bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,321
Uchumba Sio ndoa unaweza kaa hata miaka 10 uchumbani ndoa ukaa mwezi.Ndoa ina miaka miwili, vipi kuhusu uchumba wenu kabla ya ndoa ulikuwa na muda gani?
Uchumba ni maisha feki ndoa ni maisha halisi huwezi feki thus ndoa nyingi chali.
Sababu kwenye ndoa hakunaga maigizo kama ulikua unaazima magari,nguo,bata, itajulikana.
Huwezi ijua tabia ya mtu bila kuishi nae.