Mrs Joho 001
Member
- Aug 5, 2023
- 57
- 153
- Thread starter
- #141
Wewe starehe yako ni nini? Au hauna starehe?
Kuperuzi tu , Maana kutoka hataki Nitoke
Wewe starehe yako ni nini? Au hauna starehe?
Shida ulivumilia wakati mkiwa wapenzi ukiamini hatabadilika lakin haikua hvyo nakusahuri tu tafuta kazi au biashara chochote tu ujiweke busy jaribu kumpuza usijaribu kulalamika na kutaka kumbadilisha utapata tu stress
Exectly mdogo wanguu...Na Mungu akutangulie ktk hili[emoji120]
Mdogo sanaImekua too Much , 31yrs
Okay sawa vizuriKuperuzi tu Kwny Social Networks
Wewe una mapungufu gani mboni unaeleza tu kutaka sympathy za watu weakness zake umeeleza then what's your weakness nini unachokifanya kinachompelekea yeye kua na hali aliyokua nayo? Hakuna binadamu anaefanya kitu/Jambo bila kua na chanzo sasa chanzo cha yeye kua na tabia za kimalayamalaya ni nini
hii ndo id yako halisi mkuu au wewe ni mwingine!!?!Kina Nyinyi wastaarabu hamna hela hamuwezi kuhudumia familia.
Ndiyo dear, if you love yourselfSo tutatumia kinga Maisha yetu yote ?
Uchawi wako uko hapa. Na usipo badilika hatorudi tena asubuhi itakua ni kila baada ya siku kadhaa ndiyo unamuona.Wala Sina Mdomo , ila kuna vitu ni too Much . So arudi asubuhi Nisiongee Chochote kweli ?
Unaandika kitoto sana.To do bitches ndiyo kufanyaje?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ndiyo dear, if you love yourself
Dah! Nilitaka nikupe like, but hapo mwisho umeharibu. Kutafuta jamaa wa kumliwaza kutamuongezea matatizo zaidiTulia wewe, mwanaume akiingia kwenye ndoa ndio hupata zaidi vishawishi unakuta mke ndio ametoka uzazi amejiachia balaa hapo unaandika ila ukute umevaa mikanga tupu na minywele umeiachia tu.
Tulia nawe jikague vizuri, haiwezekani ndoa ya miaka miwili unaanza kulalamika mtu anakucheat. Mpe mambo jipake poda nukia oga osha mashuka, nyumba ing'ae acha kumsemesha upuuzi kila saa na acha kumkaguakagua simu yake na kumdadisi alikuwa wapi instead anza kumpa pole kwa kazi na kumwambia maneno mazuri.
Ongea nae mambo yanayokuudhi kwa upendo na upole na mfanye ajisikie aibu kwa anayoyafanya pia uasiache kumkumbusha viapo vyenu kanisani na usiache pia kumuombea kwa Mungu.
Pia ongea nae kwa upole kuhusu hisia zako kwake jinsi unavyompenda na namna anavyokuumiza kwa matendo yake. Mfahamishe kwamba wewe ni mwanadamu haupendi kujuta kuolewa nae na haupendi ifike pahala muachane au mvunje ndoa sababu ambazo anaweza kuzuia yeye mwanaume wako.
Tell him your feelings dewply kwa upole. Tafuta sehemu mtoe out na umwambie unataka kukaa nae faragha ya dinner. Mjadili bila yeye kunywa pombe ili aelewe maana akilewa atakuchukulia poa.
Jaribu kumuelezea namna ambavyo pombe inamzidi pia angalia kama inasababishwa na stress za kazi au nini? Ongea nae acha kukimbilia kutafuta ushauri mwingi maisha ni yako wewe.
Pambana ndoa sio Big Brother House. Fikiria mwanao je ataishi na wababa wangapi? Unamuacha huyu utakutana na malaika? Wanaume ndio sisi sisi tu hatuna tofauti sana we just sin differently.
Komaa na ndoa we tafuta jamaa akuliwaze kimyakimya huku unatunza ndoa kwa maana kuishi pamoja ili mtoto akue mazingira salama.
Haujanielewa mkuu nimesema wewe ni kivuli chake halisi cha mienendo, tabia na matendo yake, ukiwa mtu wa kupenda ibada nae utamshawishi apende ibada ili mtembee njia moja umesema mlifunga ndoa kanisani je Mara ya mwisho kwenda kanisani pamoja ilikua lini?Umalaya ni Kama Hulka tu ya Mtu , Kwamba mimi ndo sababu ya yeye kuchepuka ?
Basi kua mwalimu wake ila hapo kwenye namba tatu umeongopea maana kuna ujumbe huko chini umesadifu kua wewe ni muongeaji sana .1.tulikua tunaishi Mikoa tofauti So Nilikua sizifahamu
2. Nampa kiroho safi kbsaa
3. Hapana mimi ni mpole
4 . Sina marafiki wa kiume