Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Baada ya Miaka 2, natamani Ndoa yangu ivunjike

Mkuu kama unaweza kustand alone unawezajinasua lakn kama huwezi bora ufanye subra mpaka atakapobadilika ulevi na uzinzi sio ulemavu ipo siku ataacha huyo bdo hajapata negative effects za mambo hayo
Yaani mpaka apate negative impacts ambazo zinaweza kumcost na mtoa mada pia!! Aaaah nyie[emoji134]
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
ndoa hazvunjwa kama urafuki wa girlfriend na boy friend wewe zungumza na moyo wako vizuri
unaleta utoto kwenye mambo ya msingi bila kujua madhara yake
 
Kuna baadhi ya wanawake humu wanasema ikitokea mwanamke anaomba ushauri basi wanaume husema avumilie tu, sijui walitaka au wanapenda tushauri vipi?

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atasema ondoka bila ya kusikiliza upande wa pili? Yeye tutamshauri kulingana na kesi yake ila mwishoni hatuwezi kusema aondoke ni vema kumpa mtu ushauri wa kutatua matatizo kwanza hayo ya kuondika ni yeye ataamua na nafsi yake.

Mengine uamuzi ni wake yawezekana ni wivu tu. Maoenzi bana.
 
Wanaume hatupendi kelele.
Huenda wewe una kelele sana na hiyo ndo sababu kuu ya ulevi wa mumeo na uchepukaji.

Cha kufanya we mwache kwa muda hata wa mwezi mmoja bila kumpigia kelele za uliwa wapi, kila siku nasema hili, we mwanaume mlevi sana, hujali familia, mbona wenzio hawako ivo nk nk.

Uwe busy na kazi au biashara yako, akiona umebadilika kazi itakua kwake sasa kuanza kufatilia kwanini hupigi kelele tena, au unachepuka akikuuliza ndo hapo mtakaa sawa.

Kelele, vikao na mshataka kwa wazazi haviwezi mbadilisha.

Nilishawahi kutumia hii mbinu nzur sana [emoji1319][emoji1319]
 
Mapenzi kwenye ndoa yanaweza kukufanya upagawe. Ndoa ni taasisi inayojitegemea kuiendesha inataka maturity sana na ili upate mapenzi kwenye ndoa lazima utumie akili ya ziada kama ambavyo ilitumika wakati wa uchumba.

Baada ya ndoa kuna moment of truth, no more VIP treatments na usipokuwa mbunifu utaishia kulalamika ila ukiwa mjanja mtaendelea kuishi kwa kupendana na furaha.

Jikague pia sisemi una matatizo ila nawe jikague then light up the love you had before. Acha kumnunia hebu amka siku moja nawe vaa vizuri sana mwambie unatoka, nenda sehemu piga picha kadhaa mtumie mwambie unatamani aje hapo ulipo .

Amka ukumbuke njia ulizokuwa unamfanya awe nawe mpaka akaona wewe ndio unafaa kuwa mke. Yawezekana unesahau njia ulizotumia kumkamata akuoe maana wanaume tunakamatwaga tu huwa hatuna dream ya kuoa mwanamke wa aina fulani sisi ni tabia na namna fulani ikiwemo .itindo ya kitandani.

Stand up acha kunung'unika na kulalamika na kuombaomba ushauri na kumshtaki mumeo kila kona anakuona fala sana. Stand up.
 
He knows Me , Me sio Mtu wa kelele kbsa . Ila mtu ndo arudi asubuhi usiongee chochote Jmn ?
Ni ngumu ila ndo inabidi uwe hivyo la sivyo atazoea kelele zako ama lah ashazoea na anarudi asubuhi ili muda wa kelele upungue.

Si ajabu hata asiporudi asubuhi bado atakukuta umenuna, huna raha, utaanzisha vagi lolote tu ili mujadili makosa yake na hilo ndo anakwepa zaidi.

Wanawake sampuli yako hujiona wao hawakosei ila mume ndo mkosaji bila kujua mume anataka wewe umuone ni mwanaume na sio kumtinga kila siku vimaswali vya ulikua wapi, huyu nani yule nani klla siku.

We kua busy kwa muda, uone kama hajakaa nyumbani hapo kukuchunga.

Ila na wewe ukianza kuchepuka ndo ndoa itaingia doa mazima. Usikubali ushauri wa wewe kuchepuka.
 
Ukisoma ushauri wa wanawake humu unaona kabisa namna ambavyo kwa nini siku hizi VICOBA vya wanawake vinasababisha ndoa nyingi kuvunjika. Huwezi kusikia wanaume wanashauriana upuuzi wa hivi huwa tunaacha mhusika aamue mwenyewe ila wenzetu wanaweka maumivu yao kwa wenzao ili wawe sawa.

Dada/mdogo wangu umeolewa mdogo sana jaribu kutafuta suluhu kanisani au nyumbani kwao otherwise kwa umri huo mpaka ufike 45 ushazaa na wanaume 8. Usione wenzako wamekaa kwenye ndoa. Ndoa sio mapenzi ndoa ni taasisisiku hizi mapenzi tafuta unapojua.

Unaanzaje kusaka mapenzi kwenye ndoa? Ungetaka mapenzi usingekubali kuolewa. Hapo mnaishi kuzaa na kujenga familia.

Labda nikufunze tu, kama anarudi asubuhi kalewa na anahudumia familia yake we unasubiri nini kujiongeza utafute mapenzi? Au nawe ndio wale mahaba niuwe?
Case closed
 
Yaani mpaka apate negative impacts ambazo zinaweza kumcost na mtoa mada pia!! Aaaah nyie[emoji134]
Hapana mkuu huyo itakuwa pombe na zinaa havijawahi kumtenda ndo maana unamuona bado anaendelea navyo
 
Nilishawahi kutumia hii mbinu nzur sana [emoji1319][emoji1319]
Tatizo wanawake kwenye hilo hawana uvumilivu. Anataka muda wote awe analalamika tu.

Inaboa kinoma, binafsi hata ile bahati mbaya hujapokea sim na saa hiyohiyo kapiga hata mara 3. Ukija kumcheki anaanza maswali kwann hukupokea sim, ukimwambia ulikua busy hukuiona anaona kama ni kitu kisochowezekana. Utaskia mara 3 zote usiione...

Kelele za dizain hii zinaharibu mahusiano mengi sana.. KELELE.
 
Usimuache nakushauri, ni mara mia mwanaume mlevi anayecheat ila ameamua kuoa na kulea familia kuliko sisi wenzangu na mimi watanashati, tunaheshima za nje ila ni wazuri sana kwenye hit and run especially tunapojua ya kwamba mwanamke ni single mother tena aliolewa na kuachika.
Utajikuta unajipa mkosi na usiolewe tena mwisho wa siku ukubaliane na matokeo uwaachie mashababy wajilie uroda ili mradi maisha yaende.
Kuolewa si matacle kwamba kila mru anayo ya kukalia
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Atabadirika, muombe sana
Wewe wa kumbadirisha
 
Kuna baadhi ya wanawake humu wanasema ikitokea mwanamke anaomba ushauri basi wanaume husema avumilie tu, sijui walitaka au wanapenda tushauri vipi?

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atasema ondoka bila ya kusikiliza upande wa pili? Yeye tutamshauri kulingana na kesi yake ila mwishoni hatuwezi kusema aondoke ni vema kumpa mtu ushauri wa kutatua matatizo kwanza hayo ya kuondika ni yeye ataamua na nafsi yake.

Mengine uamuzi ni wake yawezekana ni wivu tu. Maoenzi bana.
Unadhani kuna kingine mkuu ni wivu tu.

Na kingine huyu bibie aliyoyatarajia kwenye ndoa siyo aliyoyakuta, ni dizain ya watu waliopenda sherehe ama lah alikua na kimuhemuhe cha ndoa.

Alidhani labda ndoa itakua kama vile uchumba huwa, bahati mbaya mume akawa hashow vile alitarajia ndo hapo kelele huanza sasa.

Kelele zikizidi ndo hapo mume anazidisha ulevi, kelele zikizidi zaidi hata home jamaa harudi kabisa anaona ndoa chungu, mke kelele kibao bora hata asingeoa.
Mke nae anajuta kuolewa na hapo usikute wamekaa uchumba hata 2yrs.

Pole yao aisee, hawakujipanga na maswaibu ya ndoa.
 
Natamani kuvunja ndoa yangu.

Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza.

Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30. Nina mtoto mmoja wa kiume. Nimekuwa katika ndoa na mume wangu kwa takriban miaka miwili sasa.

Sababu za maamuzi yangu ni kama ifuatavyo:

1. Uchepukaji uliokithiri: Huyu mume wangu amekuwa akinihadaa sana. Sijawahi kuona kitu kilichoniumiza zaidi ya kugundua kuwa anatoka na wanawake wengine. Ameomba msamaha kila mara ninapomfumania, lakini bado anarudia tabia hiyo. Kesi zetu zimekuwa nyingi kwa wazazi na nadhani wamechoka kutusuluhisha.

2. Ulevi uliopitiliza: Mume wangu ni mlevi sana. Kurudi nyumbani asubuhi ni jambo la kawaida kwake. Nimeshazungumza naye na kumweleza jinsi ninavyojisikia kuhusu tabia yake ya kunywa kupindukia, ingawa anahudumia familia vizuri. Lakini, hupati muda na familia kabisa. Inanidhalilisha sana kwa sababu tunakaa na mdogo wake nyumbani, hivyo najihisi vibaya sana anaporudi asubuhi.

Ndoa yetu imefungwa kanisani na tumekuwa tukiishi pamoja kwa miaka miwili tu. Nashauriwa nifanye nini kuhusu maamuzi yangu haya, maana sijisikii furaha kabisa katika ndoa hii. Na mimi ni mchanga sana kuishi kama hivi hadi kifo kitutenganishe.
Pole. Miaka 2 michache sana.. pengine unampa stress Badilika
 
Magojwa sasa ? Au [emoji2297]
Mfno wa hayo na majanga mengine lakin dada kuvunja ndoa ni jambo rahisi sana lakn kuja kupata ndoa Nyengine sio kiturahisi mm naona kuirekebisha ndoa yako kunawepesi kuliko kuivunja na kupata nyengine inaweza kuwa historia Kaa cku na Mama yko umuulize yy alivumilia mangap mpaka leo unaweza ukajivunza kitu
 
Back
Top Bottom