Wanaume kwa asilimia kubwa huwa tunaoa kwa ajili ya kupata mgegedo kwa urahisi na muda muafakaNatamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Ataleta ma ukimwi huyo acha na nae tu kwa amani"Familia anahudumia vizuri tu" SIMAMIA hapa.
Ukiondoka utamtafuta na hutampata tena
🤣🤣🤣🤣Mmbo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe kwa ushauri jichunguze wapi umekosea Kisha jirudi baada ya hapo fanya mabadiliko mneo nae atabadirika uku nje sio kuzuri usitamani kuwa single mamaNatamani kuvunja ndoa yangu.
Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.
Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.
Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:
1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.
2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.
Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Je uko kwenye ndoa? na muda gani? Ndoa si rahisi kama unavyodhani!! Wazazi wako wasingevumiliana huenda usingekuwepo leo. Anayelalamika leo huenda ni kwa sababu tu ya kwake hayajafahamika!! Mbona makazini tunashuhudia wanawake hawana uaminifu kabisa, lakini waume zao hawajui!! Lakini wao wakimfuma mume makelele kibao!!Duh Yani mtu aolewe Ili ateseke na tabia za mtu mzima mwenzie ndoa ni masikilizano kma mwenzio hapendi tabia flani ni mbaya Kuna ulazima kuiendealeza?
Hivi wewe uko kwenye ndoa au? Sehemu kubwa ya wagonjwa wa ukimwi hawako kwenye ndoa!!Subiri akuletee Ukimwi. Uanze kula zile dawa. Then waliokwambia ubaki nae watakwambia why hukuondoka mapema.
Mimi sijagusia maamuzi yake ni yake nawala sinahaja ya kujua alifanyaje huko nilichosema sio sawa kuvumilia isiwe sababu ya kuumiza mtu Kwa makusudi,sawa atavumilia na watoto wako wanaokuwa wanakuona Ulifanya ufedhuli had wanakua watakuja kuwa wazazi wa aina gani,Kuna tabia ni za kijinga kumfanyia mkeo Tena wa ndoa Hao wanawake wasio waaminifu ni juu Yao nao hatuwatetei ni kundi moja na mwanaume wa hivi,suala la kuvunja au kutokuvunja ndoa ni maamuzi yakeJe uko kwenye ndoa? na muda gani? Ndoa si rahisi kama unavyodhani!! Wazazi wako wasingevumiliana huenda usingekuwepo leo. Anayelalamika leo huenda ni kwa sababu tu ya kwake hayajafahamika!! Mbona makazini tunashuhudia wanawake hawana uaminifu kabisa, lakini waume zao hawajui!! Lakini wao wakimfuma mume makelele kibao!!
Ni ngumu sana kukumbuka kinga.Kwakweli kufa nje nje mtu mlevi na Malaya hata sidhanikama anakumbuka Kinga
Moyo Unaniuma Sana , Kwa sababu mimi Sijawai hata kuwaza kumsaliti Then Magonjwa mengi Now days
Sasa mwanamke akihasi kambi kinachofuata ni nini? 😂Humu kuna unafiki sana mada ya usaliti ikiletwa na Mwanamke ushauri wa Wanaume ni Vumilia,ila mada ikiletwa ná Mwanaume ushauri ni piga chini hakufai🤷🏼♀️
Tulikua Tunaishi Mikoa tofauti , So Hizi Tabia Nimekuja Kujua baada ya kuanza kuishi nae baada ya Ndoa
Wanawake wengi walioolewa wanakuwaga na tendency ya mazoea sana na waume hasa wakishakaa muda mrefu ndoani.Wanawake bwana mnamambo ya ajambu. Mwanaume anayeweza kuhudumia familia utegemee awe anakugegeda wewe tuu🤣🤣🤣🤣
Wee ukitaka wako peke yako chukua akina mzabzab ambao hatuna hela na tuna vibamia. Wenye hela lazima wagegede mbussusu nyingi.
Alafu itakuwa so called bitches give him something special