengi huwa wanatafuta kitulizo nje,, yani hapo bora aivunje hiyo ndoa kuitwa single mama sio ishu sana, ila kuolewa itakuwa vigumu hasa kutokana na yeye kuwa na hiyo ndoa ya kanisani
Humu kuna unafiki sana mada ya usaliti ikiletwa na Mwanamke ushauri wa Wanaume ni Vumilia,ila mada ikiletwa ná Mwanaume ushauri ni piga chini hakufai🤷🏼‍♀️
 
Ukisha achana nae akipata atakae mueka sawa itakuaje?
Wewe bado mdogo jaribu kumuelewesha vizuri, kama familia anahudumia vizuri hakuna shida.
Nenda kanisani kwa padre aliewafungisha ndoa muelezee yanayokusibu nadhani ataitwa na wazee wa kanisa tu.
Akishindwa na hapo achana nae tunawahitaji single mother mtaani sana tu.

Ukiongea nae anasema atabadilika , ila Ndo habadiliki sasa . Am so heartless rn
 
though Familia anahudumia vizuri tu
Ukiona wapenzi wanagombana shika jembe ukalime wakipatana shika kapu ukavune,

Mimi sina cha kukushauri Ila km kweli unasema FAMILIA anaihudumia na kuijali pamoja na ulevi wake huyo anajitambua na anajua nini anafanya sio mlevi ni mnywaji tu kuna muda utafika ataacha mwenyewe kwa hio mpe mda
 
Nijibu haya maswali kwanza.

1: kabla hamjafunga ndoa (kipindi cha uchumba) hiyo tabia alikua nayo?

2: Chakula cha usiku unampa vizuri na anashiba au unambania ?

3: Wewe ni wale wanawake wanao ongea sana?

4: Je, unamazoea na wanaume wengine?

Nb. .

KAMA ANAJIELEWA KWENYE MAJUKUMU YA FAMILIA NA KUFANYA MAENDELEO SHIKILIA HAPO HAPO USIACHIE.
 
 
Muache uone kama wanaume wengine tuko kama unavyodhania. Mwanaume au mwanamke anakuwa mbaya akiwa kwako ila kwa wenzio sio mbaya.

Tatizo ni umri sio kwamba hakupendi kaeni ongeeni tofauti zenu mpeleke kwa wazazi au kanisani apewe nasaha za namna ya kuishi na familia.

Kucheat atakucheat tu ila awe na nidhamu. Kinachokukera wewe ni yeye kukosa nidhamu ya nyumbani.

Kwa wazazi Nahisi sasa washatuchoka
 
Natamani kuvunja Ndoa yangu

Habari zenu wakuu ,Hope Mko Poa. Nimekuja na New ID kutaka Userious kwenye hili Jambo langu linalo nitatiza.

Moja kwa moja kwenye Mada Mimi Ni Msichana Age below 30 .Ni mama wa mtoto Mmoja wa Kiume . Niko kwenye Ndoa na Huyu mume wangu almost two years Now.

The reason behind Ya Hayo Maamuzi yangu ni kama Ifuatavyo
Uchepukaji uliokithiri, Asee Huyu Jamaa Ni Mchepukaji Sijawahi Ona na kitu Kilichoniumiza zaidi ni Siku Niliyo gundua He Even Do Bitches. And He always Admit ukimfumania na anasema ataacha lkn Holla. Within this two Years Kesi zetu zishakua Nyingi kwa wazazi Nadhani Wamechoka kutusuluhisha Now.

Mlevi alio pitiza, The Guy ni mlevi Mno, Kurudi Asubuhi kwake ni kitu cha Kawaida Sana. Nimeshaongea Ad Nimechoka. though Familia anahudumia vizuri tu. Lkn Hapati muda na Familia Kbsaa. It real embarass me coz Tunaishi na Mdogo ake hapa Nyumbn So Najiskia viby Sana Kitendo cha yeye kurudi Asubuhi.

Ndoa yetu ni ya Kanisani na Tuna miaka 2 tu Ndoani. Mnashauri Nifanye Nini Ndugu zangu kuhusu ayo Maamuzi yangu Maana Actualy Sina Furaha Kwenye hii Ndoa. And am just too young to live like this til death do us Apart.
[emoji23] alafu umebadilisha ID mbn nshakujua poleee sn aisee, kumbe ndio maana nikakuambia jn mshatendana huko
 
Back
Top Bottom