Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Yaani uambukizwe magonjwa kisa unaogopa ukiondoka atachukuliwa na mwingine??? hii akili ya wapi...
Wanawakeb wanaomshauri aondoka wafanye ku-declare interest kwanza: Je wao wako kwenye ndoa? Naona kama wasio na ndoa ndo wanataka aondoke!! Wengine wako kwenye ndoa na waume zao ni walevi hivyo hivyo na hawajaondoka kwenye ndoa zao, lakini wanamshauri mwenzao aondoke!! Wewe unayeshauriwa haushtuki tu!! Wewe umekiri mumeo anawatunza vizuri, kuna wenzio wanajitunza wenyewe lakini bado wanakaba hadi penati, halafu wewe wanakuambia uache goli wazi!! Kwanza uache kujiita msichana, wewe ni mwanamke!! wewe ni mama!!! Anza kuwaza kama mwanamke na siyo kama msichana!!!
 
Miaka 30 Bado bint kwani kua Binti mwisho Miaka mingapi nakushauri usiondoke vumilia kama anahudumia familia vizuri ww chepuka tu ataacha uyo
Achepuke kwamba ndo suluhisho?

Muulize kwanza mleta mada yeye hana mabaya aliomfanyia mwenzie?

Nadhani ku judge upande mmoja sio sahihi sana.
 
Nadhani angetafuta alipokosea yeye mwenyewe, anasota kidole kwa jamaa ukute yeye ndiye mharibifu wa ndoa akawa nyani halioni kundule.
Hilo nalo neno!! Yawezekana kabisa yeye ndiye alianza kuchepuka lakini hawezi kukiri hivyo hapa!!
 
Tulia wewe, mwanaume akiingia kwenye ndoa ndio hupata zaidi vishawishi unakuta mke ndio ametoka uzazi amejiachia balaa hapo unaandika ila ukute umevaa mikanga tupu na minywele umeiachia tu.

Tulia nawe jikague vizuri, haiwezekani ndoa ya miaka miwili unaanza kulalamika mtu anakucheat. Mpe mambo jipake poda nukia oga osha mashuka, nyumba ing'ae acha kumsemesha upuuzi kila saa na acha kumkaguakagua simu yake na kumdadisi alikuwa wapi instead anza kumpa pole kwa kazi na kumwambia maneno mazuri.

Ongea nae mambo yanayokuudhi kwa upendo na upole na mfanye ajisikie aibu kwa anayoyafanya pia uasiache kumkumbusha viapo vyenu kanisani na usiache pia kumuombea kwa Mungu.

Pia ongea nae kwa upole kuhusu hisia zako kwake jinsi unavyompenda na namna anavyokuumiza kwa matendo yake. Mfahamishe kwamba wewe ni mwanadamu haupendi kujuta kuolewa nae na haupendi ifike pahala muachane au mvunje ndoa sababu ambazo anaweza kuzuia yeye mwanaume wako.

Tell him your feelings dewply kwa upole. Tafuta sehemu mtoe out na umwambie unataka kukaa nae faragha ya dinner. Mjadili bila yeye kunywa pombe ili aelewe maana akilewa atakuchukulia poa.

Jaribu kumuelezea namna ambavyo pombe inamzidi pia angalia kama inasababishwa na stress za kazi au nini? Ongea nae acha kukimbilia kutafuta ushauri mwingi maisha ni yako wewe.

Pambana ndoa sio Big Brother House. Fikiria mwanao je ataishi na wababa wangapi? Unamuacha huyu utakutana na malaika? Wanaume ndio sisi sisi tu hatuna tofauti sana we just sin differently.

Komaa na ndoa we tafuta jamaa akuliwaze kimyakimya huku unatunza ndoa kwa maana kuishi pamoja ili mtoto akue mazingira salama.
Wee jamaa Ni mshauri mzuri Sana[emoji4][emoji106]
 
Hata wazazi wako wanazeeka pamoja wakikusimulia ya nyuma utaona yako madogo.
Huyo akikua ataacha mwenyewe utashaanga na kanisani hakosi.
We usiyajali yake ili usiumie.
Labda ukiweza muombee au peleka picha zake kwa waombezi wakazifukuze hizo roho za ulevi na uzinzi yeye Sio wa kwanza kukombolewa.
 
Labda mpeane space kwanza ili kila mtu ajitafakari na kuona umuhimu wa mwenzie kabla hamjafikia hatua ya kutalikiana rasmi.
Ushauri wa kisenge, wtf is supposed to mean by space..? Kwenye mafundisho ya ndoa ndo waliambiwa wafate hayo..?
 
We komaa hapo, hata sisi tupo kwenye ndoa na probably tunafanya worse zaidi ya hayo. Usiutafute u-single mother kwa lazima. Wanaume wote wana mapungufu yao. To make things right, fata taratibu mlizofundishwa kwenye mafundisho ya ndoa, toa na zaka, kila kitu kitakaa sawa.
 
Tulia wewe, mwanaume akiingia kwenye ndoa ndio hupata zaidi vishawishi unakuta mke ndio ametoka uzazi amejiachia balaa hapo unaandika ila ukute umevaa mikanga tupu na minywele umeiachia tu.

Tulia nawe jikague vizuri, haiwezekani ndoa ya miaka miwili unaanza kulalamika mtu anakucheat. Mpe mambo jipake poda nukia oga osha mashuka, nyumba ing'ae acha kumsemesha upuuzi kila saa na acha kumkaguakagua simu yake na kumdadisi alikuwa wapi instead anza kumpa pole kwa kazi na kumwambia maneno mazuri.

Ongea nae mambo yanayokuudhi kwa upendo na upole na mfanye ajisikie aibu kwa anayoyafanya pia uasiache kumkumbusha viapo vyenu kanisani na usiache pia kumuombea kwa Mungu.

Pia ongea nae kwa upole kuhusu hisia zako kwake jinsi unavyompenda na namna anavyokuumiza kwa matendo yake. Mfahamishe kwamba wewe ni mwanadamu haupendi kujuta kuolewa nae na haupendi ifike pahala muachane au mvunje ndoa sababu ambazo anaweza kuzuia yeye mwanaume wako.

Tell him your feelings dewply kwa upole. Tafuta sehemu mtoe out na umwambie unataka kukaa nae faragha ya dinner. Mjadili bila yeye kunywa pombe ili aelewe maana akilewa atakuchukulia poa.

Jaribu kumuelezea namna ambavyo pombe inamzidi pia angalia kama inasababishwa na stress za kazi au nini? Ongea nae acha kukimbilia kutafuta ushauri mwingi maisha ni yako wewe.

Pambana ndoa sio Big Brother House. Fikiria mwanao je ataishi na wababa wangapi? Unamuacha huyu utakutana na malaika? Wanaume ndio sisi sisi tu hatuna tofauti sana we just sin differently.

Komaa na ndoa we tafuta jamaa akuliwaze kimyakimya huku unatunza ndoa kwa maana kuishi pamoja ili mtoto akue mazingira salama.
Asante sana mkuu, huu ushauri hii comment nmleta mada ainakili mahali asome tena na tena wakati akiwa na utulivu , naamini kabisa suluhu atakua ameipata .
 
unaambiwa kama huwezi kuacha jifunze kuvumilia, hapo amua ku badilika wewe sasa kama ye habadiliki anyway ndo umeshaolewa achana na kuwaza talaka kwa sasa wakati bado una njia za kutetea ndoa yako, jaribu kuwa kama unampuuza usionyeshe kujali saana matabia yake jifanye tu unaona fresh tu, akirudi hiyo asubuhi mkaribishe na supu kabisa waaala usiongee yaaani jifanye ni kawaida tu ndo mmeamka wote kingine kuwa bize kufanya unavyovipenda, asipo badilika ndo useme una achia ngazi ila trust me lazima atabadilika hata kidogo, ni ngumu ila jaribu.
kwenye kujilinda kiafya utajua mwenyewe.
Wabongo upumbavu utawafikisha kubaya.

Unawezaje kuishi na mzinifu.

Hakuna dini inaruhusu uzinifu.

We upuuzi wa kuvumilia ndio maana CCM inatawala licha ya kufanya ujinga mwingi eti mnavumilia shida.

Leo Kuna magonjwa chungu nzima ya kingono vipi kuhusu magonjwa... Kuna homa ya ini inasambaa balaa.

Dada chukua huu ushauri. Kama uko tayari kubeba hizo consequences za ndoa endelea na ndoa yako ila kama huwezi jivue.

Afya ya akili na mwili ni muhimu kuliko kitu chochote
 
Wanawakeb wanaomshauri aondoka wafanye ku-declare interest kwanza: Je wao wako kwenye ndoa? Naona kama wasio na ndoa ndo wanataka aondoke!! Wengine wako kwenye ndoa na waume zao ni walevi hivyo hivyo na hawajaondoka kwenye ndoa zao, lakini wanamshauri mwenzao aondoke!! Wewe unayeshauriwa haushtuki tu!! Wewe umekiri mumeo anawatunza vizuri, kuna wenzio wanajitunza wenyewe lakini bado wanakaba hadi penati, halafu wewe wanakuambia uache goli wazi!! Kwanza uache kujiita msichana, wewe ni mwanamke!! wewe ni mama!!! Anza kuwaza kama mwanamke na siyo kama msichana!!!
The bottom line is mpenzi/mke/ mume anayecheat tena severally huwa HASAMEHEWI!!!....regardless ukiondoka atapata mwingine au la....kwani ulivyomkuta wewe ulikuwa wa kwanza??...kutunzwa sio hoja, akikuambukiza ukafa nani atakutunza huko kaburini?? nani atatunza wanao????...........
 
Mi ndoa yangu ina miaka 13 na tuna watoto wa nne, wa mwisho ndo ananyonya now. Wife wangu nampenda balaa... but nilimsaliti mara kadhaa hata tukiwa bado wachumba na kwa ndoa nshachepuka mara kadhaa pia.

Nikubaliane na wewe, siku akinifuma laivu nachepuka am sure ataua. Hizi ndoa zimesimama usifikiri zimesimama kwa sababu watu ni watakatifu, bali ni ka neema kanasaidia watu tusiostahili tuonekane tupo smart. Kama me wako hachepuki basi mshukuru Mungu kwa ajili ya hilo!!!
Nakazia
 
Mkataba si unasema mtavumiliana kwa shida na raha au ulidhani ni maigizo
Unatakiwa ufanye juhudi umrekebishe na uvumilie
 
Wabongo upumbavu utawafikisha kubaya.

Unawezaje kuishi na mzinifu.

Hakuna dini inaruhusu uzinifu.

We upuuzi wa kuvumilia ndio maana CCM inatawala licha ya kufanya ujinga mwingi eti mnavumilia shida.

Leo Kuna magonjwa chungu nzima ya kingono vipi kuhusu magonjwa... Kuna homa ya ini inasambaa balaa.

Dada chukua huu ushauri. Kama uko tayari kubeba hizo consequences za ndoa endelea na ndoa yako ila kama huwezi jivue.

Afya ya akili na mwili ni muhimu kuliko kitu chochote
sawa mjerumani uliye mwerevu, ulale sasa.
 
Halafu hii ID ya mtoa uzi ni ya leo!! Inawezekana kabisa ni mmoja wa wanawake wakongwe hapa jf kafungua akaunti mpya maana angetumia ya zamani kuna watu wanajua mambo yake!! Hawa viumbe pia tumeshauria kukaa nao kwa akili sana!!
 
Alee familia uzinz sio dili asichepuke ataharibu zaid asidanganyike.kupata mwanaume anaeweza Lea damu sio yake kwa vijana Wa sasa ni ngumu atamegwa sana tena sana hadi atamkumbuka huyo mumewe. Ila aache kibur hakuna mwanaume mchepukaji kwa mwanamke Mwenye kinywa kizur,nyumbani kuna aman mwanamke anajua majukumu yake huo muda Wa kufanya vitu vya hovyo unatoka wapi,wacha waendekeze vibur vya vicoba
Nakazia,Mdomo Ni sumu Sana
 
Back
Top Bottom